Wakuu kama kichwa cha habari kilivyo.
Mwanangu ana umri wa miaka 6 anasoma darasa la kwanza. Changamoto kubwa ni kutotunza kumbukumbu. Alichojifunza leo ukimuuliza anakusomea vizuri tu.
Lakini...
Habari wadau wa Jf
Nina tatizo ambalo linanisumbua kwa mwanangu. Mwanangu anakula chumvi kupita kiasi, ana miaka mitatu kasoro.
Hii tabia ameirithi kwa Baba yake ambaye naye alikuwa anakula...
Nitangulize shukrani kwenu nyote wana JF, kwa kazi nzuri ya, ku-Elimishana juu ya mambo, mbalimbali katika jamii yetu, Shukrani sana ziwafikie.
Ndugu zangu, Mimi nimekuwa na maumivu ya, ndani, ya...
By F. William Engdahl
Global Research
Microsoft founderBill Gates has made himself the global vaccine czar as his foundation spends billions on spreading new vaccines globally. While much...
Huu ugonjwa nitamwomba dr yeyote wa JamiiForums auzungumzie kwa undani ni mbaya na hatari.
Kuna goiter za aina 2.
Ya kwanza ni ile ambayo uvimbe huonekana juu ya koo
Nyingine ni ile ambayo ipo...
Statistics show that 1 in 4 people has some kind of mental disorder however small,so look at three of your best friends if they are okay than its probably you.
Kushindwa kwa uume kusimama pia hutambulika kama kuishiwa nguvu za kiume. Ni kitendo cha mtu kushindwa kusimamisha uume au kudumisha usimamaji wa uume kwa muda wa kutosha kufanya tendo la tendo na...
Wataalamu wa afya msaada wa elimu ya afya,Tunaomba msaada wenu tupate ufafanuzi juu ya haya magonjwa ya kinywa maana yanafanana kwa dalili lakini naangalia approach ya matibabu yake yaweza kuwa...
Nimeshawishika na huyu binti ila ana UKIMWI wa kurithi na anasema viral load iko ziro. Kwa hiyo naona tu nikampasue saa hii.
Naombeni muongozo wenu ili nisidhurike tafadhali
I'm looking for Psychotherapist/Psychologist near or around Dar or Arusha City to help me with few issues I have been going through for couple of years now.
If you think that you have the...
Wakuu nawasalimu.
Nina tatizo la kukosa furaha, kazini kwangu sina tatizo lolote na mfanyakazi mwenzangu au Maboss wangu.Nalipwa vizuri kiasi maana mshahara wangu net ni zaid ya 1.7,napata...
Kila mwaka watoto takribani milioni 15 huzaliwa kabla ya miezi tisa yaani njiti na idadi hii imekuwa ikiongezeka siku hadi siku. Ni moja kati ya sababu inayochangia kwa wingi vifo vya watoto walio...
Wasaalam. Kama inavyosomeka kwenye "heading" naomba yoyote mwenye taarifa kuhusu Hospitali ya Lutindi anipe msaada wake kwa kukomenti kwenye huu uzi hasa kuhusu:
1. Gharama za matibabu
2. Ubora...
JE WAJUA KUHUSU SERA NA SHERIA YA AFYA YA AKILI?
Sera ya afya inasema Afya ya akili ni sehemu muhimu ya huduma za afya ya jamii. Magonjwa na ulemavu wa akili vimekuwa vikiongezeka katika jamii...
Msaada jaman,
Nahitaji kufaamu ni wap naweza kupata ushauri na msaada wa kitaalamu zaidi juu afya ya akili, na matibabu yanayohusiana na mambo hayo.
Au kama kuna mtaalamu wa mambo hayo...
Habari za leo wapendwa,
Leo hii nimeona tuongelee afya za akili, wengi wetu tunashindwa kuelewa afya ya akili ni kama afya fisikia ya mwili, na inatibika kitaalamu. Katika jamii yetu tunaamini...
Habari za wakati huu...
Naombeni ushauri Leo ni siku ya tatu tumbo linanicheza kwa ndani upande wa kushoto chini ya kitovu na sina maomivu yeyote na sijawahi kuugua ugonjwa wowote watumbo, vakula...
Habari,
Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu masuala ya Lishe. Nina tatizo kwa baadhi ya vyakula vinanisumbua mno hasa mboga za majani. Nikila naendesha mno.
Msaada tafadhali
VYAKULA VYA MADINI (CHUMA)IRON KWA WATOTO
Vyakula vyenye madini ya iron ni muhimu sana kwa ukuaji wa mtoto. Vyakula vya madini ya iron husaidia mtoto asipatwe na anemia.vyakula vya madini ya iron...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.