Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Ni kauli ya Mwanahamisi Ally, mkazi wa Mabibo, jijini Dar es Salaam. Gazeti linasimulia mbinu kadhaa za uchunguzi alizotumia mwandishi kupima vipimo mbalimbali katika zahanati na hospitali...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza duniani, nchi ya China imeidhinisha matumizi ya chanjo ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19 inayotolewa kwa njia ya kuvuta kiasi kidogo cha dozi kupitia pua. Chanjo hiyo...
0 Reactions
2 Replies
548 Views
Hospitali ya Taifa Muhimbili imesaini mkataba na Kampuni ya Medel kutoka nchini Austria wenye lengo la kuanzisha maabara ya kwanza ya aina yake Afrika Mashariki ili kufundisha na kuboresha...
0 Reactions
1 Replies
441 Views
Wapendwa afya ni mtaji kwa kila kitu ukitaka kufahamu hilo umwa hata mafua tu ndio utajua afya ikipata shida kidogo tu hakika mwili ndio unaumia na hatimaye kudhoofu na kuchoka kabisa na mhusika...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Unakuta watoto hawana afya ya kuridhisha hata ukiwaangalia kwa macho tu. Lakini Kuna Watoto wa familia nyingine ukiwatazama Wana Afya nzuri. Naomba kuuliza ni nini kitamfanya mtoto aonekane kuwa...
0 Reactions
6 Replies
656 Views
James Shimba, Daktari Bingwa wa Macho kutoka Hospitali ya Rufaa Bugando amesema uchunguzi wao umebaini kuwa magonjwa ya Mtoto wa Jicho na Kisukari ndio chanzo kikuu cha Upofu kwa kwa Mikoa ya...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Naomba wataalamu watuambie ni vyakula gani mwanamke anaweza kula akaongeza damu haraka wakati wa ujauzito au ni dawa gani zinazoweza kumfaa kuongeza kiwango cha damu naomba jibu wataalamu.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kumekuwa na katabia fulani hivi kutoka kwa wadada daraja fulani hivi wanaoona eti hamna mwanaume anayeweza kuwapa mimba kwa njia asilia kwa sababu wao ni wazuri sana na wana hela sana. Wadada hao...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakati dunia ikiwa bado na makovu ya ugonjwa wa Covid_19 ulioishambulia na kuua watu milioni 6.4, na ule wa MonkeyPox ulioua karibu watu 100 Afrika mwaka huu, kumeibuka homa ya mafua ya nyanya...
1 Reactions
6 Replies
728 Views
Good morning Jf. Nahitaji kupunguza uzito kiasi hivyo tujulishane aina ya kinywaji cha bia kitakachonipunguza uzito kwa kasi. Karibuni.
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za leo wapendwa, Jamani naombeni msaada wa mawazo kwamba mie nasumbuliwa na kusagika kwa viungo vyangu yaani ule uteute wa ktk magoti,mabega,viwiko,nyonga pamoja na pingili za mgongo...
0 Reactions
9 Replies
15K Views
Wizara ya Afya imekuwa ikiwataka wanaume kuhudhuria leba pindi wake zao wakijifungua ili kusaidiana na mama mzazi katika majukumu tofauti ikiwemo kuhakikisha mtoto ni wa mzazi sahihi. Kufuata...
1 Reactions
2 Replies
422 Views
Naomba msaada wenu hii hali ni ya wiki sasa, nimekuwa nikipata muasho mkali kwenye chuchu tu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni anaejua sehem ambapo wanafundisha watoto wenye shida ya ubongo yani Autism naomben msaada tafadhali.
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Habar jamani yaani sijui ni ugonjwa au ni kitu gani yani kwa hii harufu huniambii kitu sababu naipenda xana kuinusa hasa nikipita maeneo ya sheli yani natamani nibaki palepale,shida nikipanda gari...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Samahanini Mimi n Binti na Nina tatizo la genital warts ni kwa mda wa mwaka Sasa na miezi nimetumia dawa ambazo n podosal,acyclovir vidonge na cream n.k mpaka Sasa lkn nimekuwa napona shemu moja...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
HABARI NZURI KWA WALE WENYE VIRUSI VYA UKIMWI TUMIENI KWA WINGI HABBAT SAWDA ITAWASAIDIENI KUPONA. Black Seed Extract 'Cures' HIV Patient Naturally. Tumia dawa hii kwa vidonda vya tumbo...
9 Reactions
138 Replies
92K Views
Wakuu kuna hili tatizo linalotupata baadhi ya watu ambapo kovu huendelea kuongezeka baada ya kidonda kupona na kuwa uvimbe.Hasa makovu ya mabegani,mashavuni,kifuani. Makovu haya wakati mwingine...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada wa chuo kinachotoa kozi ya mortuary attendant,natanguliza shukrani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za leo wapendwa, naomba msaada kwa anqejua garama za operation ya saratan ya matiti kwa pale ocean road nina ndugu yangu anaumwa hilo tatizo. Natanguliza shukrani 🙏🏻
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Back
Top Bottom