Watu wengi mmekuwa mkiibiwa sana kwa kuongopewa kuwa tatizo la nguvu za kiume linamalizwa na madawa kwa wiki moja or siku tatu, watu wamekuwa wakitapeliwa sana pesa zao leo acha niwafungue akili...
Kumekuwepo kilio na maswali mengi ya wadau mbalimbali wakitaka kujua masuala kadhaa kuhusu ugonjwa wa kisukari; tumetengeneza mnakasha huu ili kurahisisha majibu (si yote) kwa wenye uhitaji wa...
Salamu wakuu.
Ni matuamini yangu mumeingia salama katika huu mwaka mpya wa 2022.
Kwa wale ambao hamjaingia mkiwa salama kama mimi, yote ni kheri, kikubwa tunapumua.
Kichwa cha uzi kinajieleza...
Habari Wana JF nilikuwa naomba kujuzwa ni mda gan mtu anaweza ona dalili za ukimwi soon after exposure...na dalili hizo ni zpi
Nb: Dalili za awali kabisa
Kulinda afya ya macho ni muhimu kwa ustawi wa jumla. Hapa kuna baadhi ya mambo unayoweza kufanya:
Linda Macho Yako na Jua: Tumia miwani ya jua inayolinda dhidi ya miale hatari ya jua (UV rays)...
JF DOCTORS: wakuu nini tiba ya ugonjwa huu! Uume unatoa usaha wenyewe tu unatiririka! Uume kuuma na kuwasha kwa ndani: ni ugonjwa gani na nini tiba yake
Wakubwa naombeni kujua Muongozo wa kupima DNA ya mtoto.
Mtoto huyu kwa tabia ya kuudhi ya mama mtu tumekuwa tukimuhudumia wa baba wawili. Baada ya kujulikana ukweli naona anakimbilia kuliko...
Habari, naomba leo tubadilishane mawazo ya kujenga juu ya hii kitu huenda tukapata source of research. Nina swali juu ya KUHARIBIKA kwa MIMBA saaana swali langu limejikita katika Aina moja tuu ya...
Habari wadau nimekuwa napata shida sana kwenye kidole cha mwisho mguu wa kushoto kidole uwa kinatengeneza usugu nikivaa viatu muda mwingi nini suluhisho ya hii kitu
Jambo ndugu zangu naomba kuuliza
Hivi sababu ya kupoteza uzito ghafla ni tatizo au?
Maana siku hizi nilikuwa na sumbuliwa na homa kali, tatizo la mmengenyo wa chakula na mgongo kuuma saana
Sasa...
Habari zenu wakuu,
Upande wa kushoto Kuanzia juu ya ziwa Kuna wakati napata maumivu yanaenda hadi mgongoni na wakati mwingine hadi mkononi
Na akiwa na hasira ndo yanazidi.
Nilijaribu kwenda...
Kwa muda wa mwaka sasa nimepimwa na kukutwa na hili tatizo katika figo ya kushoto( Kidney cyst 2.9cm x2.5cm ).Wakati mwingine huwa nasikia maumivu upande wa kushoto.
Madaktari wanasema haina...
Wakuu,
Kichwa cha habari kinajieleza,nimekuwa na maumivu kwa muda mrefu ya mbavu upande wa kushoto,juzi nilikwenda hospitali kupima,walinipiga ultrasound na dokta aligundua kuwa kwenye figo yangu...
Kumekuwa na propaganda nyingi sana kuhusu upungufu wa Nguvu za kiume na tiba zake na kumekuwa na tafsiri nyingi sana za watu juu ya upungufu wa nguvu za kiume.
Wapo wanaoona kwamba kukojoa mapema...
Heshima kwenu wadau wa jukwaa.
Ndugu yangu ana ugonjwa inasemekana wa neva. Ni kampun gan bora kwa bima ili kukabiliana na tiba bora nchini? Maana hii kupimwa pimwa tu bila tiba inatupiga sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.