Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Kwa mliotibiwa maswala ya masikio naombeni kujua kama dar group kuna wataalam wa masikio na bei zake zikoje kwa mfano kumuoa docta ili nijipange vizuri
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza yapi ni majibu sahihi ya hiki kipimo cha UPT , Kwa sababu naona mstari mmoja umekolea na mwingine ni hafifu kidogo.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Sciatica ni mshipa mkubwa unao anzia pingili za kiuno hadi kwenye unyayo, mara nyingi disc za L4/L5/S1 zikigusa huo mshipa, maumivu lazima uyasikie kote, kwenye kalio upande mmoja, paja hadi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Umri: 42 Tatizo: Shahawa zinatoka rojo rojo bila presha. Nguvu za kiume: zipo Mkojo: presha ndogo na hauishi wote vzur kama vile valve mbovu. NINI TATIZO? NINI TIBA?
4 Reactions
39 Replies
6K Views
Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu ya kila siku, naombeni ushauri wenu ni kitu gani kinasababisha mtu kufanya mapenzi siku ya hatari tena siku ya 14 alafu usishike ujauzito je ni Jambo la...
2 Reactions
54 Replies
4K Views
MMEA WA BANGI NA FAIDA ZAKE KIAFYA Mmea wa bangi umekuwa unatumika na baadhi ya jamii za dunia, Afrika na Tanzania pia tangu kale. Kwa Tanzania, wahadazabe wanatumia huu mmea. Mataifa tofauti...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Mimi sio mtaalam wa haya mambo kabisa Wakuu huduma ya kupandikiza mimba kwa mwanamke asiyekua na kizazi inawezekana? Je, inawezekana kwa mwanamke ambaye hana kizazi hili jambo? Nimesikia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana jf naombeni kujua kutoka kwenu maendeleo ya tafiti ya kupata tiba ya kisukari, maana ukimwi wataalamu wamejitahidi sana, ndio maana zamani mtu akipima akipewa majibu kuwa ana ukimwi watu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Rejea zako tu hapo Kichwa cha Habari kisha anza 'Kutiririka' na 'Kuserereka' zako kulingana na 'Uzoefu' wako kama nawe hii hali imeshakukuta pia.
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Ni matumain yangu mu wazima wa Afya, Niende kwenye mada moja kwa moja. Naomba kufaham kwa yeyote mwenye Ufahamu wa jambo hili. Ni hospital gani ambayo inatoa huduma ya kufunga bracelets kwenye...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwa mwanamke anaetumia njia za uzazi wa mpango mfano kijiti ni kawaida kuingia kwenye siku zake kila mwezi, Nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu kama maada ilivyojieleza hapo juu, naomba kujua sababu kwa nini wagonjwa wa macho hasa huduma ya miwani na wale wa meno hawatibiwi kwa bima? Ni kwamba mara ya kwanza nilienda kutibiwa macho...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Kwamba anayekimbia atakachokiingiza zaidi tu Mwilini mwake ni Pumzi ila Mtembea kwa Miguu Yeye anaingiza Pumzi ya Wastani ila anaimarisha Mwili mzima pamoja na Viungo vyake vyote na Kujengeka...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu . Niende moja kwa moja kwenye mada, kwa muda mrefu nilikuwa nahisi hali yangu ya mfumo wa mkojo haiko sawa. Lakini kubwa ni kushindwa kujiziwia nikibanwa na haja ndogo. Mara nyingi...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Wasalam mabibi na mababu.. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Nimekuwa nikiteseka sana kwa kukosa usingizi usiku na ata mchana kwa muda kama mwezi naa,,, kichwa changu kimekuwa kikiandamwa na...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Kwa wale wataalamu wa madawa nimeenda hospitali kwa tatizo la sikio langu la kulia linalotoa sauti. Nimepewa dawa mbili: 1. Ampiluclox (hii ni ya vidonge) 2. Boric acid (ni ya maji) Msaada...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mwnye dawa jmn naomba anisaidie. Mimi nmeolewa naishi na mume wangu huu ni mwaka wa tatu bdo hatujabahatika kupata mtoto. Anaejua dawa naomba anishauri. Hosptal tumeshaenda
7 Reactions
141 Replies
13K Views
Wapendwa naomba msaada wenu, ni kwa muda gani baada ya operation mwanamke ataruhusiwa kufanya tendo la ndoa?
0 Reactions
14 Replies
69K Views
Yapo madhara mengi Na hutofautiana kulingana Na jinsia, umri, Na umbo. Nayo ni; - Kukosa choo, kupata choo kigumu, - Constipation au choo kuganda - Bawasili kutokana Na mfumo wa chakula kuzongwa...
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Magonjwa ya zinaa sehemu ya haja kubwa (Anorectal STIs) huweza kusambazwa kwa kuingiliwa kinyume na maumbile, au kunyonywa sehemu ya haja kubwa kwa kutumia ndimi, au kuingizwa vidole sehemu ya...
5 Reactions
7 Replies
16K Views
Back
Top Bottom