Magonjwa ya zinaa yana athari mbaya katika mwili wa binadamu. Hivyo ni wajibu wetu sisi kujikinga kwa njia tofauti kama wataalamu wetu wa afya wanavyotuelekeza.
Kinga hazipaswi kuadimika, namna...
Habarini wana JF wenzangu.
Kuna ugonjwa wa ngozi naiona kwa watoto, si mmoja si wawili na sijajua inasababishwa na nini... Wakati mwingine huwa wanajiwasha pindi ninapo wahoji wazazi wao...
Kikohozi ni moja ya ugonjwa ambao huwapata watu karibu wote. Kunapotokea kuzibika au muwasho kwenye koo lako ubongo hutambua kuwa kuna wavamizi kutoka nje na hivyo huuamrisha mwili wako kukohoa...
Habari za mda huu waungwana,
Naomba mwenye kujua hili tatizo linalo nisumbua mda Sasa. Yaani mda wote nakua nipo sawa ila ikifika ule muda nikianza kulala uume unanza kusimama wenyenye pasipo...
Hizi ni dalili za hatari wakati wa ujauzito.
Uchungu wa uzazi unaochukua muda mrefu sana
Uchungu wa uzazi wa zaidi wa saa 12 kwa mama aliyerudia kuzaa (mzoefu), au uchungu zaidi ya saa 24 kwa...
Wakuu wenye utaalamu na ufahamu, ni jinsi gani naweza kuongeza sperm motility maana nimepata majibu kwamba ni 50/50. Vipimo vinginr vyote vipo vizuri
N.B
Naomba kueleweshwa zaidi katika suala la...
Jambo ndugu zangu
Mimi Nina tatizo la tumbo ambalo nimesha jiuliza maswali mengi sipati jibu and sometime nimesha anza kuhisi Kama nimerogwa. Mimi tumbo langu linavurugika.
Kuna muda nahisi kama...
Week iliyopita nilikuwa naongea na ofisa mmoja wa serikali, ni rafiki yangu tulikuwa tunajadili suala la hizi condoms, je vipi kama ikitokea umefanya na demu asiyeathirika, ila ukapata mchubuko...
Kuna pisi moja ya ukweli sana imepotea. Naskia ilichanganya pombe na dawa. Kwa nini hamsemi? Mnafurahi mtu akifa?
Haya ninyi madaktari mliomo humu hebu tusaidieni orodha ya dawa ambazo haziendani...
Time Your Meals
Set a timer for 20 minutes and reinvent yourself as a slow eater. This is one of the top habits for slimming down without a complicated diet plan. Savor each bite and make it last...
Haya ni mambo ya muhimu ya kuzingtia kabla kujaribu kupata ujauzito.
1)Acha maadili mabaya.
Uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe wa kupitiliza vyote uweza kusababisha kuharibika kwa ujauzito na...
Binti yangu 12 years amejigonga na kitu kwenye jicho limetoa dam jana na anaona kama ukungu, limepoteza uwezo mzuri wa kuona jicho moja sababu ya hiyo injury so anaefahamU hospitalI nzuri kwa hapa...
Ndugu wapendwa nilipata kusikia unaweza kujipatia uzazi kadri upendavyo haswa kwa wanamme katika uzazi wa mpango wa namna ya kipangilia watoto wa kiume na kike,habari hizi ni kweli? Kama ni kweli...
"[emoji3054]HIZI HAPA KAZI ZA TEZI DUME/Prostate Grand AMBAZO ULIKUWA HUZIJUI[emoji3054]".
[emoji3054]TEZI DUME - Ni Nini ?
"[emoji262]Tezi dume ni sehemu mojawapo ya mfumo wa uzazi wa kiume...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI
Habari zenu wana jf Dr.
Mimi nina tatizo amabalo limekuwa likimsumbua mdogo wangu tangu akiwa shule ya msingi na mpaka sasa yuko kidato cha sita...
HAMJAMBO WAPENDWA,
Nahitaji msaada wa Dawa Bora ya Madonda ya kooni (Tonses) sijui kama Hilo Jina ni sahihi mtanirekebisha..
Nimetumia Dawa zifuatazo kwa muda wa week 3 Sasa na sijapata Nafuu...
Ikitokea nimekakaa sehem ngumu kwa muda wa dakk 20 mboo inapata ganzi, inakua kama inachomwa chomwa na sindana na wakati huo inaanza kusimam bila ya hisia za mgegedo.
Ni mda sasa naona tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.