Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
VIP
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake wa jijini Dar es Salaam, Godfrey Chale amewashauri wanawake wanaotumia vidonge vya kuzuia mimba maarufu kama P2 kuacha kufanya hivyo ili kuepuka madhara...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Leo nimesafiri kwenda Lindi dah Nimeingia kwenye Lodge hiyo Nimewasha Feni tu Vumbi Lote likaniishia limeniletea Mafua Makali sana Dah na Kesho Saa Mbili Na training Nawaza ntafundisha vipi na...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
baadhi ya sababu za kuota ndevu wanawake ni hormonimbalance kama wasemavyo watu wengi. sasa nauliza tu eti mahospitalini kuna dawa yoyote ya kusawazisha hili tatizo la hormonimbalance, kiukweli...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda? Ndugu zangu Nina tatizo ambalo linanipa mawazo sana . Ni hivii Huwa Kuna muda nasikia mkojo umenibana Sana. Sasa naenda chooni ila nakojoa mkojo mdogo Sana... Alafu baada...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari za weekend wakuu! Nina almost 28yrs but still naendelea kuota meno, Doctors and Mentors huu ni ugonjwa? Tatizo nn? Au kawaida! Msaada tafadhali!
2 Reactions
19 Replies
22K Views
Habari zenu wana Jamii Forums wezangu. Nilikuwa nahitaji Mzungwa kwa ajili ya dawa ya tumbo…Mimi nipo Dar maeneo ya Magomeni Mapipa. Ahsanteni sana.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Kiufupi sina historia ya kuwa na matatizo ya masikio na wala sio mtumiaji/ mpenzi wa earphones. Mabadiliko katika masikio yangu nimeanza kuyaona ndani ya kipindi cha miezi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu ni matumaini yangu mu bukheri wa afya kabsa; Mwezi uliopita nilikuja hapa kwenye hili jamvi nikaeleza kuhusu shida ya mkojo iliokuwa inanikabili na wengi wenu mkanishauri niende hospital...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Umewahi kumuona bata akilala na kujiuliza jinsi anavyoliacha jicho moja wazi? Bata, ni kama ndege wengine wengi, hulala nusu ya akili zao zikiwa macho huku nusu nyingine ikilala. Usingizi wa...
5 Reactions
5 Replies
914 Views
Hospitali ya Chuo Kiku cha Aga Khan imesema imefanikisha upandikizaji wa kwanza wa uume katikakanda ya Afrika mashariki na kati . Upasuaji huo maalum umefanyiwa kwa mwanaume katika umri wa miaka...
5 Reactions
32 Replies
6K Views
Nahisi nina testicle varicocele (mishipa ya korodani kuvimba) sija fanyiwa uchunguzi bado lakini kwa asilimia nyingi nahisi ndio hiyo. Nauliza hospital ipi nzuri kwa ajili ya kupima na matibabu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Haya yamebainishwa na Daktari bingwa wa magonjwa ya mfumo wa fahamu na ubongo kwa watoto, Dkt. Edward Kija ambaye ameeleza kuwa wazazi au walezi wana mchango mkubwa sana wa kuwasaidia wagonjwa wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani jamani nahitaji msaada wenu kuna mgonjwa wa pumu ana hali mbaya sana yeyote anayejua tiba yake tafadhali. Naombeni msaada.
3 Reactions
33 Replies
7K Views
Habari, mungu anatupenda sote Jamani hivi Kinga ya mwili mwilini huwa ina mfumo wake wa kuzalishwa mwilini? Kwa mfano damu huzalishwa katika mifupa yetu n.k
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wadau, Nina rafiki yangu anasumbuliwa na tatizo ambalo mwanzo lilianza kama utani. Yaani tulipokuwa tunasoma naye alikuwa ananiambia kila nikijibu mitihani nakuwa sijiamini...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Mapema leo asubuhi Dkt. Yusuf Jamnagerwalla wakati akiogiwa na kituo cha clouds 360, alunukuliwa akiyasema haya. Ulaji wa nyama ya kitimoto husababisha ugonjwa wa kifafa, ameenda mbali zaidi na...
2 Reactions
56 Replies
3K Views
"Hospital ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Shirika la Tumaini la Maisha inaratibu upatikanaji wa dawa na kuzifikisha kwenye hospitali zinazounda mtandao wa kutibu saratani kwa watoto," hayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iliki ni kiungo cha tatu kuuzwa kwa gharama duniani. 1. Zaffron 2. Vanilla 3. Cardamom Iliki ni zao la biashara na kilo moja ya iliki hufukia Tsh 30,000 -35,000 Iliki husaidia sana mzunguko wa...
8 Reactions
11 Replies
16K Views
Mtoto wa miaka minne anatoka jasho jingi akiwa amelala usingizi ila baada ya muda linakauka.akilala wakati wa usiku au mchana.naomba ushauri je ni tatizo au kawaida?
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Back
Top Bottom