Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari za kazi. Mwanangu amepata tatizo la kutokwa na uchafu ukeni hasa wakati wa usiku Kila siku asubuhi anapoamka nikimkagua nakuta ametoa uchafu ukeni kwake kiasi cha kulowesha hadi chupi...
3 Reactions
23 Replies
6K Views
Naomba msaada Wa kujulishwa hospital nzuri kwa matibabu ya meno
0 Reactions
28 Replies
18K Views
Habari wakuu, Hili ni tatizo linalomkabiri mchumba wangu hvyo nimelileta kwenu kuomba msaada wenu. Tatizo lenyewe ni: alianza kusumbuliwa na maumivu ya mgongo hvyo tarehe 11/6 tukaenda kupima na...
0 Reactions
290 Replies
196K Views
Habari wanajamii... "Nimepata mushkeri kidogo, sikio limeziba na nasikia kama zito hivi...hii imekuja baada ya mafua ya siku mbili yalioambatana na tonsillitis, naombeni msaada hapa nichukue...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JINSI YA KUTAMBUA TAREHE AMBAYO MJAMZITO ANAWEZA KUJIFUNGUA Habari za wakati huu ~Ukianza na tarehe yako ya mwisho ya hedhi toa miezi 3 halafu jumlisha siku 7 Kwa mfano:kama tarehe ya mwisho ya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
1) Utakusaidia sana uhifadhi wa pesa kwa matumizi mengine Umewahi kujiuliza ni kiasi gani cha fedha unatumia kwa unywaji pombe pekee? Sasa jumlisha kiasi chote kwa miezi yote ambayo ungetumia...
8 Reactions
22 Replies
5K Views
Wataalamu wanashauri 1/2 ya sahani iwe mboga, inaweza kuwa 1/2 mboga za kupika na 1/2 salad kama tango, yanya (kachumbari). 1/4 ya sahani iwe nafaka, ugali, wali, viazi, mihogo au pasta. 1/4 ya...
5 Reactions
33 Replies
41K Views
Poleni na majukumu ya hapa na pale naomba niende moja kwa moja kwenye mada!.. Baba yangu ni mtumiaji mkubwa mno wa SIGARA. kwa Siku anamaliza ata pakiti 2.. Ni mraibu kweli kweli na SIGARA. Kiasi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nataka kujua simu yenye camera bora
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtoto anakaribia kufikisha mwezi toka azaliwe lakini hajawahi hata kulia wala kusema. Nini tatizo? Tumejaribu hosptali nyingi wanasema hana tatizo! Msaada.
0 Reactions
93 Replies
19K Views
Hello Doctors, I have been diagnosed with hypertension since February last year, so I am comfortably in telmisartan H 80+125mg medication which helps me but sometimes my BP spikes to 170/103...
0 Reactions
2 Replies
604 Views
Nilikuwa napenda kujua kuhusu chanjo ya homa ya ini kama inatolewa bure ama inagharama. Msaada wenu tafadhari.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Watumiaji wa kilevi cha shisha (sheesha) wako katika hatari kubwa ya kuugua maradhi ikiwemo saratani na kuathirika katika mfumo wa hewa. Wataalamu wa afya wameonya kwamba ulevi huo ambao kwa sasa...
0 Reactions
3 Replies
14K Views
Mambo vipi wakuu.. Iko hivi huyu bibie nilisex nae tarehe 22/12/2021 ambayo ilikua ni jumatano. Nilipiga kavu tu kwasababu pia hiyo siku nilikua niko monde. Sasa jumapili yaani tarehe 26/12/2021...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Wanajamvi, natumaini ni siku nyingine njema kwa kila mtu ambayo Mungu ameifanya. Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kuondoa vitambi, kutengeneza mwonekano bora wa mwili na kuimarisha afya. Naomba...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Je, inawezekana kwa mwanamke wa mid 20s kuwa hajawahi kabisa kuona siku zake?
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu habarini za muda huu, Naomba msaada wenu juu ya tiba ya mapafu yaliyoharibika sana, Natanguliza shukrani za dhati.
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu? Naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kupata bima ya NHIF isiyozidi 100,000 kwa mtu mzima? Maana nimezunguka pasipo mafanikio. Msaada please.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nawasalimu wakuu. Mwenye kujuwa dawa ya hii shida naomba anisaidie tafadhali. Ninashida ya kufa ganzi viganja vya mikono hasa kwenye vidole yaani huwa vinapokezana,vinaweza kufa ganzi vidole...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Habar wanajamvi, Nina mzee wangu kaenda kufanyiwa vipimo hospitali kakutwa na tatizo Hilo, vipi, mwenye ushaur zaidi ya jinsi ya kuzuia,kukabili na kumaliza tatizo hili tusaidiane
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom