Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari, Huu ni uzi kwa ajili ya watoto naomba kuuliza kama. Una uzoefu au wewe ni Dr. Naomba kuelimishwa. Je, mtoto mchanga anatakiwa kunyonya maziwa ya mama kwa muda gani? Kuna watu wanasema...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Tarehe 4 na 15 Februari ni siku za maadhimsho ya siku ya Saratani na Siku ya Saratani kwa Watoto ulimwenguni. Lengo la maadhimisho hayo ni kuokoa maisha ya mamilioni na kuepusha vifo vinavyoweza...
1 Reactions
1 Replies
724 Views
Hi doctors! for a while nimekuwa nikipatwa na hali ya ngozi kubanduka kama gamba. Sijajua hi hali inasababishwa na nini. pia hii imepelekea kutopenda kuvaa viatu. Maana nikivaa kwa muda miguu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Poleni Na Majukumu Ndugu Zangu Wa Jukwaa Hili Mahsusi La Masuala Ya Afya. Matumaini Yangu Mtakuwa Mnaendelea Vizuri Na Wazima Wa Afya. Suala Hasa Lililonileta Kwenu ni Kuhusu Ugonjwa Unaomsumbua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza wamegundua virusi vipya vya Ukimwi wanavyoita ‘VB variant’. Wanasema virusi hivyo ni hatari zaidi ikilinganishwa na vile vilivyokuwepo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mara nyingi watu hupunguza muda wa kulala kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo kazi, majukumu na kifamilia au hata kuangalia kipindi kizuri Kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nimesikia watu wenye damu group O hawasumbuliwi sana na Corona. Hivi damu group hili ina nini special, mambo mengi nasikia wenye group wanapeta hata magonjwa ya kawaida.
3 Reactions
178 Replies
20K Views
Nimepima leo group la damu yangu, nina group 0+ Rh, Nini faida ya hili group na hasara zake, na je naweza kumpa damu mtu wa group gani? Nitashukuru nikisaidiwa mawazo, asante. Kwa faida yetu...
5 Reactions
176 Replies
48K Views
Habari, Mungu anatupenda sote Je, ni kweli miili yetu sisi Binaadamu ina aina nyiingi za virusi ndani yetu? Je, ni kwanini?
1 Reactions
4 Replies
459 Views
Maandiko yanasema Mungu ndio muumba wa kila kitu, alimuumba mwanamume na baadae akaona siyo vyema aishi peke yake akamletea msaidizi mwanamke. Kuna video nimeiina mitandaoni inasikitisha sana...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Hivi nyie Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama wajawazito tofauti na kudumbukiza mkono mzima kwenye vidudu vya wake zetu? Hiyo njia yenu ya kuingiza mikono kwenye uke...
17 Reactions
210 Replies
36K Views
Salamu wakuu. Nimepata wasiwasi baada ya kubonyeza kichwa cha uume nakuhisi kuna kama uvimbe kwenye mrija Wa uume. Msaada wenu na ushauri Tafadhali,ila sijapata maumivu yoyote
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naona hype kubwa ya watu especially huko abroad kuhusu celery juice. Kuna mtu alishawahi kujaribu kunywa hyo juice? Wapi ulipata celery and ilikusaidia kiafya? Kwa Kiswahili wanaita FIGILI
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Vidonge vinavyofahamika kama P2 au vidonge vya asubuhi ni miongoni mwa aina ya udhibiti wa kuzuia mimba. Mtandao wa kliniki ya Mayo inafafanua kuhusu vidonge hivi; Uzazi wa mpango wa dharura ni...
1 Reactions
6 Replies
16K Views
Ndugu zanguni Habari zenu, Naombeni anaye jua jinsi ya kumaliza sumu inayonitesa ya dawa niliyotumia ya Maleria inaitwa Malafin.. yaan tangu nitumia zilipopita siku 7 tu.. baada ya hapo nimeanza...
4 Reactions
40 Replies
10K Views
Msaada wa kipimo mbadala, Wakuu habarini za wakati huu. Nimeenda Muhimbili wameniandikia kipimo cha OGD. Kwa ninavyosikia hiki kipimo maumivu yake ni hatari. Naombeni msaada kama huwa kuna...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri na kazi iendelee. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwa nilichokusudia. Yapata mwezi mmoja nimekuwa na tatizo linalonitatiza. Siwezi kwenda zaidi ya round...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
samahani, ngozi yangu inaukavu na kukunjamana huku kuna vipele vidogo dogo sana na vinawasha. Ushauri tafadhali
1 Reactions
1 Replies
1K Views
MISOPHONIA Hii ni neno la kitaalam likiwa na maana ile hali mtu anakasirika au anakerwa na vitu vidogo mfano mtu kutafuna kwa sautii , kupumua kwa sauti karibu na mtu, sauti ya mtu akisugua au...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wakuu tafadhali usika na kichwa cha habari hapo juu.. Naomba kujua ni msosi gani unatakiwa kula kabla ya show [emoji3061][emoji3061] na ni kwa muda gani unatakiwa kutumia kabla ujaanza?
5 Reactions
61 Replies
9K Views
Back
Top Bottom