Wakuu habari zenu, nina miezi 2 toka nioe.
Cha ajabu mke wangu kila ifikapo tendo la ndoa anadai anaumia na hata tukisex anataka bao 1 tu nikiongeza la pili anaumia tena sana.
MSAADA WAKUU MAANA...
Kuna baadhi ya tabia hupaswa kufuatwa ili afya ya kinywa na meno iweze kubaki imara siku zote.
Kwa mujibu wa Kituo Cha Udhibiti na Kinga ya Magonjwa cha Marekani (CDC), haya ndiyo mambo ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) kwa ajili ya maadhimisho...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi, Prof Pontiano Kaleebu, amesema ingawa Ebola haichukuliwi kama Ugonjwa wa zinaa katika baadhi ya tafiti, Wataalamu wamegundua uwepo wa Virusi...
Wadau,, me kijana wenu hapa nimekuwa Susceptible sana na hii homa ya Mafua,,, kwa experience yangu Sasa siwezi maliza miezi miwili bila Mafua na yakinishika Huwa yananishika kweli..
Yaan inafikia...
Asali ni mojawapo ya vyakula vinayofahamika kuwa na sifa ya kubeba vimela vya masalia ya bakteria wanaoitwa Clostridium botulinum.
Bakteria hawa ni hatari kwa watoto wenye umri chini ya mwaka...
Mifupa huupa mwili muonekano wake halisi pamoja na kulinda baadhi ya viungo vyake.
Aidha, hufanya kazi ya kutunza baadhi ya madini na virutubisho vya mwili, pia ni sehemu ambayo mwili huitumia...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema mikoa ya Kagera, Mwanza, Kigoma, Geita na Mara iko hatarini zaidi kutokana na kuwa jirani na nchi ya Uganda ambayo imekumbwa na Virusi hivyo.
Pia, ameitaja...
Mzuka Wanajamvi!
Nadhani Ngoma cha mtoto. Yani hii makitu ni hatariiii. Nimeshuhudia kwa mtu Yani akikojoa mkojo Kaa mlenda halafu haufiki chini unanata nata kwa kudunda hewani kwenda chini na...
Upande wa chini wa kinywa maeneo ya gego(meno makubwa) upande wa kushoto chini ,
ninapata maumivu makali sana , leo usiku sijalala kabisa , ni tiba ipi inafaa
Kulingana na utafiti uliofanywa na WHO(world Health Organisation) mwaka 2010 kwa asilimia 12% magonjwa ya Moyo yalitoa visa vya VIFO takribani million 17.3 na inakadiliwa kwamba ifikapo mwaka 2030...
KIFADURO
Kifaduro ni ugonjwa unaoambukiza, husababishwa na vimelea vya bakteria wanaoitwa Bordetella pertussis. Huenezwa kwa njia ya hewa na huwapata hasa watoto wenye umri wa chini ya mwaka...
Ndugu wataalamu wa afya na wanajamvi kwa ujumla, nianze kwa salaam.
Kama tunavyojua kuwa mama mjamzito akiwa katika hatua za mwisho kukaribia kujifungua, wataalam wa afya huwa wanapima njia ya...
Habari zenu wana jf,
Nimetokwa na vipele vinavyotunga usaha mwepesi baada Ya kunyoa kwa hivi vidude vya plastic na wembe wengi tunaviita gilleti, ninapooga navisugua vinaishia nimejaribu kupaka...
Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo leo ikiwa ni siku chache baada ya Serikali kuwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni na kueleza kuwa hakuna mtu atakayepigwa faini kwa kutokuwa na Bima...
Habari zenu wana jukwaa
Nilipata tatizo la mguu baada ya kudondoka na nilipoenda hospital nikapigwa X-ray kisha doctor akanambia kwamba nimevunjika mfupa mdogo ambao haubebi uzito kisha palepale...
Magonjwa ya kuhara husababishwa na vimelea vya aina mbalimbali.
Vimelea vya Rotavirus huchangia kwa kiwango kikubwa katika magonjwa ya kuhara kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano...
Leo nilikuwa chooni nikatowa haja kubwa
Ambayo ilikuwa mgumu kutoka niliteseka saana kutowa sasa baada ya kutoka nika cheki kinyesi changu Nikaona damu ambayo ipo kwenye kenyesi haikuwa nyingi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.