Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari wana jamii, natumai hamjambo. Nina tatizo kwa mtoto wangu wa kwanza wa kike ana umri wa miaka 4 na miezi minane ana kilo 15. Anasumbuliwa sana na kukohoa na kutapika. kifua kinambana sana...
0 Reactions
25 Replies
23K Views
Naomba msaada, mke wangu kajifungua na niko mbali na ndugu, je nimkandeje? Maji yaweje? Nikande maeneo yepi?
1 Reactions
15 Replies
28K Views
Mi na tatizo la kujitafuna nyama za mdomoni na pembeni ya lips. Msaada jamani maana kitu hiki sikipendi na sijui nifanye nini
1 Reactions
2 Replies
844 Views
Jamani msaada nina shida ya ngozi, ni miguu tu. Nimeshatembea hospital nyingi kama KCMC kwa maspecialist lakini wapi, dawa za kienyeji wapi Msaada japo nikikalibia period ni shida zaid, ni vipele...
0 Reactions
13 Replies
858 Views
Nini hasa manufaa ya kulala au usingizi mzuri? Huimarisha na kuboresha ukuaji wa mwili. Hujenga na kuimarisha kinga mwili. Hukuweka katika hali nzuri (mood). Hukuongezea kumbukumbu. Hurefusha...
4 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari, Naomba kuuliza nikitaka kufanya checkup ya magonjwa ya moyo niandae kiasi gani hospital maan Sina bima na hospital ipi ni poa zaidi au ipi ni poa na gharama zake ni za kawaida ambazo mtu...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeona article mitandanoni ikisifia namna kunywa chai ya maajani ta mgomba ilivyo na manufaa ki afya FUATILIA HAPA Plantain Leaf: Improves upper respiratory tract, heart health. Josephine...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Naamini humu mko poa kabisa. Kuna tatizo limenianza wiki sasa yaani uume unasimama vizuri ila pale napo taka kufanya mapenzi tu unaanza kulala, hili tatizo halikuwepo limeanza ni kama wiki na...
4 Reactions
61 Replies
73K Views
Habari wana JF. Kwa mara ya kwanza napenda kutoa Elimu juu ya Huduma ya meno Bandia ya Moja kwa moja Yasiyotoka ( Crown na Bridge). Meno ama Jino ni kiungo Muhimu sana katika mwili wa Binadamu...
4 Reactions
27 Replies
22K Views
Kwema jamani naomba kuuliza kuusiana na Dawa Aina ya amplicox je inatibu uti. Amplicox hutibu nini?
0 Reactions
11 Replies
13K Views
Madhara 14 ya dawa za kupanga uzazi ambayo madaktari huwaficha wanawake. Madhara 14 ya dawa za kupanga uzazi ambayo madaktari huwaficha wanawake Wasichana na wanawake hutumia tembe za kupanga...
3 Reactions
16 Replies
6K Views
Jamii Afya naombeni kueleweshwa hili jambo, kawaida yangu ni kwamba kabla sijatoka nyumbani kuelekea kazini ni lazima nipige chai na kipolo au chapati za mama juma Nishibe halafu nikifika kazini...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau salam, Ninatamani kufungua clinic ya meno. Kama kuna mtaalamu wa meno huku anayejua ABC's ya kuniwezesha kufungua natanguliza shukrani. Nataka kujua muundo, vifaa na gharama zake na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu. Natumaini mu-wazima. Naomba msaada kwa atakayekuwa na utaalam au ushauri juu ya hili gonjwa. Inaanza kuuma kwenye visigino na nyayo, usaha unakusanyana na baadaye inakuwa...
0 Reactions
3 Replies
534 Views
Habari wanaJF Hivi karibu nlienda moshi safari kikazi nkakaa wiki maji nliyoogea kule ni ya magadi na haikuwa tatizo. Ila baada ya kurudi nawashwa mapajani na tezi dume ikifuatiwa na kubanduka kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari JF. Kuna hali nimeiona sehemu Fulani katika tunda ni kukavu kupitiliza yani mpaka lubricants. Je, inaweza kuwa tatizo?
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Salaam/Shalom. Natumai mu-wazima nyote. Bila ya kupoteza muda ningependa kutoa hii tiba hapa kwa wale wanaosumbuliwa na tatizo la sehemu zao za siri kuwa ndogo/fupi (hasa kwa wanaume). Tatizo...
33 Reactions
721 Replies
149K Views
Nibinti wa miaka 10 ijumaa trh 11mar,2022 amerudi toka shuleni sa11 jioni akasema ameanguka akiwa anacheza mpira wamiguu nawavulana shuleni tukamuuliza umeumia? Akasema kidogo nikweli alikua...
16 Reactions
123 Replies
9K Views
Mimi nasumbuliwa na ugonjwa wa kisonono kila sindano nikichama bado haisaidii kila vidonge nikitumia havisaidii sasa hivi yapata miezi Minne nitumie dawa ipi ndugu zangu mzizi mkavu naomba msaada...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu ameoneka ana DAMU nyingi MWILINI na kusababisha kichwa kumuuma mara kwa mara Cha ajabu ameenda hospital amepewa ASPIRIN, sijajua uhusiano wa DAMU nyingi na hizo ASPIRIN...
0 Reactions
5 Replies
886 Views
Back
Top Bottom