Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Nasukumwa kuuliza swali hili baada ya kuona hii video ya huyu jamaa anayesema ubongo wake uko tumboni na unafanya kazi kama kawaida. Tumsikilize Kisha wataalam watupe elimu.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana JF habari zenu! Dada yangu alijaliwa kupata mtoto wa kiume tatizo ni kwamba kama siku 7 zilizopita alianza kuvimba matiti na kuweka ile hali ya kitu kigumu kwa ndani kama wale mabinti...
0 Reactions
15 Replies
16K Views
By Jon CohenJul. 7, 2020 , 9:00 AM A 36-year-old man in Brazil has seemingly cleared an HIV infection making him the proof of principle in humans of a novel drug strategy designed to flush the...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mama yangu amefanyiwa upareshen ya kuondolewa kizazi juzi Muhimbili. sasa naona amewekewa mpira wa mkojo?! Madokta hii imekaaje?
0 Reactions
5 Replies
773 Views
  • Closed
Kukimbiwa na kutengwa na wenza (Baba wa Mtoto): Wanaume wengi na ndugu hudhani kupata Mtoto Njiti ni jambo la laana au mkosi hivyo humtenga Mama na Mtoto wake Kushindwa kumudu gharama za malezi...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za huku, mimi nina shida moja doctor nisaidie yan mm nkichelewa kuamka tu siku hyo kwangu itakua mbaya ntakua mchovu siku nzima yan ili niwe sawa inatakiwa pale usingz ukikata tu kwwnye sa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Jaman ndugu zang naomba kuuliza juu ya hii Hali Sijui Kama ni Hali tuu ya kawaida!!? Kwani huwa napata hali ya kuwa nashahuku ya kubonyeza juu ya kucha zangu mara kwa mara ama kucha kuingiza...
1 Reactions
1 Replies
607 Views
Habari ya usiku huu wapendwa. Jamani jino linaniuma kuliko kawaida imepelekea kichwa nacho kinaniuma non stop..usingizi hauji ni kama nimebeba gunia la misumari kichwani😢😢😢 Naomba mwenye kujua...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Uzi huu tutazungumzia matatizo ya utu au matatizo ya kimtazamo. Matatizo haya huhusisha zaidi jinsi mtu anavyoshirikiana na wengine. Tutayazungumzia yote polepole. Tuanze!. Paranoid personality...
11 Reactions
39 Replies
7K Views
Habari jamani
1 Reactions
29 Replies
12K Views
Wana JF habarini, bila ya kupoteza muda na maneno mengi naombeni mnisaidie ushauri wa dawa nzuri ya kupunguza unene, hasa kitambi. Nawategemea jamani
1 Reactions
71 Replies
12K Views
JE UNAFAHAMU WEWE UNAYO DAMU YA KUNDI GANI NA TOFAUTI ZAKE? Katika pekua yangu nimegundua leo hii kuwa watanzania wengi hatujui tupo katika kundi gani la damu. Na mbaya zaidi utakuwa wakina mama...
5 Reactions
14 Replies
6K Views
Imenitokea kama siku tatu zimepita. Ilianzia pajani kama kajibu....sikukatumbua vizuri. Ila kakapotea. Baada ya siku mbili ukatokea uvimbe mwingine kwapani mmoja, nikauminya ila siku ya pili...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari Wakuu, poleni na majukumu Kuna tatizo wife analipitia katika kipindi hiki cha ujauzito Ujauzito upo Week ya 30 na anasikia maumivu ya nyonga pamoja na mguu, maumivu ya tumbo chini ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu jamani ndugu zangu nina kama mwez na nusu koo pamoja na ulimi wangu vimekuwa vikinisumbua sana na vidonda sasa stage iliofikia napata hofu sana naomba anaejua...
0 Reactions
2 Replies
977 Views
naomba tiba ya tatizo la kinywa yaani nina miaka mingi sasa nasumbuka na kuumwa koo linawaka na ulimi unakuwa na alama za michilizi. Mwenye dawa anisaidie
0 Reactions
2 Replies
896 Views
  • Closed
Ripoti ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam kitengo cha Afya inaeleza kuwa, Msongo wa Mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Takribani kila dakika moja na sekunde 40, mtoto au kijana chini ya umri wa miaka 20 alikuwa anaambukizwa Virusi Vya UKIMWI, VVU mwaka jana 2019, na kufanya idadi ya watoto wanaoishi na VVU kufikia...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina demu yeye ni single mother wa mtoto wa miaka miwili (kafunga mwez wa 10 ), huyu demu aliweka kijiti cha miaka mitatu baada ya wiki tatu tangu kujifungua, wiki lilopita kanambia anajiskia...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
World-daily-news.com Published 1 hours ago - 1 views People residing with HIV who start antiretroviral remedy with a pretty healthful CD4remember can now assume to stay simply as long, on...
0 Reactions
0 Replies
501 Views
Back
Top Bottom