Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Unajua kuwa nanasi ndiyo tunda pekee duniani lenye vimeng’enya vya bromelain? Huchukua zaidi ya asilimia 90 ya vimeng’enya vyote vinavyopatikana kwenye nanasi. Vimeng’enya hivi vinavyotumika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada wenunimepimwa nimkutwa nna multnoduler goiter na hormones t3 iko high
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari za muda huu Kuna rafiki yangu wa kike anashida ya tumbo kumuuma kusikia vichomi kwa wingi na kushindwa kupata mzunguko wa siku zake Kuna kipindi aliambiwa ana uchafu mfuko wa uzazi...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwenu JF Doctors, Kuna ndugu yangu wa kike amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya kiafya ambayo alionekana kama stress, anxiety, depression ,high pulse rate, fluctuating pressure, short memory/low...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ujauzito huja na tabia nyingi ambazo baadhi huwa za kawaida huku baadhi zikiwa siyo za kawaida. Ni muhimu sana kwa mama mjamzito kuzungumza na daktari mara kwa mara ili kuondoa sintofahamu hizi...
3 Reactions
1 Replies
5K Views
By Greg Campbell. There is no plant in the history of human existence with as checkered a reputation as cannabis. It is either a heaven-sent cure for all that ails us, or it's a scourge on...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za jioni wana jukwa. Kwa muda sasa kuna hali inamtokea mwanangu ila sijui ni ugonjwa au ni kitu gani. Akiwa na mwaka moja kama mnavojua watoto alikuwa anacheza katika sehemu ya hatari...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Kama mwaka mmoja umepita tangu nijihisi mabadiliko katika mwili wangu, in short vingi vilibadilika kama; kupungua hamu ya kungonoka 'sex drive', kutokuwa na mood mara kwa mara, kuongezeka ukubwa...
4 Reactions
27 Replies
7K Views
Habari wadau. Hivi ni Hospitali gani nzuri kwa Mama mjamzito kujifungua. CCBRT Maternity nimeskia ni mpya naomba kujua uzoefu kwa aliewahi kufika na kupatiwa huduma pale. Comparing CCBRT na...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Noaomba msaada, nitapata wap maziwa og ya lactogen namba moja nataka kununua kwa jumla?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za kushinda wadau. Naomba mnijuze hizo ovulation prediction kit zinapatikana wapi coz calender yangu ni vurugu haisomeki mara 23,24 au 25 maduka ya dawa niliyojaribu kupitia hata hawajui...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Idadi hiyo imeongezeka kutoka 99 ya awali chanzo kikitajwa ni matumizi ya dawa za kifua za Watoto, ambapo mamlaka zimesema uchunguzi unaendelea. Kuna wagonjwa 241 wa majeraha ya figo katika...
1 Reactions
2 Replies
863 Views
Mfamasia Mkuu wa Serikali, Daud Msasi ametaja sababu kuwa ni matumizi yasiyosahihi ya dawa ikiwemo kutomaliza dozi na kushirikiana dawa kwa wagonjwa bila maelekezo ya wataalamu. Amesema matumizi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tauni ya Kifo Cheusi (Bubonic Plague): Ulitokea mwaka 1347 – 1351, watu milioni 75 hadi 200 wamekadiriwa kufa, ndani ya miaka 4 uliua takribani theluthi ya wakazi wa Ulaya. - Mafua makali ya...
1 Reactions
2 Replies
391 Views
Hii ni baada ya mapigano makali kati ya Polisi na Waandamanaji wanaopinga Utawala wa Kijeshi Nchini humo yaliyosababisha vifo vya takriban watu 50 Mamia ya Waandamanaji walijitokeza katika Mji...
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Ninaiomba Serikali kupitia wizara ya afya itoe muongozo kwenye matumizi ya vinywaji viitwavyo energy maana imefikia watu wanadhani ni soda wanakunjwa kila baada ya kula na kukata kiu au...
17 Reactions
45 Replies
5K Views
Habarini zenu wataalam,Nisikuchosheni nakuja kwenu nikiwa na tatizo la kukojoa damu yaani kifupi niligundua tatizo hili nilipokuwa chooni, Choo kilikuwa cha shida Sana kulingana na nguo niliyokuwa...
1 Reactions
6 Replies
785 Views
Wanajamvi habari ya Uzima. Natumaini Mungu anaendelea kutulinda sote. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Naomba msaada wa dawa ya Asili ya kifua ndugu zangu kwani Nimetumia dawa nyingi sana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Iyo hali hata sielewi jaman naomba ushauri nitumie dawa gani mwanangu hapone wakuu.
1 Reactions
13 Replies
607 Views
Habar wakuu nasubiliwa na goiter wap ntapata dawa au hospital nzuri kwa ajiliya uchunguzi zaid Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
7 Replies
433 Views
Back
Top Bottom