Jaji wa nchini Marekani ameamuru Iran ilipe $ 1.45bn pauni bilioni 1.12 kwa familia ya wakala wa zamani wa FBI ambaye alitoweka wakati wa ziara nchini humo mwaka 2007.
Uamuzi ulimpa mke wa Robert...
Kutokana na mzozo unaoendelea, Naibu Meya wa #Mariupol, Sergei Orlov amesema hawawezi kujua idadi halisi ya waliofariki kutokana na mashambulizi japo idadi inakadiriwa kuwa 1,300
Ili kupunguza...
Haya maamuzi ameyafanya baada ya aibu ambayo imemkuta Ukraine, hakutegemea hivi kabisa, FSB walimshauri vibaya kwamba ataingia na kuchakaza kwa siku chache na kumaliza mchezo, leo mambo...
In his significant comments about the crisis in several weeks, he accused the US of ignoring Russia's concerns about Nato alliance forces in Europe.
And he suggested that if Ukraine were granted...
Serikali ya Ukraine imependekeza vikwazo vya kibiashara vya kimataifa dhidi ya Urusi ikiwemo kuzuia mafuta ya Taifa hilo, na kusimamishwa mauzo ya Nje kwenda Urusi ikisema 'Vita viwalishe'...
Waziri Mkuu wa Hungary, Viktor Orban, ametangaza kuwa nchi yake (Hungary) ipo dhidi ya vikwazo vyovyote vitavyowekwa na umoja wa Ulaya juu ya Russia kuuza mafuta na gas ktk nchi za Umoja huo...
Kampuni ya Meta ambayo ni mmiliki wa Facebook na Instagram imelegeza sera yake dhidi ya machapisho ya chuki ili kuruhusu maneno ya chuki dhidi ya Urusi.
Katika tamko lao wamesema wataruhusu...
LENGO LA PUTIN LIMEANGUKIA PUA?
Putin alijua akitishia kuivamia kijeshi Ukraine Basi NATO wataogopa na kukubali matakwa ya Urusi ili asiivamie Ukraine. Malengo ya Urusi yalikuwa Kama ifuatavyo...
China imeitaka serikali ya Marekani kuthibitisha madai ya Urusi kuhusiana na siraha za kibaolojia kuwa Ni ya uwongo katika kikao Cha baraza la umoja wa Mataifa. Akizungumza katika baraza la Umoja...
TAARIFA KUTOKA JESHI LA URUSI
URUSI imeishutumu serikali ya Marekani kumwaga pesa nyingi kwakushirikiana na UKRAINE kutengeneza siraha za kibaolojia/kikemia huku Moscow ikisema kuwa na ushahidi...
Mchanga: Ni moja kati ya maliasili zinazotumika kwa wingi Duniani. Ripoti za Umoja wa Mataifa zinaripoti kuwa, uchimbaji wa mchanga na kokoto unazidi Tani Bilioni 40 kwa mwaka, kwa sababu ya...
Taifa hilo limewashauri raia wake kuondoka Nchini Russia wakati huu ambapo fursa za kufanya hivyo bado zipo, likisema hali ya usalama haitabiriki na inaweza kuwa mbaya ghafla.
Aidha, Shirika la...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine, Dmytro Kuleba amesema Taifa hilo linataka mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Rais Volodymyr Zelensky na Rais wa Urusi, Vladimir Putin kwasababu wanatambua...
Kiukweli wajapani naweza sema ni watu wa dunia nyengine kuanzia maisha yao mpaka teknolojia zao.
Sisi ndio tunafikiria kuleta SGR wao wanafikilia kutengeneza treni itakayo weza kufika kwa mda...
MALI za mmiliki wa Klabu ya Chelsea na bilionea wa Kirusi, Roman Abramovich zimezuiliwa rasmi na Serikali ya Uingereza kuanzia, Machi 10, 2022 kama sehemu ya kuwatia kitanzi matajiri wote wa...
Shirika la Fedha Duniani limesema bara la Afrika litakutana na athari za vita ya Russia na Ukraine mwaka 2023 ambapo bei za vyakula zitapanda sana.
Source: BBC
By Putin on Sky News;
We had an agreement for the NATO not to expand into the East but they went against the agreement.
USA has been using Ukraine to build several military bases just under the...
Mwezi January iliyokea mafanikio makubwa ya kimatibabu baada ya madaktari wa Marekani kufanikiwa kupandikiza moyo wa nguruwe ulioboreshwa (Genetically modified heart) kwa binadamu na kuleta...
Kikosi cha wanajeshi 250 wa kulinda amani wa Ukraine wanatarajiwa kuondoka mashariki mwa DRC na kurejea Ukraine.
Tangazo hilo lilitolewa Jumanne na Umoja wa Mataifa.
Tarehe ya kuondoka bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.