Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari wadau Ndugu yenu nipo kwenye diet ili nipunguze unene sasa kwa mujibu wa watu ili nikonde wameniambia inabid nisle vyakula vya mafuta, chumvi, sukari, protini na wanga yani vitu km...
5 Reactions
64 Replies
9K Views
Siku ya Afya ya Akili Duniani ni Siku ya Kimataifa maalumu kwa kutoa Elimu ya masuala ya Afya ya Akili, Uhamasishaji na Utetezi dhidi ya Unyanyapaa wa Kijamii pamoja na athari zake kwa wale...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Msaada tafadhali kwa anayefahamu daktari bingwa wa moyo kwa watoto (cardiologist). Naomba mawasiliano yake au jina na hospital anayopatikana. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hili tatizo nimedunu nalo kitambo sasa yapata miaka 13, nilipoona yanaota vijinyama kwenye zakari (uume). Hili tatizo ni serious na kwa kweli kama ni gonjwa la zinaa mimi sijui, niliona tu...
0 Reactions
9 Replies
756 Views
Habari wataalamu, Mimi naomba kufahamishwa ni wiki ya ngapi mwanamke mjamzito anatakiwa kujifungua? Je, akiwahi kujifungua kuna tatizo? Je, akichelewa kuna tatizo gani kati ya mama au mtoto...
0 Reactions
10 Replies
167K Views
Je Mimi Ni mraibu Hili linaweza lisiwe jambo rahisi kufanya. Katika kipindi chetu chote cha utumiaji, tulijiambia, “naweza kuhimili.” Hata kama hili lilikuwa kweli mwanzoni, sio hivyo sasa...
1 Reactions
1 Replies
784 Views
Mchanganyiko wa dawa za Ibuprofen na Codeine unavyohatarisha maisha Kumeza dawa ambazo inachanganya ibuprofen na codeine inaweza kuwa sumu. 6 Oktoba 2022 Shirika la Ulaya la madawa la Ulaya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonesha uwepo wa watu takriban bilioni 2.2 wenye changamoto za macho zinazohusisha upofu na uoni hafifu. Kwa kiasi kikubwa, changamoto hizi zinaweza...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Mitishamba ipo na huwa inafanya kazi. Mitishamba ilitumiwa na mababu zetu enzi na enzi na ndio maana walikuwa na wake zaidi ya wawili na shoo za ukweli zilipigwa. Leo hii nashangaa kawama...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa kiasi kikubwa, vijiwe husababishwa na kukosekana kwa usawa wa maji, madini na tindikali mwilini, ambayo kitaalam huitwa electrolyte imbalance. Kuna magonjwa kadhaa ambayo husababisha kwa...
1 Reactions
2 Replies
7K Views
Haushauriwi kujifungia chumbani ukiwa unalala au wakati wa kupika chakula wakati unatumia jiko la mkaa. Aina hii ya jiko huzalisha gesi yenye sumu inayoitwa Carbon monoxide (CO) ambayo huufanya...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Ikiwa 'umeuza' mechi au kondomu imepasuka, basi usihamaki kwea bodaboda fasta wahi hospitali ya karibu na jipatie PEP kwa siku 28 na utakua safi. TAHADHARI: Utapewa PEP baada ya kupimwa HIV na...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Katika taarifa yake, Shirika hilo limesema Afrika ina nchi 6 kati ya 10 zenye viwango vya juu zaidi vya watu kujiua duniani kote ambapo tatizo la Afya ya Akili huchangia hadi 11% ya sababu za...
2 Reactions
3 Replies
808 Views
Mabadiliko makubwa ya mfumo wa homoni pamoja na kasi ya ukuaji wa mtoto ambayo huleta mgandamizo kwenye tumbo la chakula ni mambo mawili yanayosababisha kutokea kwa tatizo la kiungulia kwa...
4 Reactions
5 Replies
3K Views
Juzi kati nilikua nimekaa maeneo flani na washkaji!!. Ktk piga piga stori tukajikuta tumezama kwenye ishu ya ushoga na hii ni baada ya jamaa mmoja kipande cha mtu kukatiza karibu na meza yetu. Mi...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika kipindi hiki; kipindi cha mtandao wa intaneti mambo yamebadilika sana kiasi kwamba mtu akiwa na simu au kompyuta yake anaweza kuingia mtandaoni kwenye kila tovuti na kurasa kupitia simu...
9 Reactions
203 Replies
11K Views
KUNA baadhi ya mambo ambayo mara nyingi ukiyafanya huwa ni lazima ufupishe maisha yako kwa namna moja au nyingine. Hii yote huwa inatokana na aina ya maisha uliyoyachagua, ambayo huwa ni hatari...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Upungufu wa damu (Anemia) wakati wa ujauzito ni tatizo linalo wapata wanawake wengi. Tatizo hili huwaongezea hali ya kujisikia uchovu, kupauka kwa rangi ya ngozi, maumivu ya kichwa pamoja na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Je, kuna mahusiano au uhusiano wowote kati ya tatizo la upungufu wa damu kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa (miaka 15 mpaka 49), kwa wanawake wajawazito, tatizo la vifo vitokanavyo na uzazi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanna Jukwa La Jamii Forums naombeni msaada sijui nifanye nini juu ya meno yangu kwasababu yanazidi kutoboa na kupuputika na kuisha kabisa linabaki pengo tuu mwenyewe sijui chochote juu ya kuzuia...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Back
Top Bottom