Habari wana jf ,
Kwa anayejua anaweza kunisaidia,. Kuna mtoto wa dada yangu ni mtoto wa kiume kafikisha miezi 5 sasa .
Lakini amekataa kukaa, ukijaribu kumkalisha kwa njia mbali mbali lakini...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Mamlaka za Afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zimeanza uchunguzi ili kubaini sababu za kifo cha mwanamke kutoka mji wa Beni anayedhaniwa kufariki...
Habari zenu wana jamii.
Bila kuwachosha naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni jinsia Me nimekuwa nasumbuliwa na muwasho sehem za siri hasa kwenye uume na sehem za mapajani takriban wiki...
Wana JF, kuna ndugu yangu yaani yeye asipokunywa chai kabla hajalala basi atakesha akihesabu 'kenchi' na kuna siku alikosa chai akanywa kahawa na matokeo yake 'alikesha', je, hali hiyo ya kutopata...
Dr Sebi alizaliwa Honduras, alifanikiwa kutibu AIDS, cancer, kisukari, lupus na kifafa. Miaka ya 1980 alichapisha tangazo kwenye gazeti la New York Post "AIDS has been cured by USHA Research...
Wakuu amjambo
Ningependa kujua nikwamba kila mwanamke hutembelea calendar hii ya siku za hatari inayoanzia kwenye tarehe 11 adi tareh 18 ? Au kila mwanamke Ana yakwake maana nais kuna manzi...
Si jambo la kustaajabisha kumkuta mtu yupo kwenye mfululizo wa kutokula muda mrefu kwa kile wengine wanakieleza wapo kwenye ‘diet’ ya kupunguza mwili.
Mfumo huu wa maisha unaendelea kushamiri...
Watalamu habari zenu
Naomba kujuzwa ni faida gani anapata Mtu anayekwenda sauna
Je iyo sauna haina madhara kiafya?
Kwa jiji la Dar izo sauna zinapatikana wapi?
Salaam..
Ndugu zangu nahitaji msaada wenu, je nitapata vipi bima kwaajiri ya mtoto mchanga kwaajiri ya matibabu ambayo anapata muhimbili?
Na kwa wazoefu wa hili, iyo bima ina faida gani...
Wa salaam wana JF!
Nadhani mko salama salmin kwa wale wagonjwa naomba kwa Mwenyezi Mungu awape nguvu wapone
Ngoja niende kwenye mada husika kana kwamba kichwa cha habari hapo juu...
Wakuu katika hali yangu ya maisha, nina takriban miezi kadhaa huwa nakula mara 2 kwa siku, yaani chakula cha mchana nakula saa nne mfano (samaki na chapati 3, na juice) halafu nakuja kula jioni...
Mpenzi wangu ana mimba yangu ya miezi miwili natamani sana mwanangu atakayezaliwa awe strong na mwenye akili nyingi pia sitaki mama yake apate matatizo ya uzazi.
Nifanyeje ili mwanangu azaliwe...
Wakuu heshima kwenu.
Naomba msaada wenu kuhusu matibabu sahihi ya ugonjwa wa akili na mahali yanapopatikana. Nina ndugu yangu alianza kusumbuliwa na ugonjwa huu tangu akiwa mdogo. Baada ya...
Kutokana na mabadiliko makubwa ya sayansi na Teknolojia kumekuwa na ongezeko kubwa la madhara ya tokanayo na madawa, kemikali na mionzi hatari kwa binadamu.
Maisha yetu ya sasa ni tofauti ya...
Nilipatwa na vidonda vya tumbo vilivyosababishwa na h. pylori, mwanzoni kabla ya kugundua tatizo nilihisi Nina tatizo la moyo, nilitumia pesa milioni na pointi kufanya vipimo mbalimbali kma umeme...
Nimeambiwa na marafiki zangu huku nilipo kwamba wanasikia maumivu ya moyo kwa mbali hili tatizo wizara ya afya iliangalie heart attack itawakumba wengi wenu.msukumo wa damu unapungua na...
Wakuu polen kwa majukum,
Nimekuw nasumbuliwa na tonsils mara kwa mara maumiv shingon nashindw kula vizur,siwez kuongea coz napat maumiv, nmeenda pharmacy nimepew daw lakin sion kam zinaniletea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.