Salaamu zenu wadau..
Kiukweli Hali ya maisha ya ndugu zetu wa Afghanistan ni mbaya,Dunia yote kwa sasa inawawahurumia na kuwajali watu wa Ukraine pekee ilhali imewatelekeza Wa Afghanistan...
Waziri Mkuu, Kiril Petkov amesema atamfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Stefan Yanev baada ya Kiongozi huyo kusita kuelezea uvamizi wa Urusi dhidi ya #Ukraine kama vita akisisitiza "Waziri wangu wa...
Kwa mujibu wa Putin, NATO ni kikundi cha magaidi tu. NATO ni Umoja wa nchi za Ulaya(ikijumuisha na Marekani) ambazo ndizo zilizo mstari wa mbele kushutumu wengine kwa Ugaidi.
Hii ni uthibitisho...
Februari 28, 2022, kituo kikuu cha wanahabari cha Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Walemavu ya Beijing kilianza kazi rasmi baada ya kukamilisha mabadiliko kutoka Michezo ya Olimpiki ya...
Wakati Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing ikikaribia, mitaa ya Beijing imeanza kuwa na mazingira ya shamrashamra kwa michezo hiyo. Kazi mbalimbali za maandalizi ya...
Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limeonya kuwa eneo la Pembe ya Afrika linakabiliwa na ukame mbaya zaidi tangu mwaka 1981, na takriban watu milioni 13 wanakumbwa na njaa...
Jamani,
Dear all members of the home of great thinkers,
Naomba ufafanuzi toka kwa watalaamu wa maswala ya Political Science au yeyote mwana JF kuhusu kauli za Rais Wa Libya Muamar Gadafi...
Marufuku mpya ya kutotoka nje ya Afghanistan ilitolewa na msemaji wa serikali ya Taliban Zabihullah Mujahid, akisema zuio hilo linalenga kuwakinga waafghanistan na ugumu wa maisha wakiwa nje ya...
Interesting observation!
Libyan "humanitarian" war creates humanitarian crisis
13 May 2011
By Glenn Ford
Black Agenda Report
Under the conditions of a civil war that has been nurtured, armed...
Mkutano wa Kitaifa Nchini Burkina Faso umepitisha Mkataba utakaoruhusu Utawala wa Kijeshi kuongoza kipindi cha mpito cha miaka mitatu. Mkutano huo uliidhinisha Hati ambayo baadaye ilisainiwa na...
South Africa: JULIUS MALEMA WRITES
When NATO murdered Muammar Gaddafi, Western media called it "Military intervention" and they no longer bother to report that the evil military action led by...
Marekani imeuonya Umoja wa Mataifa kuwa ina habari kwamba Urusi ina orodha ya raia wa Ukraine wanaopaswa kuuawa ama kuweka kwenye kambi za mateso iwapo uvamizi dhidi ya Ukraine utatokea.
Haya ni...
Taifa kubwa ulimwenguni kama Russia nilijua itawachukua siku 2 tu kuwazima Ukraine lakini ngoma ngumu, sasa wanapiga wanawake kwa watoto wanapiga makombora kwenye majengo kama hawaeleweki.
Kibaya...
Naomba niipongeze seriakali ya Tanzania kwa kujitolea kupamabana na kuibuka kwa Cult mbali mbali.
1. Kwanza, kwa sasa mitume na manabii wana chombo Chao ambacho kitawasimamia na kudhibiti utapeli...
Mazungumzo kati ya wawakilishi wa Ukraine na Urusi kuhusu uvamizi Ukraine yameanza nchini Belarus, kabla ya mkutano kuanza, waandishi wa habari wametolewa nje.
Mwenyeji wa wageni hao ni Waziri wa...
Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google umetoa tahadhari kwa wamiliki wa vituo vya YouTube watakao chapisha Maudhui yanayo Sababisha Taharuki Kati ya Russia na Ukraine.
Mtandao huo utaziondoa...
Naona Ukraine hapa kamchagua Roman Abramovic sababu zinaiva na Putini.
---
Russian billionaire businessman Roman Abramovich, who owns Premier League football club Chelsea, has accepted a Ukrainian...
Kulingana na vuguvugu la Russia na Ukraine Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google umesitiza Uvunaji mapato kwenye nchi ya Urusi kipindi hiki mpaka hapo badae itakapojiridhisha.
Kulingana na...
UTANGULIZI
Mambo mengi sana yameongelewa, lakini kuna yaliyofichika nyuma ya pazia. Unapoangalia mgogoro wa Ukraine na kuuchambua hebu tujitahidi kuzingatia haya mambo muhimu yafuatayo. Tuzingatie...
China imetangaza kuiunga mkono Russia, huku ikiilaumu Marekani kwa kusababisha mzozo wa Ukraine na hata kuvamiwa kwa Ukraine (na Urusi).
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.