Kuchamba kwa karatasi ni rahisi sana kwakuwa ni rahisi kutembea kwa urahisi na karatasi/toilet paper au gazeti hata ukiwa safarini, picnic, uwindaji, nk. Makaratasi yanapatika TU lakini maji...
Mkate ndiyo chakula kikuu cha kila siku cha familia nyingi duniani, hasa sehemu za mijini na ndiyo chakula kinachotumika na watu wa rika zote, wakubwa kwa wadogo, lakini ni wangapi tunajua kuwa...
Habari za muda huu ndugu zangu.
Kwa muda mrefu nimegundua nina tatizo kitaalam linaitwa Deviated septum,hivyo nahitaji kwenda kufanyiwa operation yaani septoplasty,
Tatizo langu naona limekua...
Habarini za wakati huu wakuu. Kwanza tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama.
Pili niende moja kwa moja kwenye mada, binafsi huwa nina kawaida ya kufanya mazoezi kila asubuhi ikiwemo joging na...
Habarini za wakati huu wakuu. Kwanza tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama.
Pili niende moja kwa moja kwenye mada, binafsi huwa nina kawaida ya kufanya mazoezi kila asubuhi ikiwemo joging na...
Jamani mimi mwili wangu umekuwa mwili wa magonjwa mpaka sasa ivi na hisi nimerogwa kupona siponi. Nime kuwa mtu wa kubadirisha magonjwa Kama nguo.
Nimetoka kwa hili na ingia kwa hili. Jana...
Habar za wakati huu jf doctors, niende moja kwa moja kwenye mada. Nimewasikia wataalam wengi wa tiba asilia wakihusisha ugonjwa wa ngiri na kusinyaa au kumezwa kwa maumbile ya kiume.
Watu wengi...
Natumai hamjambo wanabodi!
Naomba mwenye sababu za kitaalam atoe mchango wake hapa, kwa nini hali hii inawatokea baadhi ya wanawake?
Je, ni ishara ya Jambo Fulani?
Je, Nini hasa kinapelekea hali...
Habarini wandugu.
Naomba kujulishwa dawa ya alergy ya vumbi (kupiga chafya sana kutokana na vumbi au harufu kali) ni nini.
Pia dawa ya kuondoa weusi katikati ya mapaja (ukijikuna unatoka unga...
Habari, naomba kuelekezwa hospitali au kliniki nzuri ya macho ambayo ntaweza kufanyiwa check-up na kupatiwa miwani kwa Arusha au maeneo ya jirani.
Nimeona niulize kwa wadau kwanza maana macho...
Naaombeni mnielimishe uume kwa kawaida inatakiwa urefu gan kwa sababu n swal ambalo nliulizwa nkakosa jb na nmejtahd kutafta kwny vtab kama BS, Fundamental anatomy na vngn lakn bado cjapata jb
Inasemekana ya kwamba matunda yenye ladha utamu bila uchachu yaani 'alkaline' na matunda yenye ladha ya uchachu yaani 'acidic', yanahitajika kuliwa kwa bila kuchanganya ili kupata faida zaidi.
Je...
Tohara ni muhimu sana katika afya ya mvulana yeyote yule, na ndiyo maana hata wizara ya afya ikaona ni vyema kuanzisha hata huduma ambayo itawafanya watu waweze kupewa huduma hiyo bure kwenye...
MAKALA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA YA UKIMWI
Takwimu Zinasema Vijana Wenye Umri Wa Miaka 15 -24 Ndiyo Wanaongoza !
Hii Inaogofya ,Inatisha na Inanisukuma Moja Kwa Moja Leo Hii Hadi Kwa WATUNGA...
Hydrogen Peroxide Uses for Natural Body Care
There are lots of different hydrogen peroxide uses for natural body care. This makes sense, since hydrogen peroxide is non-toxic (it breaks down to...
Natumai hamjambo.
Jukwaa hili naamini lina wataalam wa afya. Naomba mnisaidie. Siku za karibuni nimekuwa na tatizo la kuumwa na viungo. Hasa vya mikono na shingo. Na kusinzia kila mara ofisini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.