Wakuu hope mko poa
Nishawahi kuwa mamber wa chaputa kwa miaka kadhaaa.
Huwa ikitokea nikakaa vibaya yaani kwenye kiti kama Kuna kitu kingine labda nguo au kitu chochote,,nikikikalia icho kitu...
Wakuu,
Hivi vidonge hivi vya P2 vina limitation kwa watumiaji?? Yaani anatakiwa atumie mara ngapi kwa mwezi?? Au akitumia hata kila siku ni sawa!!!
Naomba kufahamishwa bei yake!! Nimechoka...
Habari wana jamvi. Natumaini jumapili yenu ipo poa. Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa mwanaume yeyote aliyepata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume akatibiwa na akapona naomba msaada iwe...
Wadau habari, Ni matumaini yangu hamjambo. Nimejileta kwenu ili nipate utatuzi wa changamoto ya kiafya inayonikabili. Ni karibu wiki sasa nasumbuliwa na aina fulani ya kidonda juu ya uume.
Kwanza...
Nyama nyeupe ni ipi?
hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyeupe kabla ya kupikwa mfano halisi ni nyama ya kuku, bata, mbuni, ndege wote na samaki aina zote.
nyama nyekundu ni ipi...
Habari zenu wana JF,
Ni wazi kwamba watu wengi hatuna elimu ya kutosha jinsi ya kutoa huduma ya kwanza kwa wapendwa wetu pindi wanapopata matatizo mbali mbali ya kiafya kabla ya kuwapeleka...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Nimatumain yangu nyote mko wazima & kwa wale wagonjwa mwenyezi mungu awatie nguvu. leo hii ni mekuja na mada moja inayoitwa hormone...
Kihisia: Kukosa furaha na kuhuzunika sana. Au kuwa na furaha sana kupita kiasi wasiwasi na au woga kupita kiasi. Kupunguza kuongea au kutokuongea kabisa au kuongea sana kupita kiasi. Hasira za...
Habari wakuu.
Kwa anaefahamu tiba ya mawe ya tonsezi !tonsil stones! naomba anisaidie.aidha ya kienyeji au ya hospitalini. haziniumi ila ni hayo mawe tu ndo yananisumbua,na kunikera kwasababu...
Ni matumaini yangu kuwa wanajukwaa wenzangu hamjambo kabisa na mnaendelea na mapambano juu ya maisha yenu kama nifanyavvo mimi.Kwa wale wenye changamoto kiafya poleni sana Mungu ni mwema siku...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21.
Hivi karibuni nimekua nikisikia maumivu makali sana ya kiuno hasa nikiwa nimkaa. Au wakati wa kulala. Je, chanzo chake ni nini na je naweza pata tiba...
Habari zenu ndugu zanguni watanzania,
Napenda kuuliza mie nina kadi ya NSSF kwa ajili ya matibabu, wife ni mjamzito sasa je napenda kuuliza ni hospital gani nzuri kwa hapa Dar kwa ajili ya uzazi...
Habari zenu ndungu zanguni, Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,naomba Daktari anisaidie kuhusu kitu kinacho itwa SAUNA.
Najua wengi tunafahamu kuhusu SAUNA,nimekua na uraibu wa sauna mda...
unishukuru Baadae...
1.Viceroy na Soda water...vichupa viwili maliza hapo kula vizuri kafinye mtu.
2.konyagi ndogo na soda water ..vichupa viwili mix na kile kinywaji chekundu cha italy...
Habari wana JF,
Nipo hapa kuomba ushauri wenu, nina meno yangu mawili yamezidi nje, so kwa sasa yamekuwa yakinikera sana.
So nilikuwa naitaji kuyaweka sawa ila nahofia sana kama sitopata...
Habari wakuu poleni namajukumu Kama kichwa habar kilivoeleza hapo juu... binti yangu wa miezi 8 leo siku yapili tumebaini natatizo la kitovu kinaongezeka ukubwa na kusinyaa pembezoni mwake...
MOYO KUTANUKA
Huu ni ukinzani wa moyo jinsi
unavyo toa na kuingiza damu katika
mishipa ya moyo na kuelekea
sehemu zingine kwenye mwili.
Mara nyingi moyo ukipanuka
hupelekea baadhi ya sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.