Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Tangu 2018 nilianza kusikia maumivu ya kifua nikaenda hospital nikafanya x ray wakasema Early stage of intestinal lung disease nikapewa dawa lakini maumivu yaliendelea. Nikarudi tena kwa muda...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, Naombeni msaada wa kuelekezwa ilipo hospital yenye kubobea (specialy) ya magonjwa ya wanawake Kwa hapa Dar es salaam. Au ni Dr yupi mnamfahamu ni specialist wa magonjwa ya...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari za kazi madaktari? Mtoto wangu amefikia umri wa kuacha kunyonya. Naombeni wataalamu mnifundishe jinsi ya kuchanganya UNGA WA LISHE YA MTOTO. Nataka ninunue vichanganyio mwenyewe.sitaki...
0 Reactions
16 Replies
15K Views
Habari wana jukwaa.Mwenza wangu ametakiwa kuondolewa kizazi kwakua kina uvimbe. Sasa swali langu je akitolewa kizazi dushe si itakuwa kama inaingia kwenye ndoo? Au haina athari hiyo? Tafadhali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF ninapata maumivu makali sana katikati ya kifua sasa yapata mwaka mmoja na miezi 8, pindi nitembeapo na hasa umbali kuanzia mita 50 yanatokea maumivu makali sana katikati ya...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
fluorosis ni miongoni mwa magonjwa ya kutoboka na kupata madoa kwenye meno. Ugonjwa huu husababishwa na kiwango cha juu cha fluoride. Moja ya nchi ambazo zinakubwa na Ugonjwa huu ni Tanzania, na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi na siku moja nimemaliza dozi za UTI , sasa leo nimejikuta na kunywa pombe ,naomben ushauri je nimekata dozi , na weza kuanza upya? Nawaza sana naomben ushauri ndugu zangu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Asalaaam Wana JF katika siku za hivi karibuni nimekuwa na kumbwa na maumivu mbalimbali ambayo yananipata katika mwili wangu hasa yakiongozwa na maumivu ya nyonga, kuuma kwa kichwa pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, poleni na majukumu ya asubuh hii. Dhumuni ni kwamba leo ni siku ya pili napata kikohozi chenye damu... Sikohoi sina mafua sipati shida kwenye upumuaji sina homa yoyote Ila tu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habar wapendwa, Naomba kuuliza ni dawa gani inasaidia maumivu ya VISIGINO na maumivu katika magoti.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za muda huu? Mimi ni mama kijacho miezi 3.5 nilienda klinic nikapewa hizi dawa zinaitwa FERROUS SULPHATE+ FOLIC ACID, Nikashauriwa kila siku nimeze vidonge 2 Mara moja Ila Cha kushangaza...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu nahisi kama nataka kuuziwa mbuzi kwenye gunia, toka nisex naye haijazipita hata siku 15 afu tayari ana dalili za mimba, Sasa nataka akapimwe mkojo je kipimo kitaonyesha na muda mimba ilioingia?
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Hi JF Kama umefuatilia kwa ukaribu utagundua kuwa siku hizi wanawake wengi mahosipitalini wamekuwa wakijifungua kwa njia ya upasuaji tofauti na kipindi cha nyuma. Siku hizi imekuwa kama bahati...
3 Reactions
67 Replies
7K Views
Naomba kujua hospitali nzuri yenye kutibu magonjwa ya kansa ya matiti(breasts cancer) Kwa Dar es salaam. Pia Wawe na mashine Aina ya RADIOTHERAPIE ONCOLOGIE Nimeiambatanisha katika picha.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ugonjwa wa kuhara (uliojulikana kama umwagaji wa damu au umwagaji hatari wa damu ) ni maradhi yanayotokana na machafuko ya maini, hasa matumbo ambayo inasababisha kuhara ambapo kuna kamasi na / au...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
kwa wajuzi wa mambo haya, naomba kufahamu gharama za upasuaji wa goti kwa hapa Tanzania nilipata ajali kwenye mazoezi mpirani mwaka Jana ila tangia wakati huo goti langu halijarudi kama zamani...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kutoweza kupata mtoto ni chanzo cha unyanyasaji wa kijamii na nyumbani kwa wanandoa nchini Bangladesh, bila kujali sababu ya kasoro za kuzaliwa au ugonjwa wowote, bila kujali masuala ya jinsia au...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Moja ya magonjwa hatari sana ambayo yanaweza kumpata mtu yoyote ni ugonjwa wa shambulizi la moyo. Huu ni miongoni mwa magonjwa yanayoongoza kwa kusababisha vifo vya wanaume na wanawake. Kwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Aina 15 ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume,na kuweka mwili sawa. 1.Tende. Katika kila gram (100) ndani ya tende kuna virutubisho kwa asilimia kama ifuatavyo. Chuma (iron). 5.50ppm. wanga...
9 Reactions
8 Replies
51K Views
Kwa mfano Kama Nilikuwa mlevi sana wa pombe kali na mvuta sigara kwa zaidi ya miaka 20 Sasa nikataka kujua hali yangu ya organ za ndani zipoje; yaani nijue kama kuna dalili za kansa ya mapafu,ini...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom