International Forum

News and Stories from rest of the World
Huwa najiuliza kuhusu hili shirika la kijasusi la KGB la urusi ni moja katika ya shirika ambalo linasifika sana ktk maswala ya kijasusi lakini ilikuweje hili shirika wakashidwa kumpandikiza...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Vikwazo vilivyowekwa dhidi ya urusi na viongozi wa juu wa taifa hilo ni kwakias gani vitaiathiri urusi na maisha ya warusi kwa ujumla...?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Urusi na mahodari Sana wa mchezo unaotumia akila Sana wa CHESS. Wamefanikiwa kuzima propaganda za west kuwa Urusi ingeweza kuivamia Ukraine ndani ya mda mfupi Sana. Urusi tayari imefanikiwa...
10 Reactions
32 Replies
4K Views
I am a medical doctor, general practitioner. I'm looking forward to persuade masters in clinical research or health management and administration. I really need sponsorship to undertake one of the...
0 Reactions
3 Replies
776 Views
Klabu ya Chelsea inaweza kuingia katika wakati mgumu kifedha ikiwa mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich ataondolewa klabuni hapo, kwani kutatakiwa kiasi kikubwa cha fedha alipwe kutokana na...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimeona nije na hili wadau wenzangu, dunia inaelewa malengo na mahitaji ya Russia kwa nchi ya Ukraine yapo wazi sana swali ni kwanini amebaki mpakani??? Sasa takriban mwezi., NATO wamekuwa wa...
9 Reactions
131 Replies
11K Views
Ifahamike Ukraine na Urusi ni watu wamoja, na lugha inayotumika sana Ukraine ni Kirusi, maelfu ya Warusi hawaungi mkono huu uvamizi dhidi ya ndugu zao, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii wengi...
4 Reactions
50 Replies
5K Views
Sasa nimeona nianze kuzungumza mambo ya Urusi sasa. Hapa duniani nchi iliyobarikiwa kwa resources nyingi chini ya ardhi ni Urusi. Leo nitaongelea nchi zinazoitegemea urusi kwa gas.
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Anazungumza Raisi wa Ukraine, Zelensky. "Leo niliwauliza Viongozi 27 wa ulaya Kama Ukraine itakua ndani ya umoja wa NATO, Niliuliza Moja kwa moja. Kila mtu anaogopa, hawajibu Simu zangu. Na Sisi...
33 Reactions
202 Replies
15K Views
Ninavyofahamu (inaweza isiwe rasmi) pamoja na experience yangu ni kuwa marais na viongozi wa nchi na serikali duniani kote ni kitu kimoja katika suala la amani, kwa vile wanaunganishwa mikataba ya...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
So why’s Russia after Ukraine? For those who ask: “Why does Ukraine matter? “ This is why Ukraine matters. Being the second-largest country by area in Europe and having a population of over 40...
2 Reactions
4 Replies
843 Views
Haya mambo tumekuwa tukiyasikia lakini hatujui undani wake 1. Kundi la G5 liliundwa na kina nani na sasa liko wapi? Lengo lake lilikuwa ni nini? 2. Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani alikamata...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Mimi kama mtanzania mdogo,mnyonge na masikini ukweli kutoka moyoni sifurahii kabisa vita hii ambayo inheweza kuepukika isipokua kutokana na kiburi Cha baadhi ya watu na hasa USA. Kama sio USA...
4 Reactions
93 Replies
4K Views
Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi. Nikianza na marekani: Whitehouse PRESIDENT BIDEN IMPOSES SEVERE COSTS ON RUSSIA FOR ITS...
4 Reactions
172 Replies
10K Views
Ni vigumu Umoja wa Mataifa kuichukulia hatua Urusi. Changamoto za Umoja wa Mataifa kupitia baraza kuu la usalama kuichukulia hatua Urusi ni mbili. Kwanza, tatizo linakuja pale ambapo Urusi ni...
1 Reactions
3 Replies
796 Views
Urusi imezuia matumizi ya mtandao wa Facebook unaomilikiwa na Kampuni ya Meta Platforms Inc's (FB.O) nchini kwao kile kilichoelezwa kupishana katika masharti ya vitu vya kuweka mitandaoni wakati...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais wa Marekani, Joe Biden ameagiza Wanajeshi 7,000 kupelekwa Ujerumani ili kuweza kusaidia kuimarisha kuzuia uvamizi wa Majeshi ya Urusi Wanajeshi hao pamoja na Vifaa wezeshi wataenda...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Volodymyr Zelensky ametoa ombi jingine kwa washirika wa nchi za Magharibi kuisaidia Ukraine na kukomesha mashambulizi ya kikatili ya Urusi. "Leo asubuhi tunalinda taifa letu peke yetu. Kama jana...
8 Reactions
61 Replies
5K Views
Rais wa Marekani, Joe Biden mnamo amemteua Jaji wa Shirikisho Ketanji Brown Jackson kuwa Jaji katika Mahakama Mkuu ya Marekani ambapo atakuwa mwanamke wa kwanza mweusi kujiunga katika mahakama...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom