Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Ndugu wana jf mwenzenu Nina tatizo la maumivu ya mgongo na kiuno ya mda mrefu sasa jumamos iliyopita nikashangaa uume hausimami gafla wakati sijawah kuwa na shida hiyo,je hospital linatibika...
7 Reactions
52 Replies
9K Views
Habari za wakati huu wakuu Ningependa kujua Je, uchovu wa mwili hasa nyakati za asubuhi baada ya kuamka husababishwa na nini? Na vipi naweza tatua changamoto hii katika mwili wangu?
1 Reactions
28 Replies
7K Views
habari zenu wakuu!! naomba msaada jinsi ya kuepuka madhara kwenye macho yanayotokana na matumizi ya vifaa vya kielektroniki kama simu, laptop na vifaa vingine kama hivyo.... binafsi najitahidi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina miezi kadhaa baada ya kujifungua ni mtoto wangu wa kwanza, (RIP MY ANGEL) sasa tangu nijifungue nazidi kunenepa tu sipungui Sijanywa masupu wala mitori lakini unene umegoma kuniacha...
1 Reactions
71 Replies
8K Views
Nilipata mafua makali juzi kati hapo mafua yamepona ila mpaka leo siskii harufu yoyote ile. Napata tabu sana kweli nimeamini utamu wa chakula unategemea sana harufu, kama huskii harufu ni kama...
5 Reactions
77 Replies
7K Views
Jarida la The Economist limeeleza kwamba tafiti zimeonesha watoto wanaozaliwa kwa njia ya kawaida huwa na kinga imara zaidi ya watoto waliozaliwa kwa njia ya upasuaji. Utafiti umebaini kwamba...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naombeni kuuliza, pumu ni ugonjwa wa kurithi?, mwanamke mwenye pumu anweza kuzaa watoto wote wenye pumu? kama sio ugonjwa wa kurithi ikitokea mtoto wa kike akazaliwa na pumu kwenye familia yake na...
0 Reactions
2 Replies
678 Views
Kila wakati unashauriwa na watalam wa afya ya kwamba unatakiwa kula tende kwa wingi ili kupata faida zifuatazo katika mwili wako: 1. Huongeza nguvu kutokana na kuwa na sukari ya asili, unaweza...
4 Reactions
11 Replies
11K Views
Wadau naombeni ushauri, Nina tatizo lakutopata usingizi yaani usingizi unaanza kunijia saa 9 nakuendelea Tatizo hilo limenifanya nirudi kwenye matumizi ya sigara ndio napata usingizi. Ushauri...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
JAMII imetakiwa kufahamu namna bora ya kuzuia, kuhudumia na kutibu wenye matatizo ya afya ya akili kuepusha mateso, vifo na mfarakano katika jamii hasa wanandoa . Wakizungumza kwa nyakati...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hippocratic Method and the Four Humors I do anatomize and cut up these poor beasts, he said to Hippocrates, to see the cause of these distempers, vanities, and follies, which are the burden of...
1 Reactions
0 Replies
735 Views
Je, unasabishwa na nini,unamadhara gani na tiba yake ninini?. Naomba wanajamvi mnisaidie. Asante Sent from my iPad using JamiiForums
0 Reactions
6 Replies
41K Views
Wana Jamvi kama Mkoani kwenu au WIlayani kwenu kuna miradi ya kupambana na COVID19 tafadhali njoo utujuz mnanufaikaje.
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Rafiki yangu anapata maumivu kuanzia kiunoni hadi juu ya makalio hasa wakati wa kukaa.kipimo cha MRI kaambiwa disc mbili zinauvimbe yaani posterior disc bulge L3/4 and L4/5.tunaomba ushauri wa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari madoctor na waganga wauguzi wa JF Mwenzenu nimeamka na taarifa sio nzuri kiupande wangu baba yangu ameparalyse upande mmoja na hawezi kuongea miezi mitatu nyuma alifiwa na dada yake wa...
10 Reactions
66 Replies
9K Views
Mwanaume kuwa na korodani moja au kuwa nazo tatu ina shida yoyote?
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Ushauri wakuu ni kwa namna gani naweza epukana na kadhia hii
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Salaam, Tuzidi kuchukua tahadhari dhidi ya Covid-19 , maana ipo na ni hatari. Naomba niingie moja kwa moja katika mada husika; Ni hivi, kuna ndugu yupo mkoa fulani ndani ya Tanzania. Ndugu huyu...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu, Hii ni mara ya pili sasa inanitokea, usiku nasikia baridi kali sana. Natetemeka kisha ninakuwa kama nina kwikwi hivi, nikijifunika blanket hiyo hali inapotea. Mara ya kwanza ilinitokea...
0 Reactions
16 Replies
10K Views
Jaman poleni na majukumu. Naomba kujuzwa juu ya swali langu. Kuna mke wa jirani yangu aliweka kijiti mwezi uliopita, ila sasa ameshituka ana ujauzito wa miezi miwili! Je, kuna madhara?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom