Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Historia ya general anesthesia inaweza kuanzia kutoka kumbukumbu za historia ya mababu wa kale wa Samaria, Babylon, Siria, Egypt, Ugiriki, Roma, India, na China. Katika kipindi cha miaka ya kati...
6 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu. Yeyote anaejua daktari wa magonjwa ya kina mama MBEYA na anapopatikana naomba msaada wa maelekezo. Nisaidieni mwenzenu, mwaka wa 3 kwenye ndoa nahangaika tu. Sijabahatika...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
MSAADA: mtoto anasumbulia na sikio. Linauma na kutoa usaha.
1 Reactions
49 Replies
6K Views
Wakuu kidevu kikicheza kinaashiria nini? Kidevu Kucheza inaashiria Kitu gani
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Habarini wadau, naomba ushauri wa tiba au dawa kwa mtu aliye umwa ugonjwa wa Arthritis ( barid yabisi) kwasababu nateseka sana na huu ugonjwa na nisha tumia dawa nyingi. Na unaniumiza sana maeneo...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Hakuna kitu kingine kizuri kama mwili wa mwanamke kwakuwa unaweza kuleta kiumbe binadamu kingine. Mwili wa mwanamke unazo ovari ambazo hutengeneza mayai na homoni maalumu ambazo hudhibiti mwili...
2 Reactions
4 Replies
8K Views
Na Mwandishi Maalum Lakini, mtaalamu bingwa kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janabi, ana kidokezo kuhusiana na matumizi ya nadharia hiyo kiholela kwamba yanaweza...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wakubwa heri ya mwaka mpya na imani mko poa. Ebhana iko hivi kwa mama mjamzito mtoto anaanza kugeuka akiwa na miezi mingapi........? Naombeni majibu mtoto wa miezi 6 anaweza akawa...
2 Reactions
30 Replies
25K Views
Hamjambo wakuu! Kwanza kabisa ningependa mjue jinsia yangu ni mwanaume alafu pili poleni na majukumu yenu ya kila siku ya kulijenga taifa la tatu na la mwisho naomba nijielekeze moja kwa moja...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari, Mungu anatupenda sote Jamani ni mfumo upi kwenye miili yetu sisi wanaadamu ambao ndiyo mfumo mama na ukichunguza kwa makini asilimia nyingi ndiyo magonjwa huanzia kwenye mfumo huo...
1 Reactions
15 Replies
745 Views
Hivi kuna data zozote kuhusu ugongwa wa Zika Tanzania? Ninakumbuka kuwa sababu kubwa iliopolekea hayati dr Mwele kuachishwa kazi Mhimbili ni kutangaza kuwa Tanzania ina wagongwa wenye virusi vya...
1 Reactions
3 Replies
486 Views
Naomba msaada wa kujua hospitali hapa Tanzania wanaojishungulisha na kutoa huduma ya kupima vinasaba. Pia ningependa kujua haya yafuatayo, - Utaratibu wa kufuata ili kufanya vipimo - Gharama za...
3 Reactions
671 Replies
169K Views
Mfuko wa kende unashuka chini yaani pumbu zangu zinarefuka kwenda chini. Nikikimbia au kutembea zinauma. Kuna kipindi nilienda hospitalini Regency Hospital pale Upanga. Specialist mmoja...
2 Reactions
7 Replies
851 Views
Umofia kwenu wanajukwaa Ni ajabu na raha kuona mamlaka zimeacha kupambania watu wake katika msingi wa kila agenda ya maadui wa taifa. Hususani adui maradhi, sasa hivi UKIMWI ama HIV watu...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Wakuu mmeshindaje poleni na majukumu ya kila siku,pia hongereni kwa kumaliza week,binafs nipo MOSHI PAZURI napunguza stress japo haziishi, Naomba niende kwenye point yangu,hivi huwa mnatumia njia...
3 Reactions
53 Replies
3K Views
poleni na shughuli wandugu. naulizia specialist wa maswala tajwa hapo juu ambaye ana clinic yake au ambaye anafanya hospitali na pia ana fanya kwenye clinic. natanguliza shukrani.
0 Reactions
24 Replies
17K Views
Kitaalamu mama aliyejifungua hushauriwa kusubiri mpaka wiki sita (baada ya kuanza kliniki- postnatal clinic) ndio aweze tena kufanya tendo la ndoa. Kipindi cha kupona baada ya kujifungua hutegemea...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari zenu Ndugu zangu! Muda huu asubuhi, nilikuwa nafanya shughuli za kuwasha jiko kwa ajili ya kutenga mboga (maharage) Sasa nilipomaliza ikabidi niingie ndani, wakati naingia ndani tu, kufika...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
HATUA ZA UKUAJI WA MTOTO AKIWA TUMBONI Je wewe ni mjamzito na unatamani kufahama Hatua ya ukuaji wa mtoto wako aliyeko tumboni ?? Hizi ndio Hatua za ukuaji wa mwanao akiwa tumboni. Hatua za...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Huyu kaka nashindwa kuelewa km ni malaika au ni binadamu wa kawaida! sikumbuki ilikuaje kukutana pm! kama kawaida ya wanawake kujiachia shida zao nikamwambia ninasumbuliwa sana na pumu. Nilikua...
26 Reactions
192 Replies
16K Views
Back
Top Bottom