Habari wakuu,
Kama kichwa cha uzi kinavosomeka hapo juu, hili tatizo limeanza takribani miezi mitatu iliyopita.
Ilitokea tu siku moja wakati wa kufanya tendo la ndoa nikawa nahisi maumivu, ila...
Hivi kwa wale wenye uhitay wa hivi vitu je mmewahi kutumia juisi ya tembele kwa ajili ya nguvu za kiume aisee ni hatari hiyo kitu kama ujajaribu ebu leo nenda kajaribu utakuja niambia pia madhara...
Aisee, naomba kushare kitu... kuna mdada alikuwa jirani yangu tumekua na kucheza pamoja tukiwa watoto, tumesoma wote darasa moja primary school, secondary school tumesoma shule tofauti kwa vile...
Habari za majukumu ndugu zangu.
Mimi ni kijana wa miaka 19 ni mzaliwa wa mwanza ila kwasasa naishi pwani mlandizi nilikuja pwani mwaka juzi kuendeleza kipaji changu na nilijiunga na team ya...
SELIMUNDU (sickle cell) ni ugonjwa unaorithiwa kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine, hutokana na tatizo kwenye chembechembe nyekundu za damu.
Ugonjwa huu unaendelea kuongezeka hapa nchini...
Habari? Naombeni mnisaidie dawa nzuri inayotibu kikohozi kwa haraka hata ndani ya siku 2 au 1, nmetoka kujifungua juzi kwa oparation sasa Jana usiku nimepatwa na kikohozi Cha ghafla nikikohoa...
Jamii inatakiwa kuendelea kupewa elimu juu ya ugonjwa wa Selimundu(Sickle Cell) kwa kuwa unatibika.
Ripoti ya Tanzania Sickle Cell Disease Alliance (TANSCDA) iliyotolewa Desemba 2021 ulionesha...
Mdogo wangu anaumwa sana tumbo na miguuu. Imevimba sana. Alikuwa mnywaji Pombe kali. Sasa kule Moshi walimwambia ni Tatizo la INI, wamemtibu kwa dawa Ila hamna mafanikio.
Sasa amewasili Dar Jana...
Kushusha Sukari Kienyeji
Pole kwa wote wanaosumbuliwa na sukari iliyozidi kwenye damu (kisukari).
Nimepata kusikia kwa watu fulani wakisimulia walivyofanikiwa kushusha sukari kwa haraka na kwa...
Leo nagawa maarifa haya madogo na huenda unayajua kakini kwa wasiojua na waliochoka na taabu za maudhi naaumivu aya Leo bakuletea jibu la haraka sana
Songwa hutumika kama tunda tu tena la asili...
Wanajamii habari
Kabla ya yote kama una NIDO, COWBELL au diary products yoyote hapo maskani kwako, tafadhali nenda katupe, Acha kunywa kama unakunywa, kama umeshakunywa tayare nenda katapike...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI
Nina mtoto mchanga mwenye umri wa miezi 4 ana tatizo la kutokupata haja kubwa. Tatizo hilo limeanza juzi, leo ni siku ya pili bila kupata haja...
Watu wengi wamekuwa na tabia ya kupenda kunywa maji ya baridi mara kwa mara.Maji haya yamekuwa kama kiburudisho katika mazingira yenye hali ya joto (mfano Dar es salaam). Pia watu wengi hupenda...
Why in preparation of artesunate we start to add 1 ml of of sodium bicarbonate then we add 5mls of 0.9 sodium chloride? What will happen if you start to add 5 mls of 0.9 sodium chloride then 1 ml...
Habari wana jukwaa.
Naomba niende mojq kwa moja kwenye mada, Mtoto wangu aliugua manjano na aligundulikq baqda ya siku 3 kuzaliwa.
Baada ya hapo alianza kupata tiba ya mwanga/miozi na ya siku...
​FOREVERLIVING PRODUCTSINTl.www.foreverliving.comLIVING NATURAL WITH BASE
Tel.+255657 088 003
Shop or Order now. Use ID No 255-000-500-217. Join Now for FREE.
IF YOU WANT TO MAKE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.