Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Nimejaa hasira asubuhi asubuhi yani wakuu, Naombeni ushauri japo naweza kuchukua maamuzi mengine. Huyu mwanamke nimefahamiana nae Toka mwezi wa 4 mwaka huu na alikua anaishi.mbali sana na mimi...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
kumekua na mafundisho ya jinsi ya kupanga kupata mtoto mwenye jinsia ya kike au kiume, Mojawapo ya theory kubwa ni ile inayosema mwanaume akikutana na mwanamke kuanzia siku ya 11-13 tangu...
6 Reactions
20 Replies
26K Views
Madakari na wataalamu wangu naomba kufamishwa gharama za matibabu kama ifuatavyo:- 1. Gharama ya kipimo cha saratani ya matiti? 2. Gharama ya Dose ya saratani ya matiti? 3. Gharama ya...
3 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari, Naomba kuuliza mimba iliyotoka na nimebleed siku 6 mfululizo, je naweza nikawa nina mimba tena? Mimba iliharibika week iliyopita.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari ndugu, naomba niende kwenye mada. Mnamo mwezi wa pili tuliamua kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango mimi na mwenza wangu, ambapo aliwekewa kijiti kimoja, lakini ilipofikia mwezi wa tano...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo ya tumbo sasa Ambayo sijui kama ni tatizo gani Nilikwenda hospitali nikambia kuwa sina tatizo lolote tumboni nipo sawa Ila na shangaa sasa hivi naogopa kula kitu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa na wataalam wa afya. Nisaidieni hapa, niko kwenye mahusiano na binti mwenye huu ugonjwa wa thyroid na tayari uvimbe imeonekana shingoni kwa pande zote mbili, sasa nimekuwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ugonjwa wa Bipolar disorder umekuwa ukichukuliwa kama ni wa watu Fulani tu kitu ambacho si sahihi humkuta yeyote Hapa duniani hata uwe hauna Ugonjwa lazima uwe na kakitu katakakokuwa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Naombeni kufahamu kama kuna tiba yeyote inayoweza kumponya mtu mwenye hii saratani ya damu kitaalamu wanaita multiple myeloma au plasma cancer!
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu na wataalam wa Ngozi naombeni msaada. Nina miaka 26, nimezaliwa 1992. Tatizo langu ni uso wangu kujaa mikunjo hasa mikunjo ya ndita kwenye paji la uso. Sijajua tatizo ninini, yani nikikaa...
4 Reactions
49 Replies
11K Views
Sunshine Wellness Centre has best drug addiction rehabilitation centres in Mumbai, India. with top doctors have years of experience. Visit Now!
0 Reactions
2 Replies
666 Views
Habari ndugu na jamaa naomba msaada jinsi ya kuzalisha / kuimarisha homoni ya Testosterone kwa vyakula /dawa za hospital anae faham zaidi mambo haya anijuze vizuri nawasilisha....
0 Reactions
9 Replies
690 Views
Kuna njia nyingi za kuzuia ujauzito kwa wanawake kati ya zifuatazo: Kutenganisha mirija ya uzazi Kuepuka ngono Kutumia kalenda Njiti Vidonge Condom Kwa wataalamu wa maswala ya uzazi njia ipi...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kusaidiwa dawa ya kwikwi ambayo imedumu muda mrefu zaidi ya miaka mitano Iwe ni dawa ya hospital au tiba mbadala
0 Reactions
16 Replies
25K Views
Wakuu hili swali nauliza kwa wema kabisa. Kuna kiwango kukubwa cha wagonjwa wa Cancer kwa upande wa kando kando ya Ziwa Victoria kuliko maeneo mengine nchini. Mtakumbuka hata Mama Samia...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wakuu kuna huu ugonjwa unatesa wa vidonda vya tumbo nimetumia dawa za kila aina nahisi kuchoka, Naombeni msaada wa kujua kwa hapa Tanzania kuna huduma za upasuaji wa vidonda vya...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Kumbemenda mtoto ni mtoto kutokua vizuri ikidhaniwa kutokea kutokana na mama anayenyonyesha mtoto kukutana kimapenzi na mwenzi wake hasa kipindi mtoto bado ni mchanga na ananyonyeshwa. Hii ni...
10 Reactions
285 Replies
145K Views
Wakuu habari ya jion Leo jion maeneo ya site nimepata ajali nimeangukiwa na kitu kizito kwenye dole gumba hivyo sasa nachechemea nauliza ni IPi Sawa nzuri ya kuchua Hicho kidole
0 Reactions
1 Replies
864 Views
Habari wadau Nina tatizo la kufanya mapenzi na mwanamke kwa muda mrefu sana bila kutoa bao au shahawa. Hii hali inanitesa sana kwani siwezi kumkojolea mwanamke. Nilishawahi kwenda hospital...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Kuna ndugu yangu ana tatizo yaani ana maumivu makali kuanzia sehemu ya chini ya shingo upande mmoja kuja begani mpaka kwenye mkono(ni sehemu ndogo tu) valianza kusikia maumivu kidogo kama wiki...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom