International Forum

News and Stories from rest of the World
Serikali ya Pakistan imeanzisha sheria mpya ya uhalifu wa mtandaoni ambayo inaweza kuwafanya watumiaji wa mitandao ya kijamii kufungwa hadi miaka mitano jela kwa kuchapisha "habari za kughushi "...
0 Reactions
3 Replies
641 Views
Takriban watu 60 waliuawa siku ya Jumatatu katika mlipuko katika mgodi wa dhahabu katika kijiji karibu na Gaoua kusini-magharibi mwa Burkina Faso. Makumi ya watu zaidi walijeruhiwa, wakiwemo...
0 Reactions
3 Replies
719 Views
Umoja wa Ulaya umewawekea vikwazo maafisa waandamizi wa Myanmar na biashara ya mafuta na gesi vinavyomilikiwa na serikali na kuisiadia serikali ya kijeshi ambayo iliiondoa madarakani ya kiraia...
0 Reactions
1 Replies
684 Views
Kulingana na takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara ya Forodha ya China, mwaka 2021 kiwango cha biashara kati ya China na Afrika kiliongezeka kwa 35% ikilinganishwa na mwaka uliotangulia, na...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Nchini Zambia madaktari wasio na ajira wameandamana kuelekea Ikulu ya Nchi hiyo ili kufikisha malalamiko yao kwa Rais Hichilema kwa lengo la kujua hatima yao . Cha kushangaza ni hatua ya Polisi...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
SENETA WA JIMBO LA LAGOS WEST Olamilekan Adeola a.k.a 'Yayi' AMETOA MSAADA wa magari 8 kwa Polisi, Ambulance 8, Bajaji 50, mashine 100 za kusaga nafaka, inverter 100, mashine za welding 100...
1 Reactions
5 Replies
599 Views
Mamlaka ya Nigeria inasema kuwa imekamata tani 120 za ngozi za wanyama zilizoagizwa kutoka nje katika jiji la Lagos. Zilinaswa kwa tuhuma kwamba tayari zilikuwa zimechakatwa na kemikali kwa ajili...
0 Reactions
1 Replies
371 Views
Watu watano wanaripotiwa kutiwa mbaroni katika nchi za Tanzania, Ghana na Senegal wakihusishwa na jaribio lililotibuliwa la shambulio dhidi ya Watalii wa Israel, Kituo cha Televisheni cha Channel...
7 Reactions
60 Replies
7K Views
Watoto saba wamekufa na wengine watano kujeruhiwa katika shambulizi la angani nchini Niger hii ikiwa ni kulingana na gavana wa jimbo moja nchini humo Shambulizi hilo lililofanywa na vikosi vya...
1 Reactions
5 Replies
781 Views
Vyombo vya habari vya Kizayuni: Hizbullah ina makombora 150,000 yafikayo umbali wa kilomita 700 J Vyombo vya habari vya Kizayuni: Hizbullah ina makombora 150,000 yafikayo umbali wa kilomita 1000...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Hizbullah: Ndege yetu ya upelelezi imeingia na kutoka salama katika ardhi za Palestina zinazokaliwa na Wazayuni Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah imetangaza kuwa ndege yake...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
China imeshuhudia uuzaji mwingi wa bidhaa zake za photovoltaic (PV) nje ya nchi mwaka jana wakati dunia inaongeza juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kwa mujibu wa Wizara ya Viwanda...
0 Reactions
0 Replies
550 Views
SHAMBULIO LOLOTE DHIDI YA IRAN, ITAJIBIWA BILA KUSITA KWA NGUVU ZOTE Iran imesema kwamba, italipa kisasi kwa shambulio lolote litakalofanywa na Israel dhidi ya Iran. Commander wa jeshi la Iran...
8 Reactions
82 Replies
42K Views
Jeshi nchini Mali limesema wanajeshi wake wanane wameuawa na watano hawajulikani walipo baada ya kushambuliwa na waasi katika eneo la kaskazini-mashariki la Archam. Mapigano hayo yanakuja siku...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Joe Biden ametoa wito kwa raia wote wa Marekani waliosalia nchini Ukraine kuondoka nchini humo mara moja kutokana na kuongezeka kwa vitisho vya kuchukuliwa hatua za kijeshi za...
8 Reactions
103 Replies
6K Views
Wanamgambo wa Al-Shabab wameshambulia vituo vya polisi na vituo vya ukaguzi katika Mji Mkuu wa Somalia, Mogadishu, mapema leo Jumatano Februari 16, 2022. Imeelezwa kuwa watu kadhaa wamepoteza...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Dunia hii amani tuitafute wapi haswa. Afrika bado tunauana kwa misingi ya dini za kuletwa. An Islamic State-linked group killed around 40 civilians this week in a northern region of Mali that has...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Jeshi la Mali limesema kuwa, limeangamiza magaidi 60 wakufurishaji katika mapigano yaliyotokea baada ya wanajeshi wa mkoloni Mfaransa kuondoka nchini humo. Taarifa hiyo imetolewa baada ya ile...
0 Reactions
0 Replies
470 Views
Habari za kuthibitishwa kutoka Uingereza zinasema Malikia Elizabeth II amepata maambukizi ya corona. Mpaka sasa taarifa hizo zinasema Malikia huyo ana hali ya homa isiyo kali bila ya madhara...
0 Reactions
2 Replies
601 Views
Sisitizo la Ufaransa la kuendelea kuwepo eneo la Sahel Pamoja na kushuhudiwa mivutano hivi karibuni kati ya Ufaransa na baadhi ya nchi za eneo la Sahel barani Afrika ikiwemo Mali, Waziri wa...
1 Reactions
4 Replies
733 Views
Back
Top Bottom