Kwa wale wenye uhitaji na Habbat Soda au Black Seed Oil kwa lugha ya Kizungu wanaweza kuwasiliana nami kupitia ile namba yangu ile ile 0756419186 na yanaweza kukufikia popote ndani ya nchi hii...
Figo hufanya kazi ya kuchuja damu kwa kuondoa maji na uchafu.
Aidha, hufanya kazi za kuweka uwiano sawa wa tindikali na alkali za damu, kutengeneza sukari kwenye nyakati ambazo mwili wa...
MAAJABU YA KARAFUU (SYZYGIUM AROMATICUM) KUTIBU MAGONJWA MBALIMBALI.
Karafuu pamoja na Unga wa karafuu
Karafuu ni tumba lililokauka la maua yasiyofunguka yanayopatikana kutoka...
Habari wakuu
Kiuhalisia namshukuru Mungu sana kwa kunitoa kwenya kifungo cha kupiga punyeto kilichodumu miaka (2011 - 2021)
Kiuhalisia safari ilikuwa nzuri hapo mwanzo na niliona ni hali ya...
Pengine umewahi kuwaza kwa nini baadhi ya wanawake wajawazito hupenda sana kula udongo, barafu, magodoro, nguo, sabuni, karatasi au vitu vingine visivyo chakula? Kitendo hiki kitaalamu huitwa...
Jamani naombeni msaada kwa mtu kama alishapata tatizo kama langu napata maumivu ya ngozibkwnye mapumbu to inakua na maumivu bado sijapata dawa hapawashi ila maumivu kama kunawekundu kama kumeungua...
Habari wana jf, poleni na majukumu. Nimefikwa na jambo linalo nitatiza ikabidi niwakimbilie kupata msaada.
Hivi karibuni nimepata mwanamke ambaye ameonesha upendo mkubwa na kunijali sana ila kuna...
Salaam.
Walevi wenzangu mpo,
Eeh bana eeh nimekuwa mara nyingi nikichanganya energy drink na konyagi, sasa nimeambiwa hiyo kitu ni hatari.
Sasa nipeni kinywaji mbadala ambacho nitakuwa...
Salamu ziwe nanyi wakuu.
Tuzungumzie mambo machache mawili Leo kiufupi sana.
a) Nguvu za kiume na
B) Mjomba kusimama. Na urefu wake (Perfect penile erection)
A) NGUVU ZA KIUME
Ni uwezo wa...
Natumai wote ni wazima
Nilizaliwa upande mmoja wa sikio kwa juu nje kuko na kitobo Kama mtu aliyetobolewa kwa ndani ivi natumai mlishakutana na aina ya watu Kama hao wengine wanakua ni pande...
Dkt. Mohamed Ali aliyekuwa akisomea Udaktari Bingwa wa Upasuaji alizikwa katika makaburi ya umma huko Fort Portal jana Oktoba 2, 2022.
Kwa mujibu wa Dkt, Alex Adaku, Mkurugenzi wa Fort Portal...
Sina maana mbaya saana.
Bali ninataka tu kuwafunguwa macho kidogo wenzangu wa africa. Magonjwa yapo kweli duniani.
Lakini sio kwamba kila ugonjwa unao semwa upo au hauna dawa mengine ni biashara...
MWANAUME anatakiwa kunywa uniti mbili za bia sawa na chupa mbili wakati mwanamke anapawa kunywa unit moja ambayo ni sawa na chupa moja ili kuepuka magonjwa yasiyo ambukiza ikiwemo Moyo.
Hayo...
Machapisho mawili ambayo yote yanalenga ujumbe mmoja wa kushughulikia changamoto ya afya ya akili kazini ambayo ni muongozo mpya wa kimataifa wa WHO kuhusu afya ya akili na uwajibikaji kazini na...
Kutembea ni njia salama na nzuri inayosaidia kuujenga na kuuimarisha moyo uwe na afya nzuri na usio katika hatari ya kushambuliwa na maradhi. Mazoezi au tabia ya kufanya mazoezi inayo faida kubwa...
Wataalam wa moyo wamesema magonjwa ya moyo yanazidi kuongezeka Nchini huku imani potofu zikiendelea kusambaa kuhusu tiba ya magonjwa hayo.
Mkurugenzi wa Tiba katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya...
Ni hali ya kawaida au shida ni nini? Kuna muda moyo unakwenda kasi na mishipa inadunda naiskia hadi kwenye vidole. Pia na mishipa ya kichwani naiskia inadunda mara kwa mara pasipo maumivu yoyote...
Hi, naomba kuelimishwa je kuna madhara gani ya kulala kifudifudi ama kulalia tumbo. mimi huwa napenda sana kulala kifudifudi.
Naenjoy sana kulala hvo na huwa napata usingizi mtamuuu! nilisikia...
Nina mpenzi wangu huwa mara nyingi ninaposex nae analalamika kwamba anaumia tumbo asa sijui kwasababu nampelekea moto harakaharaka yaan nakuwa na speed wakati na sex nae au ni mkao ninaomuwekaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.