Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wakuuu msaada tafadhali, Nina mwezi wa pili sasa Nina maumivu na kizungu zungu, kisicho Isha Hali hii ilinipata nikiwa usingizini ,nilihisi kichwa kina ganzi na maumivu makali ,ghafla nilistuka...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Niwasihi wadogo zangu haya matumizi ya haya madawa acheni yatawaletea madhara ya ukubwani, hakuna wa kuwasemea ali mradi ni biashara za watu, ila nawaonea huruma, acheni haya mambo. Kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za mida hii. Nina mdogo wangu wa kiume umri miaka 24 ni dereva, miezi minne iliyopita alipata ajali ya gari, alipata mikwaruzo mwilini pia akavunjika mkono wa kulia (mfupa mmoja wa chini...
1 Reactions
9 Replies
747 Views
Naumwa kichwa nameza pain killer hakiishi, Nikisema ninywe maji mengi muda naenda kujisaidia inabdi nishike mishipa ya kichwa kianzdi sana. Mnisaidie
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Nawasalimu ndugu zangu, Naombeni msaada wa tiba ya tatizo la mzaz wangu, Mzazi wangu amepimwa amekutwa na tatizo la moyo kuwa mkubwa Je, atumie tiba gani ili apone? Naombeni msaada wa tiba
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari wakuu nipo kwenye tafiti kuhusu group o la damu je ni kweli group hili haliwez li kupata ukimwi? Utafit wangu nawauliza madoctor kama sita sasa lakin wao wao wanasema hawajapata kesi ya...
5 Reactions
75 Replies
9K Views
Maharage yanaharibu macho so nimeona bora niache kuyala au kupunguza kuyala kwa muda wa mwezi
2 Reactions
7 Replies
822 Views
By: Pharm Michael Y. Bajile Kwa lugha za kikemikali pombe ni organic compound iliyo na mchanganyiko wa kemikali za Carbon, hydrogen na oxygen (ROH). Pia ipo kwenye familia moja kikemikali na...
7 Reactions
13 Replies
3K Views
Wataalam naomba ushauri wa kitaalam. Nimekutana na mwanamke ila hatukupima UKIMWI, tukafanya mapenzi bila kinga. Baada ya wiki 5, siku kama 36 tukakutana tena na tukafanya mapenzi bila kinga...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
Huwa sielewi ukiacha wale wasio na uwezo wa kununua karatasi choo ni kwa nini watu wengi baada ya haja kubwa hujiosha kwa maji, kwangu mimi huu ni uchafu na ndiyo maana magonjwa hasa kipindu pindu...
9 Reactions
453 Replies
51K Views
Habari watu wa JF, Naomba kupewa ufafanuzi kwanini nyama iliyofunika jicho ya juu huwa inatetema kwa muda mara kadhaa imekua ikijirudia. Hii au inamaana gani kutokea hivi au ni tatizo pia...
0 Reactions
8 Replies
610 Views
Habari za Jumamosi kwanza nadeclare interest kuwa bibi yangu ni mganga wa tiba mbadala kwa zaidi ya miaka 60 sasa. matatizo ya tezi dume mara nyingi huwapata wanaume wenye miaka 40 na kuendelea...
6 Reactions
14 Replies
19K Views
Habari za mida wakuu, Nimekuja kwenue jukwaa hili kuelezea hali ya ajabu ilionikuta leo asubuhi. Nimeamka na kizunguzungu kikali sana na mwili kukosa balance hatimaye nikadondoka. Baada ya...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu naombeni msaada nimeoa miaka mitano sasa kabla ya kuoa nilikuwa kila nikikutana na mwanamke dakika 3 nakojoa na siwezi kurudia tena raundi nyingne hali iliendelea hivyo mpaka nikaoa, maisha...
7 Reactions
128 Replies
21K Views
Nina jihisi nina hili tatizo maana nikiwa kwenye vyombo vya usafiri watu ugaeuzia shingo zao pande mwingine na wife hawezi lala tumetazamana. Nilichukua hatua ya kwenda hospitali mara mbili tena...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari wadau, Natumaini mpo poa nimekutana na mtu anahitaji Msaada wa dawa au ushauri juu ya kubanduka kwa ngozi za mikono(viganja), hii ni wiki sasa je anaweza tumia nini hasa kimsaidie. Asante
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu yani hapa nilipo najiskia hovyo kupita kiasi, na nahisi dalili za malaria ila nahitaji kujua tiba ya asili ya malaria km ipo mana km wk 3 zilizopta nlipata malaria na nkatumia dawa ila leo...
0 Reactions
11 Replies
29K Views
Kama mada ilivohapo juu, nilianza kuumwa siku kama na nikaenda kupima majibu yakaja nina Malaria, lakini kadri nikinywa dawa nilizopewa ma kumeza ,mala mdomo na mate vikawa tasteless kila food...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi Kuna kitu tusaidiane kidogo ndg zangu. Ninaimani wengine pia watasaidika na michango itakayotolewa. Iko hivi: Nilikua kikazi mkoani takribani mwezi mzima. Juzi nimepata...
7 Reactions
132 Replies
11K Views
Habari zenu poleni na majukumu, Jamani na shida naombeni ushauri wenu kwa anayejua napata maumivu makali tumbo linanikata sana chini ya kitovu maumivu yanazungua Hadi kwenye njia ya haja kubwa...
0 Reactions
75 Replies
18K Views
Back
Top Bottom