International Forum

News and Stories from rest of the World
Umoja wa Ulaya (EU) umetangaza marufuku dhidi ya Ndege za Urusi, ikisema inafunga Anga lake kwa Ndege zinazomilikiwa na zilizosajiliwa na Urusi. Inamaanisha Ndege hazitoweza kutua, kuruka au...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Profesa Jonathan Moyo wa Zimbabwe kamlaumu rais wa Ukraine, Comedian Zelensky, kufanya makosa ya jinai dhidi ya binadamu kwa kuwaingiza raia kupambana na russia, super power, na kuwatumia raia hao...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Ukraine imekubali kushiriki mazungumzo ya amani na Urusi, ambapo wajumbe wa pande zote mbili wamepanga kukutana katika eneo la mpaka kati ya Belarus na Ukraine. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Rais wa Belarus Alexander Lukashenko amejipa madaraka zaidi katika kura ya maoni iliyofanyika siku ya Jumapili. Tume ya uchaguzi mjini Minsk ilisema asilimia 65 ya watu walipiga kura katika zoezi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Benki kuu ya Urusi imetangaza kuongeza kiwango chake kikuu cha riba kufikia 20%, kutoka 9.5%, ili kukabiliana na hatari ya kushuka kwa thamani ya fedha yake na mfumuko wa bei wa juu, huku maafisa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Takriban watu 20 wamefariki dunia na wengine 11 kuungua vibaya baada ya Boti kushika moto kwenye Bandari ya Ngafura iliyopo Mto Kongo. Imeelezwa, Boti hiyo ilikuwa na idadi kubwa ya bidhaa zenye...
2 Reactions
5 Replies
766 Views
kikundi cha tisa cha madaktari wa China nchini Sudan Kusini jana ilikamilisha majukumu yake ya kimatibabu katika jimbo la Lakes kwa siku tano, na kurudi katika mji mkuu Juba. Wakazi wa jimbo hilo...
1 Reactions
2 Replies
511 Views
Kazi ya kubadilisha mandhari ya mji iliyopangwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing na kuwa ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing itamalizika leo...
0 Reactions
1 Replies
506 Views
Shirika la Umoja wa Mataifa lenye dhamana ya kuwahudumia wakimbizi, UNHCR limesema idadi ya wakimbizi wanaokimbia vita nchini Ukraine imepindukia watu 368,000. Katika taarifa yake aliyoitoa...
0 Reactions
4 Replies
789 Views
Rafiki wa kweli wakati wa shida tu Nakumbuka mzozo wa Venezuela jinsi Maduro alitikiswa na nchi za Magharibi huku wakimtambua Juan Guaido kuwa ndiyo Rais wa Venezuela lakini Russia haikutupa mkono...
22 Reactions
229 Replies
13K Views
Waafrika waishio Ukraine wamekataliwa kuingia katika treni inayoelekea Poland ambayo inabeba raia wanaokimbia vita.
5 Reactions
74 Replies
5K Views
Chama cha Juddo Duniani kimemsimamisha Rais Putin wa Russia kuwa balozi wa chama hicho. Source: Al jazeera! ========== The International Judo Federation said in a statement Sunday that it was...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukraine imeonesha utayari wa kufanya mazungumzo na Urusi mpakani mwa nchi hizo mbili ili kupunguza athari kwa raia wasio na hatia Hatua imejili baada ya Urusi kuonesha kuwa angeweza kutumia bomu...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Hili suala nimejiuliza sana kuhusu hivi vita vya Ukraine na Urusi. Kwa stahili hii ya Ukraine kukaribisha watu waje kuungana ndio itakuwa chachu na njia ya wahamiaji walio nchi za ulaya...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Kyiv to send delegation of officials for talks with Russian counterparts on the Ukraine-Belarus border, Zelensky says Aljazeera Ni wazi Putini amesarenda, hali si ya kawaida sana Russia...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
We take a look at the top 10 countries that have invested most in their military or defence department across the globe. The below stats are obtained from business insider [ source: RANKED: The...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Muendesha Mshataka Mkuu wa Serikali ya Ukraine ametangaza kuwaachia wafungwa wote wenye uzoefu wa kijeshi ili wasaidie kuipigania nchi yao Baadhi ya wafungwa wameshaanza kuachiwa. Ili kuweza...
4 Reactions
61 Replies
4K Views
Unajua Donald Trump alikuwa na madhaifu yake na unaweza kumpuuza, lakini huwezi kupuuza uwezo wake wa kuangalia mambo kwa mapana. Utawala wake ulikuwa ni tofauti kabisa na watu walivyotegemea...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Umoja wa Mataifa (UN) unakusudia kuchangisha dola bilioni moja (Sh triloni 2.3) kwa kufadhili misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Ukraine katika kipindi cha miezi mitatu ijayo. Naibu Katibu Mkuu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
The dramatic events in Ukraine this week have a much bigger timescale and background. It is not the culmination and provenance of Western claims of a Russian invasion. Those claims have become...
2 Reactions
2 Replies
490 Views
Back
Top Bottom