Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habar. Nasumbuliwa na shida ya mwili kukosa nguvu hasa mikono na miguu, pia nahis ganzi miguuni na mikonon pamoja na maumivu nikikunja na kukunjua viganja vya mikono. Je hizi ni dalili za nn?
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamani tumsaidie mwenzetu. Ana mtoto wa miezi miwili, sasa leo kafanya mapenz na mke wake na kamwagia ndani. Hivi ataweza kupata mimba? Na je akitumia P2 kuzuia mimba haitakuwa na madhara kwa...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Indonesia imesitisha uuzaji wa Dawa za kimiminika za Kutibu kifua kufuatia vifo vya karibu Watoto 99 huku kukiwa na visa 206 vya majeraha ya papo hapo ya figo kwa watoto, wengi wao wakiwa chini ya...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Habarini Wakuu.. niende moja kwa moja kwenye hiki kisa kinachoumiza akili yangu.. Mwaka 2011 nikiwa kidato cha kwanza pale shuleni kwetu kulikuwa na mwanafunz wa kike wa kidato cha pili mzuri...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Wadau naitaji msaada wa dawa ya hvi vipere ni miaka 6 sasa nasumbuka navyo nishahangahika Sana vnapotea na kurudi
0 Reactions
8 Replies
784 Views
A guy is considered to have a low sperm remember if he has fewer than 39 million sperm in line with ejaculation. A low sperm matter is also referred to as oligospermia, remember the fact that what...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombanei mnishauri kuhusu hii hali Iko hivi Nina mtoto wa miaka minne ,ila anapata mafua mara kwa mara na Kila mafua yakimshika yanaambatana na joto Kali sana kati ya nyuzi joto 38 hadi 40 hivyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ujauzito wa mwanamke hudumu kwa walau siku 280 tangu utungwe hadi siku ya kujifungua. Ni muda mzuri unaopaswa kuchukuliwa kama sehemu ya maandalizi muhimu kwa mwanamke kabla ya kuuleta uhai mpya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ameandika Daktari Paul Masua kupitia Ukurasa wake wa Instagram Kuleni Vyakula hivi, vitawaepusha na upofu ukubwani; Sukumawiki, Spinach, Mayai, Mahindi ya kuchemsha, Broccoli na Machungwa. Je...
1 Reactions
1 Replies
714 Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU Ndugu yangu amepata matatizo haya 1- Lips na ile nyama ya kinywa inakuwa nyekundu haina weupe ila ni nyekundu kama mtu aliyeungua na chai mdomoni. 2-...
0 Reactions
177 Replies
108K Views
Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni kijana kwasasa nina umri wa miaka 24 Nina tatizo la tumbo kujaa mapema. Yaani sasa hivi nikila kitu chochote au nikinwa maji nahisi utumbo wote umejaa na kuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Na ndugu yangu hata akitoka kuoga ile kubadilisha nguo tayari harufu nyumba nzima ya jasho kwenye kwenye kwapa. Nadhani ana tatizo la kutoa jasho sana ila lina harufu kali haswa, ni...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Sigara huzalisha kemikali za uraibu (Nicotine) ambazo husababisha maradhi yanayo husisha mifumo mbalimbali ya mwili wa binadamu iliwemo ile ya damu, moyo na upumuaji. Pia, ni chanzo cha aina...
1 Reactions
7 Replies
956 Views
Chuchu bandia zimekuwa zinatumika sana katika kurahisisha uleaji wa watoto, hasa wale wakorofi. Huwasaidia wazazi kupata uhuru kidogo wa kufanya kazi zingine kama kupika, usafi wa nyumba au...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
*JITIBU NYUMBANI KWAKO* *KIUNGULIA* [emoji116][emoji116] Aliyepatwa na kiungulia ale nyanya 1 asubuhi na jioni1 kitaondoka In shaa Allah *KUZUIA KUHARISHA* [emoji116][emoji116]...
5 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari za leo wakuu, naomba kujuzwa inakuwaje mpaka mtu anashindwa kutimiza lengo lake la kujiua? Je ni kusema kuwa sumu anayotumia haina nguvu au ni kwamba muda wake haujafika? Naombeni majibu...
1 Reactions
0 Replies
320 Views
Wanajf salaam, Mimi ni binti wa miaka 24 nimeanza period tarehe 4 na kumaliza tarehe 6 mwezi huu nisex lini ili nipate mimba maana natamani sana mtoto. Natanguliza shukrani
2 Reactions
45 Replies
13K Views
Habar wakuu tangu juzi nimekua namaumivu ya Koo upande wakulia wakati wakumeza mate au kugeuza shingo sasjua hii Itakua nin Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
133 Replies
9K Views
Habar wakuu nasumbuliwa namaumivu makali yakoo nkiwa nimelala usingizini usiku woote Hadi kunakucha naskia maumivu nkiamka yanaaza pungua ....msaada wenu wa mawazo Sent from my Infinix X656 using...
0 Reactions
8 Replies
892 Views
Back
Top Bottom