Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wakuu habari, Naomba masaada mwenye kujua tiba mbadala au ya kisasa ya masikio kulia kama kengele au miluzi. Janga hili linanitesa sana nashindwa kusikia vizuri.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Utengenezaji wa mbegu za kiume katika kiwanda cha kutengenezea mbegu katika mwili wa mwanaume (mapumbu) huchukua muda mrefu kuliko wengi wanavyodhani. Mfumo hutengeneza sperms kila siku, lakini...
18 Reactions
90 Replies
11K Views
Salaam wataalamu... Nahitaji msaada ndugu zangu, Mwanangu wa kike aliwahi kulazwa Mnyamala kwa Pneumonia na anaemia akiwa na miezi 5 takriban. Akatibiwa akapona ila hili TATIZO LA KICHWA KUWA...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Tatizo la watoto kuzaliwa na vichwa vikubwa, au kuwa na mgongo wazi husababishwa na upungufu wa Folic acids anaokuwa nao mama mjamzito. Mwongozo wa CDC unashauri kila mwanamke anayepanga kushika...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilipima mwaka jana mwezi Septemba nikakutwa na Amoeba nikapewa drox nikainywa dozi ikaisha. Jumatano ya juzi nikapima tena nikakutwa na Amoeba wengi mno. Daktari akanipa Metronidazole (flajin)...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa Oktoba 31, 2022 na taasisi ya JAMA Network Open inaonesha Watoto walioathiriwa na kiasi kidogo cha Kafeini kabla ya kuzaliwa wamebainika kwa wastani kuwa wafupi...
1 Reactions
1 Replies
595 Views
BAADHI YA WADAU WENYE TATIZO HILI Nisaidieni dawa ya kuniwezesha kupata choo cha kawaida, maana ni miaka sasa imepita nimekuwa na hili tatizo la kuwa na choo kigumu kiasi kwamba nasikia haja...
9 Reactions
698 Replies
343K Views
Wakuu habari za mchana! Naamini huku katika jukwaa letu pendwa kuna watu wenye uweledi na ufahamu mkubwa, naomba mnijibu swali langu hili. "Nini kinasababisha mtoto kuzaliwa na upofu? Je, kuna...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Msaada jamani ninamtoto mmoja kwa sasa anamiaka mitatu najitahidi sana kwenye tendo la ndoa natafuta wapili lakini wapi hata tukitegeshea siku za hatari wapi, tatizo lipo wapi hapa anayejua dawa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari ya wakati huu wadau wa afya jukwaa, naomba kujuzwa pia kushauriwa juu la hili tatizo, Mke wangu ikotokea ana mawazo au stress sana akitulia sehem moja hususan kalala huanza kugeuza shingo...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisumbuliwa na kichomi na nimeshatumia dawa nyingi sana za hospitali lakini bado tatizo liko pale pale. Naomba mnisaidie dawa itakayonisaidia kuondokana na tatizo hili.
1 Reactions
49 Replies
205K Views
Habari zenu JF doctors, naumwa sana nikikojoa mkojo hautoki, wote unakua kama unabaki ndani ya kibofu halafu napata maumivu makali sana. Nimeenda hospitali wameniambia nina U.T.I, wameniandikia...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu nauliza nawezaje kutengeneza juis ya mboga za majani bila kuweka maji nakwakitumia mashine gani Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
474 Views
Habari wakuu, Wapi napata PDF yenye muongozo wa wizara wa kufungua private dispensary?
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Kitunguu swaumu tangu kale kimekuwa kikijulikana kama 'dawa ya kushangaza' na kutumiwa na watu wengi katika kutibu mafua na influenza. Miongoni mwa faida za kitunguu swaumu ni kuzuia kupatwa na...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
hii ni kabla Habari za siku nyingi wakuu na members wore wa JF. Ndugu wana JF wezangu tarehe 25 mwezi wa sita mwaka huu, wife alijifungua mtoto wa kilo 6 na mtoto akawa na tatizo la ugonjwa wa...
11 Reactions
12 Replies
2K Views
Na Daktari Augustine Rukoma Miaka ya nyuma iliaminika kuwa ugonjwa wa kuoza kwa meno si wa kuambukiza; lakini tafiti nyingi zilizofanyika zimedhihirisha ni ugonjwa wa...
6 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ndugu wote wa JF, Baada ya kujisikia mwili na viungo mbalimbali vikiuma sana, leo nimeenda kufanya vipimo mbalimbali kujua tatizo ni nini. Na haya ndio majibu ambayo nimetoka nayo maabara...
0 Reactions
4 Replies
674 Views
Habari wakuu, Tatizo ni la muda mrefu kidogo.. tangu 2020, ninakojoa sana muda wa asubuhi kabla ya saa 5 nakuwa nishakojoa zaidi ya mara tatu.. na usiku naweza kuamka hata mara 7, mchana huwa si...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habar wakuuu! Nina urefu futi 6 pia ni mtu wa mazoezi san kuwa na KG80 kiafya nisaw?
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom