International Forum

News and Stories from rest of the World
Mbunge wa Bunge la #Ukraine, Kira Rudik amechapisha picha akiwa ameshika bunduki na kuandika kuwa anajifunza ili kutetea ardhi yake dhidi ya #Urusi Ameandika wanawake watatetea ardhi ya nchi yao...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Nisaidieni wadau sijawa mzuri sana kwenye jiografia ukweli ni kwamba sina majibu juu ya hayo mataifa mawili kwamba yapo bara moja au mabara tofauti?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hakika mwamba hapendi ujinga. Yaani Putin anaipelekea Ukraine moto anavyotaka yeye, tena moto anaupeleka usiku wakati kuna utulivu. Waliomdanganya rais wa Ukraine wameufyata wote. Biden na ndugu...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Polisi katika Jimbo la Bhubaneshwar nchini India wanamshikiria mwanaume anayedaiwa kuoa wanawake 18 kwa kuwalaghai kwa kujifanya daktari na wakati mwingine hata afisa mkuu wa afya. Mtu huyo...
2 Reactions
8 Replies
841 Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametia saini agizo la kuwataka wananchi wake wajiandae kwa ajili ya ulinzi. Agizo hilo litatekelezwa kwa muda wa miezi mitatu. Kwa mujibu wa taarifa raia pamoja...
7 Reactions
48 Replies
4K Views
Pastor John Hagee - Here is my message about the invasion of the Ukraine 🇺🇦 Today, The headlines of the Wall Street Journal Shook America, saying UKRAINE BRACES FOR WAR. Russia's dream of...
1 Reactions
3 Replies
931 Views
Image source: Hennepin County Sheriff's Office/AP Mahakama nchini Marekani hatimae imewakuta maafisa watatu wa polisi wa zamani wa Minneapolis na hatia ya kukiuka haki za kiraia za George Floyd...
0 Reactions
1 Replies
750 Views
Rais wa Ukraine, Volodymyr ZelenskyImage amewahamasisha wananchi wake kuwa tayari kupigana kwa taifa lao na kuwa atampatia silaha mtu yeyote anayetaka kushiriki katika vita dhidi ya Urusi. Picha...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Joe Biden amekuwa ni mtu wa maneno matupu bila vitendo tofauti na mtangulizi wake Trump. Je kama Trump angekuwa kwa ofisi muda huu, Ukraine isingekuwa kwenye hali hii?
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea Tajiri wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine bunge uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe na anyanganywe timu ya Chelsea kwa sababu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tovuti ya gazeti la Marekani “Los Angeles Times” tarehe 19 mwezi huu iliripoti kuwa vifaa vya kisasa vya kiteknolojia kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing vinawavutia watu...
0 Reactions
1 Replies
525 Views
Kuanzia tarehe 21 hadi tarehe 28 mwezi huu, Beijing itaendelea na kazi ya kubadilisha mandhari ya mji iliyopangiliwa kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kuwa kwa...
1 Reactions
0 Replies
421 Views
Bustani ya Shougang ya Beijing ilifuatiliwa na dunia nzima wakati Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 ambapo wanamichezo wa China Gu Ailing na Su Yiming walipata medali za...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
“The primordial interest of the United States, over which for centuries we have fought wars:the First, the Second and Cold Wars, has been the relationship between Germany and Russia, because...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Nchi za Umoja wa Ulaya zimekubaliana kurahisisha safari za watalii waliochanjwa dhidi ya Covid-19 au waliougua na kupona ugonjwa huo. Baraza la umoja huo wenye wanachama 27 limependekeza kuwa...
0 Reactions
1 Replies
692 Views
Kwa kweli sijawahi kuwa mshabiki wa vita vyovyote vile kwa sababu siku zote anayeadhirika katika vita ni binadam wa chini kabisa Watawala kazi yao ni kutoa matamko tu, vitani huwezi kuwaona...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Benki zote za Warusi zilizopo Uingereza zimezuiwa, na Kampuni kubwa za Kirusi zitazuiwa kukopa kwenye Soko la Fedha la Uingereza Kampuni ya Ndege ya #Aeroflot haitaruhusiwa kutua Uingereza na...
0 Reactions
6 Replies
756 Views
Wapo wanao tazama vita hii ya Urusi na Ukraine kama "intimidation of diplomatic tactics (mbinu za kiufundi katika diplomasia ya kijeshi)" Hivyo uona kuwa vita kamili haitapiganwa kamwe, wengi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni wazi kabisa kipindi cha Trump, raisi wa Urusi alikuwa akimheshimu sana kiasi kwamba hakuweza kuthubutu kufanya haya anayoyafanya kwa sasa kwa sababu aliogopa response ambayo Trump angeichukua...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Bunge la Ukraine limepitisha azimio la nchi hiyo kuwa katika hali ya hatari kwa siku 30 kutokana na mzozo uliopo kati ya Nchi hiyo na Urusi Mamlaka nchini humo zimeruhusiwa kuzuia raia kutoka...
3 Reactions
104 Replies
9K Views
Back
Top Bottom