Za mida wakuuu natumai ni wazima
Kwa wiki ka 8 iv nasumbuliwa n homa.kali sana ambayo.kuna muda hua unalungua . Nilijarbu kuenda ku test HIV. TYPHOID N MALARIA PAMOJ N MKOJO wiki kama 3...
Naomba msaada wanazengo nimepoteza hamu ya kushiriki tendo ghafla yani demu wangu anakuja geto mara 4 mfululizo lakini sina hamu kabisa yani ananifanyia kila kitu michezo yote yani mautundu yote...
Habari ndugu wana Jamii Health,
Mimi nina mtoto mwenye umri wa miezi 2 na wiki 2, tatizo la mtoto wangu ni kwamba hatoi haja kubwa, yaani ananyonya tu ila hakuna haja kubwa, ila mkojo anakojoa...
Mtoto akifikisha miezi 6 unaweza kuanza kumpatia vyakula vingine kidogo kidogo.
Mtoto akianza kupewa vyakula nje ya maziwa mapema kabla ya miezi 6 ni hatari kwa afya yake maana mfumo wake wa...
Baada ya kusumbuka kwa takribani wiki tatu sasa, afya yangu ikiharibika kwa kasi huku mimi binafsi, vipimo na ushauri wa madoctor ukionyesha ni uchovu tu au tatizo la kawaida. Jana nimekuja...
Kuna dawa ya kutibu malaria maarufu inayojulikana kwa jina la MALAFIN
Hiyo dawa hapo juu ndani ina vidonge viwili na huwa inauzwa kwa bei ya sh 1500, na sehemu nyingine huwa ni sh 2000.
Baada...
Habari wapendwa,
Naomba kujuzwa kama naweza tibiwa tatizo la mtoto wa jicho na likapona. limeanza kidogo naona linaendelea.
Ningependa kujuzwa na gharama zikoje.
Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu...
je!? yale malipo ya bima ya afya, iwapo muhusika atopata huduma kwa kutopata maradhi ndani ya kipindi husika.
mfuko hufanya nini na hizo pesa!???
Nashauri
mfuko kurudisha fedha za mwana mfuko...
Wakati baadhi ya wanawake wakizichangamkia dawa za asili za kuongeza ukubwa wa makalio, watalaamu wamesema mpaka sasa hakuna dawa iliyothibitishwa na Mamalaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) hivyo...
Ndugu yangu wa karibu sana anatatizo la HIV muda mrefu sasa ila tatizo lake CD4 zimeshuka sana zipo 18 na uzito 45 hawez kutembea mwenyewe na pia anasumbua sana kula chakula
Je ni dawa...
Ugonjwa wa UKIMWI bado ni tatizo kubwa katika jamii, hivyo ni muhimu kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya kujikinga na ugonjwa huo.
Ni muhimu kuhimiza watu kuchukua tahadhari kwa wale ambao...
Habari zenu mimi nilikuwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kukosa choo.
Nilifanyiwa upasuaji (operation) hospitali ya Mloganzila mara mbili mwezi wa 5 na mwezi wa 7 mwaka 2021 sasa, nimekuja...
Wataalam wa afya wanasema asilimia 80 ya viharusi vinaweza kuzuiwa kupitia mabadiliko ya mtindo mzuri wa maisha na kucheki afya mara kwa mara ili kudhibiti hatari za kiharusi.
Watafiti wamegundua...
Naombeni Msaada wa Mawazo. Habari mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 niko na changamoto.
Awali nilijihusisha na matumizi ya pombe, mihadarati na bangi ikanisababishia kupata matatizo ya...
Wakuu habari zenu?
Kuna kitabu kimoja nime bahatika kukisoma kinaitwa healthy food kimeandikwa na George D.Pamplona-Roger,M.D ,nilichokisoma humo ndio nikaamua nije niwaambie na nyinyi wakuu...
Wakuu siku nne zilizopita kuna ka upele kadogo kaliota juu kidogo ya goti mimi nikaona kameiva nikakatumbua. Sasa kamekuwa kero, maana ukubwa wake umeongezeka maradufu halafu naumia, naombeni...
Msaada kwa ma expert mimi nina tatizo la kupata majipu masikioni ambapo kuna kipindi sehemu ya sikio ilikua ikiwasha sana yaani unaweza dhani kuna mdudu au kuna kitu kinatembea masikioni lakin...
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Novemba 26, 2022 watazindua upya utoaji wa chanjo ya Saratani ya Mlango wa kizazi nchini kwa wasichana ili kuwakinga dhidi ya aina hii ya saratani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.