Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Nenda kachemshe bamia, hakikisha hutii chumvi kabisa au tia kidogo tu kama huwezi kula bila chumvi. Chemsha kidogo (isibadilike rangi). Kula kabla hazijapoa kabisa. Fanya hivyo kwa siku 12-16...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Idadi ya watu wanaougua au kufariki kwa ugonjwa wa saratani ya Ini wataongezeka kwa hadi zaidi ya asilimia 55 ya kiwango cha sasa ifikapo mwaka 2040 iwapo jitihada za haraka hazitafanyika...
0 Reactions
3 Replies
731 Views
Habari wadau wenzangu wa Jf. Kuathirika sio mwisho wa maisha kwakuwa kuna watu wameathirika na wanafanya shughuli zao kwa Amani Kabisa.Wanafanya biashara wanafanya kazi serikalini. Wanasoma shule...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Watafiti nchini Uganda wanasema virusi vya Ebola vinavyosambaa nchini humo vimebadilika. Prof Pontiano Kaleebu wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi vya Ebola aina ya Sudan anasema hata hivyo hakuna...
0 Reactions
1 Replies
553 Views
Idadi hiyo imetajwa katika Idara ya Huduma za Nje ambapo kati yao, Wagonjwa 30 hadi 70 hupewa Matibabu na kuondoka huku Wagonjwa 9 hadi 15 wakilazwa. Daktari wa Vyanzo vya Akili, Veronica Lyimo...
0 Reactions
1 Replies
729 Views
Asilimia 30 ya maduka ya dawa za binadamu Kanda ya Ziwa Magharibi yanadaiwa kuuza dawa za kuongeza nguvu za kiume ambazo hazijasajiliwa pamoja na dawa za kuharibu vichocheo (hormones) kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Unapojiuliza nitawezaje kuishi na figo? Au kuna madhara gani kuishi figo moja Jibu Ni hili Hakuna Shida yoyote kwani kuna watu walizaliwa na figo moja na wanaishi vizuritu. Jambo la muhimu Ni kua...
1 Reactions
0 Replies
625 Views
Habarini Wana JF. Naomba msaada kuna ndugu yangu anasumbiliwa na ganzi hasa mikononi miguuni. Na mara inamtokea wakati wa usiku, na wakati mwingine inaambatana na maumivu ya kichwa. Hali hiyo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Msaada Drs.. Uume wangu ulianza vipele baada ya kunyoa baada ya Hapo vikaleta vidonda nikaenda duka la dawa nikapewa fluconazole tabs na sonaderm cream nikatumia vimekauka sasa vimeleta vitu...
1 Reactions
4 Replies
639 Views
Wadau salama, Nina swali kidogo hapa nahitaji msaada! Je, kulala katika zulia/carpet kwa muda mrefu kunaweza kuwa na madhara huko mbeleni ya kiafya? Nawasilisha
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Serikali ya Tanzania imesema, inafanya ukaguzi maalumu ili kubaini iwapo aina nne ya dawa zilizopigwa marufuku na Shirika la Afya Duniani (WHO), zimeingia katika mzunguko nchini humo. Jana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ndugu zangu wana JF nimepita kona frani nikakuta jamaa wanajadiliana juu ya mafuta ya ubuyu kuwa yanatibu magonjwa mengi.sasa kwa wale wanaofahamu zaidi juu ya hili, naomba kujuzwa zaidi.
0 Reactions
12 Replies
19K Views
Nauliza tu kwa nyie wanajamii wenzangu, hivi hii inasababishwa na nini asubuhi kuamka kwenda kazini yaani uvivu wa ajabu yaani natamani kurudi kitandani nilale. Kuna muda nilidhani labda...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa tahadhari ya Kimataifa kuhusu Dawa za ( Promethazine Oral Solution, Kofexmalin Baby Cough Syrup, Makoff Baby Cough Syrup na Magrip N Cold Syrup) baada ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani anayejua tiba ya tumbo kujaa gesi naomba anisaidie
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Sumu ya chakula (Food poisoning) ni tatizo linalosababishwa na ulaji wa chakula kichafu kilichobeba vimelea vya magonjwa hasa bakteria na virusi, au sumu zake. Vimelea hivi pamoja na sumu zake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu? Nina tatizo la kukohoa kwa muda mrefu nilienda hospital wakanipima makohozi kuangalia kama Nina tb lakini sikuwa nayo wakanipiga xray ya kifua wakaniandikia dawa za pneumonia...
1 Reactions
32 Replies
23K Views
Wasalaam wadau naombeni ushauri, nina mdogo wangu wa kike yupo kidato cha nne sasa amekuwa akisumbuliwa na kikohozi kikavu(kisicho na makohozi) tangu mwezi february. Baada ya kumpeleka hospitali...
1 Reactions
13 Replies
35K Views
CPR, ama Cardiopulmonary Resuscitation ni njia ya dharura na haraka, inayotolewa kwa mtu aliyepatwa na changamoto ya mshtuko wa moyo (Cardiac arrest). Huhusisha kubonyeza kifua pamoja na kutoa...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina tatizo la kuhisi njaa kwa muda baada ya kumaliza kula, nini ufumbuzi wa tatizo hili
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom