Natumai nyoooote hamjambo kabisa, naomba niende moja kwa moja kwenye mada na mnieleweshe ndugu zangu!
Nilienda Kigoma kumcheck bro yangu, nikakutana na huyu shem bhana, (bro hayupo kwa miezi...
Naombeni msaada wataalam.Ninapata maumivu ya kichwa na mabega kuanzia jioni ya saa kumi.sina homa ingawa naishi na kisukari kwa muda mrefu na kipo well controlled.Nimepima malaria sina,uwingi wa...
Asilimia 70 ya wagonjwa wanaopata matibabu katika kitengo cha Fiziotherapi Hospitali ya Rufani ya Kanda Mbeya, wanasumbuliwa na matatizo ya uti wa mgongo huku chanzo kikubwa kikitajwa ni kukaa kwa...
Habari wana jamii na poleni na majukumu.
Naomba ushauri kwa wanaojua hospitali nzuri kwa vipimo vya endoscopy na kwa gharama nzuri hapa Dar Es Salaam.
Natanguliza asante.
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa Serikali imeondoa ulazima wa kuvaa barakoa isipokuwa pale inapobidi, mfano kwa wale wenye magojwa ya mfumo wa hewa na kwenye mikusanyiko ya ndani...
Mamlaka zinachunguza uhusiano wa dawa za paracetamol za kimiminika na makumi ya vifo vya watoto vinavyosababishwa na figo kushindwa kufanya kazi baada ya siku 3 hadi 5 za kutumia dawa hizo
Ingawa...
Habari wanajukwaa?
Mke wangu mwenye umri wa miaka 26 aligundulika ana saratani ya matiti akaanza kupatiwa dozi za chemotherapy, amepata mizunguko 8 na hatimaye uvimbe uliokuwepo kwenye ziwa...
Mratibu wa Afya ya Kinywa na Meno Taifa kutoka Wizara ya Afya, Dk. Baraka Nzobo amesema kwa mwaka 2021, takriban wagonjwa 600 waligundulika kuwa na saratani za kinywa na meno.
Dk. Nzobo...
Majaribio yaliyofanyika kwa zaidi ya watoto 400 wa Afrika Magharibi ya chanjo hiyo yanaonyesha kuwa inatoa ulinzi wa hadi 80% kwa hadi miaka 2, dhidi ya #Malaria inayogharimu maisha ya takriban...
Chuo kikuu cha Oxford kimekamilisha jaribio la kwanza la uchunguzi wa kitabibu kuhusu ufanisi wa chanjo mpya ya ugonjwa wa Malaria iliyopewa jina la R21/Matrix-M.
Kwa mujibu wa chapisho la...
Habari za wakati huu wana JF!
Ni matumaini yangu kuwa mko wazima na bukheri wa afya. Naomba kuuliza , ni nini chanzo cha kutokwa na damu ukeni (menstrual bleeding) kwa muda mrefu bila kukoma...
Vipi hali zenu wakuu, kuna tatizo limemtokea brother, so nimeona nije hapa nitafute ufumbuzi wa tatizo kwa wale wanaofahamu aina hii ya tatizo.
Ipo hivi, brother wangu ni mlaji wa pili pili...
Afya ya umma ni namna ya kulinda usalama na kuboresha afya ya wanajamii kupitia elimu, utungaji sera na utafiti wa kuzuia magonjwa na majeraha
Afya ya Umma ni muhimu kwa kuwa inakuza ustawi wa...
Unasababishwa na Kirusi cha Polio kinachoambukizwa kutoka kwa mtu aliyeathirika kwenda kwa mwingine kwa kunywa/kula chakula au kinywaji kilichochafuliwa na kinyesi chenye vimelea vya Ugonjwa...
1. Mazingira unayolala
Wataalamu wanashauri mazingira ya mahali unapolala yawe ya Utulivu. Pia wanasisitiza kuepuka vinywaji vyenye Kafeini (Caffeine) kabla ya kulala.
2. Ratiba ya kulala...
Habari za mchana naona vijana wengi wanakunywa huo mchusi nipo mlandizi tangu Jana hapa karibu na Stendi karibu na kituo cha mayangeyange wanafakamia michuzi.
Mmoja wapo anasema unawapa maguvu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.