Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Jamani nataka kuchoma sindano ya kuongeza urefu wa mwili au kama kuna dawa yoyote ya kurefusha mwili nisaidieni wadau jamani
0 Reactions
32 Replies
11K Views
Habari wakuu Baba yangu mzazi umri 62 huwa anatatizo la moyo. Sasa hivi karibu karibuni Amekua mapigo yake ya moyo yanashuka mpigo ya moyo yanakua chini wakuu hii Itakua inachangiwa na nini? Sent...
2 Reactions
10 Replies
558 Views
Maisha ni fumbo na fumbo lenyewe Lina kuja pale unapougua na hujui utapona au ndo mazima. Kuna magonjwa yanayoeleweka yanakupa hope kwamba ni suala la mda tu mambo yatakaa sawa. Ila Sasa kuna...
8 Reactions
16 Replies
654 Views
habarini wapendwa; shemeji/wifi yenu alipata ujauzito lakini kwa ushauri wa madaktar wakatuambia tuitoe hiyo mimba maana mwez ulopita alifanyiwa operation kweny ovary hivyo kidonda hakijapona...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Ndugu, wanaJamiiForums nimatumaini yangu mu bukheri wa afya. Leo ningependa kuwashirikisha katika mjadala huu juu ya masuala mbalimbali ambayo yameshamiri kwa kiasi kikubwa kiasi kwamba hakuna...
1 Reactions
15 Replies
702 Views
A HEALTHY sex drive will leave you peaking in more ways than one. A survey by the American Association Of Retired Persons reveals: People who have a lot of nookie experience health benefits...
8 Reactions
416 Replies
123K Views
Habari zenu wanajamii Ninauleta uzi huu nikitoa shukrani zangu za dhati kuishukuru forum hii kwani mwaka jana mwezi wa tano nilisumbuliwa sana na vipele kama rashes flani hivi Nilitumia dawa...
0 Reactions
3 Replies
579 Views
---MFANO WA MASWALI YALIYOULIZWA--- Msaada wadau, Mfano ukimeza dawa ya Malaria ile dozi ya siku moja, je naweza kutumia pombe baada ya muda gani? Mimi nauliza, mfano umekunywa dawa za...
0 Reactions
129 Replies
100K Views
Habari za asbuh wakuu! Nahitaji msaada wa hili suala, tatizo nivkwamba nikiwa naingia zangu mwezini period inakuwa ni nzito sana yaani inakuwa kama imeganda ganda halafu ni nyeusi mno. KILA...
2 Reactions
64 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Husika na mada tajwa mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Nyamagana.Nina shida ya huduma ya microneedling, yeyote mwenye kufahamu mahali naweza kuipata huduma hii kwa Mwanza...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Madini ya zinc huhitajika kwa kiasi kidogo mwilini lakini huwa na faida kubwa sana kwa afya. Kwa mujibu wa National Institutes of Health, wanawake wenye umri wa miaka 19 na kuendelea huhitaji...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Amani kwako mdau. Mara nyingi siri ya uponyaji ipo kwa Mwenyaazi Mungu mja wa rehema na huwapa wachache nuru ya kujua tiba kutokama na mimea. Nimeona nisifaidike mwenyewe, huu ni mmea ambao...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 kwa sasa naishi iringa mjini, nimeondoka dar february baada ya kula sana msoto nikaamua ngoja niende sehemu ambayo hakuna anaenijua nipate utulivu wa akili...
6 Reactions
60 Replies
4K Views
WAZIRI wa afya Ummy Mwalimu ameeleza kati ya watu 100 Tanzania wanaoishi na virusi vya ukimwi 95 wanatumia dawa za kufubaza virusi (ARVs) huku watano kati yao wanaacha dawa hizo ,suala ambalo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Wakuu, sheria inasema anayetoa au kutolewa mimba wote hao wanaweza kukabiliwa na kifungo cha mpaka miaka 7+ jela. Mimi kwenye harakati za kupitapita nilipita sehemu isiyopitika, nikakutana na...
8 Reactions
113 Replies
44K Views
Wasalaam Naomba niende moja kwa moja. Nina tatizo linalonisumbua sasa zaidi ya mwaka. Mzunguko wangu wa hedhi umekua na shida..kwanza niweke kumbukumbu kipindi cha nyuma nilishawahi kitumia...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kitovu ni sehemu inayoonyesha muunganiko uliokuwepo kati ya Mama na mtoto ya kwamba mtoto alikuwa akimtegemea mama pindi akiwa tumboni. Sehemu ya kitovu ambayo uwa wazi pindi mtoto anapozaliwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari yenu ndugu zangu, Maji ya kuchemsha na maji ya chupa yapi ni salama zaidi na yenye afya? Je, ni sawa kuchemsha maji ya kunywa kwenye birika ya umeme tofauti na kawaida tulivyozoea...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari za asubuhi, mimi nina tatizo la muda mrefu kama miaka mitatu tatizo nililonalo NI mdomo kuwa na Radha ya uchachu, viungo vya mwili kuuma, uchovu kupindukia, tumbo kuunguruma, nimekunywa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wadau naomba kujuzwa kikokotoo cha pension cha zaman kilichokua kikitumika kukokotoa mafao ya watumishi wa serikali
0 Reactions
2 Replies
588 Views
Back
Top Bottom