Kwanza kabisa niwape pole na pongezi kwa kazi nzito ya Kila siku ya kujitafutia riziki za Kila siku. Maada hi itakuwa ndefu kidogo. Kwahiyo nitaitoa katika mfumo wa Sehemu ya Kwanza Hadi sehemu ya...
Aliyekuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki na kujiuzulu mwaka 2013, Papa Benedict amekiri makosa yalitokea katika kushughulikia kesi za unyanyasaji wa kijinsia alipokuwa Askofu Mkuu wa Munich, na...
Political newcomer and television comedian Volodymyr Zelensky on Sunday declared victory in Ukraine's presidential elections after exit polls showed he was on track for a landslide win against...
Mahakama Kuu Nchini Nigeria imedumisha uamuzi wa kikosi cha Polisi kumfuta kazi afisa wa polisi wa kike ambaye alipata ujauzito nje ya ndoa mwaka jana.
Jaji Inyang Ekwo amesema hakuona sababu ya...
Iran imerudisha dozi 820,000 za chanjo ya virusi vya corona iliyotolewa kama msaada na Poland kwa sababu ilitengenezwa Marekani.
Televisheni ya taifa siku ya Jumatatu ilimnukuu Mohammad Hashemi...
Wiki hii rais Xi Jinping wa China ameandika bara ya pongezi kwa sherehe za uzinduzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere kilichoko mjini Kibaha, mkoani Pwani, Tanzania. Chuo Kicho kilianzishwa...
Katika miaka ya hivi karibuni, eneo la Yiling huko Yichang mkoani Hubei limeendelea kuhimiza ujenzi wa miundombinu, kwa kujenga barabara zinazounganisha vijiji vya milimani, na kuunda mtandao wa...
Bunge la Urusi limempa Rais wa n hi hiyo nguvu ya kupeleka majeshi yake mahala popote Duniani pale itakapo hitajika.
Bunge hilo limefikia uamuazi wake Leo 22.02.22 siku moja mara baada ya Urusi...
Wadukuzi wamepata tena udhibiti wa tovuti zaidi ya 30 za Msumbiji, saa chache baada ya serikali kusema kuwa imezima shambulio la Jumatatu.
Kundi linaloitwa "Yemen Hackers" limedai kuhusika na...
Kipindi cha obama Russia iliivamia Ukraine wakajimegea mkoa wa Crimea.
Kipindi hiki cha Joe Biden, Russia anaimega huko ukraine mikoa miwili
Kipind cha Trump , Putin hakuthubutu.
Kiukweli Obama...
Video ya Vladmir Putin akihojiwa na waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya magharibi inatembea mitandaoni. Putin anajitahidi sana kujenga hoja za kujibu maswali lakini kama kawaida yake...
Kundi la Al-Shabab nchini Somalia lilitumia dola milioni 24 mwaka 2021 kununua silaha, kulingana ripoti ya Taasisi ya Hiraal lenye makao yake Mjini Mogadishu.
Ripoti hiyo pia inadai kuwa...
Ufunguzi na ufungaji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kumbe ni sehemu ya kwanza na ya pili ya sherehe moja.
Maonesho ya fataki kwenye ufunguzi wa michezo hiyo yalionesha...
Mwenge wa Olimpiki umezimwa, na kufunga pazia kwenye Michezo ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022, lakini shauku bado inaendelea kutoka kwenye tamasha la michezo ambalo limechangamsha na...
China imetoa Waraka wa Serikali Kuu kwa mwaka 2022, ambao umeweka majukumu makuu ya kusukuma mbele kwa pande zote ustawi wa maeneo ya vijiji mwaka huu.
Ikiwa ni taarifa ya kwanza ya kisera...
Colombia siku ya Jumatatu imekuwa nchi ya karibuni huko Latin Amerika kupanua ufikiaji wa fursa ya utoaji mimba wakati mahakama ya kikatiba ya taifa hilo ikipiga kura ya kuhalalisha utaratibu wa...
Mwanamke mmoja anayeitwa Joan Burke mwenye umri wa miaka 61, kutoka Jimbo la Florida nchini Marekani ameshtakiwa kwa mauaji kufuatia tuhuma za kumchoma na kisu mume wake kwa zaidi ya mara 140 na...
Idadi ya waliofariki kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Petropolis, Rio De Janeiro nchini Brazil imefikia 176 ikiwa ni idadi kubwa kurekodiwa katika historia ya mji huo. Mvua kubwa nyingine...
Wabunge wa Mali leo Jumatatu wameidhinisha mpango wa kuruhusu utawala wa kijeshi kutawala kwa hadi miaka mitano.
Kwa mujibu wa waandishi wa habari wa AFP hatua hii inajiri licha ya uwepo wa...
Picha: Chapisho la kwanza la Trump kwenye mtandao wake
Jukwaa la mtandao wa kijamii la Donald Trump, Truth Social limezinduliwa,kwa kiasi kidogo kwenye Apple App store nchini Marekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.