Labda nikwambie tu kama ulikuwa hujui;
Mate ya binadamu Yamebeba ndani yake kemikali inayoondoa maumivu(painkillers) inayoitwa Opiorphin,
ambayo inanguvu mara 6 zaidi kuliko Morphine au Panado...
Habarini wana ndugu humu jf mwenye kujua dawa ya kupunguza au kumaliza maumivu ya hichi kialama anisaidie
Hapo mwanzoni nilijaribu kupata ushauri kutoka kwa docta moja pale mhimbili akashauri...
Naomba kuuliza, hivi salon za kiume especially pale mtu anapochongwa ndevu au kichwa hakuna uwezekano wa kupata virusi vya ukimwi kweli mana salon zetu za mitaani hakuna sterilization yani...
Je, ni wakati gani nitahitaji kumuona Dokta kama nitaona maumivu makali yamepungua kutoka siku ya kwanza ya kupata ajali ya enka?.
Vipi kama nitaamua kufuata tu taratibu za kujiuguza nyumbani...
Habari yenu wadau,
Niko katika kipindi cha kujievaluate na nimegundua nahitaji msaada ili kuweza kucope/kujifunza namna ya kukabiliana na changamoto za utu uzima na maisha kwa ujumla.
Niko...
Msaada jaman kwa anaefaham dawa ta kutibu migrain na Tinnitus.
Yaani kichwa kuuma sana upande mmoja au kwa nyuma juu ya shingo na kupata sauti flan ndani ya kichwa au masikio
Msaada jamani kwa anaefaham dawa ta kutibu migrain na Tinnitus.
Yaani kichwa kuuma sana upande mmoja au kwa nyuma juu ya shingo na kupata sauti flan ndani ya kichwa au masikio
DONDOO ZA AFYA
JE WAJUA?? Kuna kitu Wachina na Wajapan wakifanyaga kama tiba Na Kinga KINAITWA ''Onion Sock'' YAANI SOKSI ZA VITUNGUU, unakata kitunguu maji shepu kama duara, halafu unaweka chini...
Weekend inaendaje huko?
Kuna hawa watu wanauza hizi dawa za kupunguza mwili, wengine za kuongeza mwili. Zipo tofauti tofauti. Hivi kuna mtu ashawahi kutumia na matokeo yapoje? Au side effects...
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu naweza kuwaita ni wafanyabiashara wakitumia fursa hii ya kuelimisha ni jinsi gani unaweza kufanya ili upunguze mwili. Wengine wakitoa mbinu za kupunguza kutambi...
Juzi nilimkula demu mmoja hivi dry.leo j,nne nimeamka nakuta uchafu kidogo njia ya mkojo .Hautoi Harufu kbsà ila nikikojoa maumivu nayasikia shida itakuwa ni Nini Labda.
Ama nitumie dawa Gani...
~Fuata maagizo kwa uangalifu
~Usibadili kiasi cha dawa bila kumuuliza daktari
~Usiache kutumia dawa ulizoandikiwa bila kuagizwa na daktari
~Usiponde ponde au kuvunja dawa ikiwa hujaambiwa...
Nilikuwa nikisubiri usafiri wa kwenda Gongo la Mboto pale Buguruni malapa. Jua lilikuwa kali likiuchoma uwalaza wangu mpaka nikaziba kwa bahasha kubwa ya kaki niliyokuwa nayo.
Mara akanijia...
Jamani ndugu zangu wana JF!
Mimi ni muhanga wa maumbile madogo, pengine ni sababu ya life style yangu wakati wa ukuaji (nazungumzia kujichua sana) kwa sasa nina miaka 26 lakini maumbile yangu ni...
Natumai mu wazima wa afya,
Kwa yeyote anayefahamu tiba ya kisonono anisaidie, nilikwenda hospital nikapewa dozi ya vidonge. Dozi ilikuwa ni metro siku 2,cpro siku 5 na doxn siku 7 lakini...
Ndugu wana jukwaa habarini za muda huu na hongereni sana na kazi ya kulijenga taifa letu pendwa la Tanzania.
Mimi ni kijana wa miaka 20's,ninateseka na tatizo la mkojo hivyo basi nilifika bugando...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.