Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
PELVIC INFLAMATORY DISEASE (P,ID),Ni maambukizi katika via vya uzazi wa mwanamke au mfumo wa uzazi wa mwanamke,,kwa kawaida maambukizi haya ynahusiana na mji wa mimba (uterus,shingo ya kizazi)...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu wana jf, Nilikuwa nahitaji nipatiwe elimu kidogo juu ya suala hili., Kama unafanya mazoezi ya kifua ukiwa nyumbani yan home workout, je unaweza kufanya na mazoezi ya kupunguza tumbo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hàbari ndg zangu, mdau mwenzenu nimekuja mbele yenu naomba muongozo au msaada ya Kwanza maana hapa sielewi Hali ilivyo kwangu. Mimi kijana wa miaka 24 ni mnene na Nina kilo 70,shida yangu kubwa...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Habarini Jf doctor... Naomba nieleweshwe inakuaje mtu ambaye anaumwa ugonjwa muda wa mchana hali yake huwa Si mbaya Sana lakini ikifika muda wa jioni/usiku homa huzidi kuchachamaa na kua Kali...
0 Reactions
15 Replies
18K Views
WATU wengi wamekuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa Amoeba lakini hupuuzia pale dalili zinapoanza, ni ugonjwa mbaya ambao ukikaa sana tumboni husababisha madhara makubwa , kama kuhara damu kupindukia...
2 Reactions
3 Replies
63K Views
Habari wakuu? Samahani, kiukweli mimi huwa nasumbiliwa na ugonjwa nisio ufaham ambapo kila baada ya miezi kadhaa naugua ugonjwa dizaini ya malaria na huu ugonjwa umenianza tangu nina almost miaka...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini wataalamu, Nna mwezI Sasa nilianza kuona vidoti vidogo vidogo mbele kumbe mgongoni vimezagaa. Siku naenda faragha na mchumba wangu ndo kaniambia umeharibika. Ushauri wa dawa itakayo...
4 Reactions
58 Replies
5K Views
Hallo ndugu zangu Leo nataka tuongeleye ugonjwa wa Panic Attack Ugonjwa ambao unasumbua watu wengi sana katika dunia hii ya leo Wengi wanashindwa kutambua huu ugonjwa kitu ambacho kinapelekea...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Human papilloma virus au kwa kifupi HPV ni kirusi ambacho husambaa kwa asilimia kubwa kwa Njia ya kufanya tendo la ndoa au kujamiiana. Hivyo watu ambao wanafanya mapenzi bila kinga, Wanaofanya...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana JF, nimepata mtoto mchanga week ya pili sasa(amezaliwa trh 14 march). Ameanza kukohoa jana trh 30 march, pia ana mafua. Naomba msaada nimpatie dawa gani kama huduma ya haraka.
1 Reactions
38 Replies
51K Views
Wadau ni mwaka sasa na zaidi nimekuwa nikitumia super magic powder kunyolea ndevu, naomba kwa wanaojua wanijuze kama ina madhara. Nitashukuru sana
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari za weekend! Tokea Jana sehemu ya juu ya paja naskia Kama simu inaita yani vibration, nini hiki jamani?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ya kila siku wakuu. Bila kupeteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna kitu kiko ndani yangu kati ya mgongoni na katikati ya kifua, kinanikula kila kila wakati...
1 Reactions
7 Replies
787 Views
habarini! naomba kufahamishwa kama kuna madhara yoyote ukiwa unatumia dawa ya kienyeji ukawa mda huo pia unatumia na dawa za hospital kutibu ugonjwa huohuo?? mfano mi natibu UTI kwa saiv...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu Salaam Kwenu nyote Nina mtoto ana Miaka miwili na miezi kama minne siku za karibuni amekuwa na tatizo ambalo sijalielewa, Anakuwa na kiu sana usiku hasa majira ya saa tisa hadi 11 lazima...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wapendwa? Poleni na majukumu ya kila siku, Nilikuwa naomba kwa anayefahamu gharama ya kujifungua kwa opareshen hospital ya Ntuka dodoma na hospital ya Benjamini mkapa dodoma anijulishe...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Kwa jina jingine hujulikana kama (Tope tope) Nadhani ni kwa sababu ya umbile lake hasa likiwa limeiva huwa laini mfano wa tope. Huenda sura yake ikawa mbaya kwa muonekano, lakini ni tunda lenye...
4 Reactions
24 Replies
62K Views
  • Closed
Mara kadhaa huwa naandika na kushauri juu ta tiba za mitishamba.Kwa maana ni jambo lililo damuni kwangu na ninapenda hata wengine wajifunze na waelewe. Ajabu ni kuwa kuna wakati moderator...
1 Reactions
16 Replies
633 Views
Habari? Naombeni msaada nmeshikwa na mafua makali sana Mimi ni mjamzito, kabla ya kuwa mjamzito nilikuwa nikipatwa na mafua natumia hii dawa inaitwa Loratadine ni nzuri sana coz nilikuwa napona...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wakuu nina tatizo la mwili kuchoma choma kuanzia kichwani mpaka maeneo ya kifuani pale ninapopata joto, tatizo hili nilishawahi kuwa nalo kabla nlipewaga ushauri na daktari ambaye siwezi...
4 Reactions
11 Replies
6K Views
Back
Top Bottom