Habari Wana jamiiforums,
Kidogo Nina tatizo kwa mtoto wa miaka 4, Kuna muda macho Yana mwasha ,yanakua mekundu , kama unavyoona kwa picha,naomba kufahani ni ugonjwa Gani au hali gani.
Asante
Ukiangalia kila binadamu ana chuchu yaani mwanaume na mwanamke,kwa upande wa mwanamke zinasaidia kumnyonyesha mtoto swali ni je za mwanaume zina kazi gani,,
Salute!!
Habari wakuu, Leo tunifunze kidogo kuhusu faida muhimu za Asali
Karibu,
Zifahamu faida muhimu za asali,
Asali inafahamika kwa muda mrefu kama chakula muhimu ambacho pia kinasaidia sana...
naombeni kujuzwa ni vitu gani vinavyo sababisha magoti kukosa utelezi na kutoa sauti pindi nichuchumaapo au nikiikunja miguuyangu?
Na vilevile nahitaji kujuzwa ni vyakula aina gani nikila...
Habari wanaJF
Hivi karibu nlienda Moshi safari kikazi nikakaa wiki maji niliyoogea kule ni ya magadi na haikuwa tatizo. Ila baada ya kurudi nawashwa mapajani na tezi dume ikifuatiwa na kubanduka...
Habari wanajamiiforum
Napenda kuchukua fursa hii kuwaeleza jinsi ya kutengeneza dawa ya nguvu ya kiume isiokua na madhara kwani ni mchanganyiko wa matunda tu
Chukua matunda haya yafuatayo
1...
Habari za mda tena ...
Hili swala la mtu kutapika akiwa safarini huwa linatokana na nini??? ...
Ni ushamba wa Safari au ni ugonjwa na mtu mwenye shida Kama hii anawezaje kuondokana nayo,,,,
Kwa...
Habari,
Mtoto wa Umri wa Wiki Moja ana Mafua makali na anakohoa mara mojamoja... Naomba Ushauri wa kitaalam na namna ya kumsaidia kupata na dawa.
Asante
Niko huku kanda ya ziwa kwa matembezi ila ghafla naona hali imebadilika katika vipimo nilivyo chukua nimepatiwa hii report (vingine namgojea majibu).
Naomba mnisomee kwa details zaidi.
Kwanza kabisa naomba niseme sijaripoti kwenye mamlaka zinazohusika sababu hawatalichukulia kwa uzito ama watachelewa kupata data tofauti na nikipost kwenye social media platforms kama hii data...
Jamani nasikia kuna njia za kusafisha tumbo . Yaani binadamu anatakiwa kusafisha tumbo kwa kutoa sumu mwilini , uchafu n.k
kama kuna mtu ana idea juu ya hilo naomba kujuzwa
Habari wadau wa JF?
Naamini wengi wetu tumeshawahi kupata huduma za afya au kuwasindikiza ndugu/rafiki wa karibu kupata huduma hizo. Nina swali kwako, tafadhali karibu kulijibu kulingana na uzoefu...
Nimegundua watu wengi wanapata tatizo la uume kutokukua na kurefuka kwa sababu mbalimbali kuanzia vyakula wanavyokula hadi life styles kwa ujumla ila leo ntakwambia njia moja ambayo itafanya uume...
Habari
Mwaka 2019 msimu wa mavuno nilikuwa shambani nikajikata kwa kisu bahati mbaya. Nilikwenda zahanati kupata huduma kwenye kidonda lakini ajabu maumivu yale yakabadilika na kuwa homa hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.