Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wanaojua dalili hizi ni za ugonjwa gani wanisaidie na tiba yake ni nini? DALILI - Kutokwa na uchafu kama uji hata akivua chupi anaukuta. - Kuhisi maumivu wakati wa sex kisha muwasho baada ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu. Naomba kujulishwa wapi naweza kupima DNA kwa gharama na mashart rahisi. Maana nimefatilia kwa Mkemia Mkuu gharama ni nafuu, lakini mashart ni magumu mno.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar wadau, Kuna wakati ukifika mtu unang'oa jino una miaka lets say 32. Je, upi ni uamuzi sahihi? Nimefuatilia nimesikia kuwa jino pekee lunaloweza kuota tena ni deduced teeth na sio permanent...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukisikia kama kuna pepo la magonjwa linampango wa kukuandama nakukuangamiza nadhani ndio huku..... Wakuu na madaktari wa jf nawapa heshima zenu wasalaam....niende kwenye mada... Takribani wiki...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Jamuhuri ya muungano wa Tanzania? Wakuu hili ni tatizo au ni afya njema, nipo na kama miezi 7 au na zaid nagombana na wife anasema usiku namuwaza mubebe wa nje ndo maan bwan dullah bichwa wazi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu wapendwa nawasalimu wote! Niliamua kwenda kwenye moja ya hospitali zetu hapa jijini kwa ajili ya kuangalia afya! Nilitaka kujuwa afya yangu kwa ujumla kuanzia pressure,sukari,ukimwi na...
7 Reactions
105 Replies
23K Views
Hello waungwana wa JF. Naombeni kuuliza kama kuna mtu aliyetumia dawa ya kutibu kisukari iwe ya hospital au mitishamba naomba tuwasiliane please ni kisukari type 2 boss. Sio wale Akina mzizi...
5 Reactions
69 Replies
11K Views
Wataalamu wanasema Ukitaka kupunguza uzito, punguza kula vyakula vyenye wanga badala yake tumia mbogamboga na matunda Kwanini wanasema hivyo Thread Vyakula kama viazi, chipsi, mkate, na ngano...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Mdogo wangu anatatizo la masikio kumuuma kwa ndani, naomba msaada wa hospital nzuri hapa Dar es Salaam ambayo naweza kumpeleka akatibiwa vizuri. Msaada wenu ni muhimu Asante
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Habarini wana JF naomba msaada kwa waliofanikiwa kupona madhara yanayosababishwa na upigaji wa punyeto kwa mdaa mrefuu mbinu walizo tumia matibabu na dawa walizotumia mpaka kurudisha uwezo wao wa...
5 Reactions
37 Replies
5K Views
Habar wakuu hivi pituitary gland huwa nayo inaweza kuwa na shida na itasababisha mtu kupata tatizo gani
1 Reactions
62 Replies
2K Views
Wakazi wengi wa Dar es Salaam wanapenda kula kula vyakula vya njiani, vyakula vya kukaanga kama kachori kuku supu na chips. Hivi vyakula ni hatari kwa afya yako ifike mahali watanzania tujionee...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar wakuu hivi prolactin ikiwa nyingi husababishwa na nin
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu habar Kuna anaejua kutumia binzari na pilipili manga kama tiba ya kuimarisha kinga
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Habarini wakuu, Mimi naombeni msaada bao moja nachukua Masaa mawili hadi matatu na nikishapiga chali. kuna muda mwingine naweza nisimalize kabisa nikaahirisha mechi. Je, huu niugonjwa ama ni...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
JF doktaz naomba msaada wenu wa dawa gani ya kutuliza hangover AKA mning'inio.
0 Reactions
385 Replies
68K Views
Habari wakuu, msaada wenu naaangamia. Nina tatizo la thyroids ambayo imepelekea niwe na fatique uchovu wa mwili muda mrefu, kukosa nguvu za utendaji kazi na kuishiwi hamu ya tendo la ndoa kabisa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba mwenye pdf ya medical Examination Form, ambayo attitudinal mtoto kwenda shule. Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Yaan hata kupika nimeshindwa....mambo siyo mambo... Kichwa kinauma,naona Kuna dalili ya kikohozi.....wanaosema Bora uumwe mafua kuliko Nini sijui....ndugu yangu yanakuwa hayajakukamata aisee.🤧🥵...
20 Reactions
273 Replies
8K Views
Wakuu naomba kwa anaefahamu dawa hasa za asili au zozote ambazo zinasaidia mfupa kuunga haraka. Kama hazipo pia naomba nijulishwe au kama kuna njia yoyote inayoweza kutumika kusaidia hili...
0 Reactions
45 Replies
18K Views
Back
Top Bottom