Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari madaktari, Nahitaji msaada kwakweli, baada tu ya kujifungua huyu mtoto wangu wa kwanza nasahau mnoo, inanikera sanaa kwakweli, nasahau haraka sana na mara kwa mara, ninaweza kuwa na fanya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Watu wengi hawaelewi kwa nini wa kinywa pombe wanalewaga. Ungana nami nikuelezee. Pombe (alcohol) ina compound inaitwa phenyldiethyl ethanol ambayo ina create carbon carbon double bond between...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimba iliharibika akasafishwa baada ya mwezi mmoja akaona siku zake Ila baadae miezi iliyofuata hakuona hedhi badala yake amekuwa anableed, mgongo kuuma na tumbo kuvimba. Nini tatizo?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Je, kuna madhara Ku sex every day? Wife nae hataki sasa. Anakua na kazi nyingi anachoka sometimes. Ila lengo langu kila siku goli 3
5 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari? Poleni na kampeni. Nimeweka huu uzi hapa ili wengi wausome nipate msada. Naomba msaada wa dawa ya kumsaidia mtoto mwenye nyama za pua kwa anayejua. Ni wa miaka 6. Asante.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF pendwa. Naomba ushauri wa kitaalamu. Mtoto wangu mwenye umri wa miaka sita ameng'oa meno ana muda wa miezi mitano sasa hayajaota. Je ni sahihi au kuna tatizo? Ushauri wenu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je ni Kweli madaktari wanapojua mgonjwa atakufa humficha na kuwaambia ndugu zake tu? Pana tetesi huzisikia kwamba madaktari wanapotambua mgonjwa atafariki, au ana tatizo kubwa sana kuliko mgonjwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukipima HIV kipimo kikionyesha hivi, rudia kupima Upate jibu sahihi negative- ama positive+ Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
31 Replies
9K Views
Msaada waungwana, Meno yangu ya Juu upande mmoja yanakufa nganzi mara kwa mara, pia nina continuously backbone pain.. sina hakika sana kama kuna mahusiano. Shida yangu kwa anayejua tiba aisee...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna mzee mmoja anauza madafu mara nyingi naona watu wanajambisha (kubana midomo kwa mikono kisha kutoa mlio kama kujamba au tarumbeta) basi yule mzee huwa anashtuka na kuruka na kuanza kufanya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
wajumbe kuna wakati nilikuwa na tatizo la kutopata hamu ya kula hata ukinipa silace mbili za mkate simalizi na sina hamu ya kula tena,...kuna mtu akanishauri ninywe castol oil. Aisee nilipokunywa...
6 Reactions
28 Replies
33K Views
Katika malezi yangu, kuna wakati mtoto huharisha (kinyesi kilichochanganyika na ute mzito au malenda) na nimekuwa nikiambiwa nisimpe dawa na hiyo hutokana na kuota meno. Hawa waliokuwa wakitoa...
0 Reactions
13 Replies
30K Views
Habari wakuu, Tangu jana asubuhi nilipodamka nikajaribu kunyima kichwa cha uume kidogo nikaona uchafu mweupe mithili ya maziwa unatoka,pia nikienda kukojoa mwishoni nahisi maumivu makali sana. Na...
1 Reactions
41 Replies
10K Views
Wadau kwa sasa kuna dawa ambayo inapigiwa upatu kwamba inasaidia kuongeza kinga ya mwili dhidi ya corona. Ni mchanganyiko wa vyakula vya asili. Inaitwa NIMRCAF. Kama kuna yeyote anaifahamu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu habari za Leo, Kiukweli kuna tatizo linanisumbua ambalo halijawai kunisumbua kabisa. Nahitaji kujua kwenu ni athari zipi zaweza kumpata mtu kiafya anapopenda kula denda.
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu watabibu, Nina miaka 27 sasa, mimi ni dereva wa gari. Nahisi ndiyo tatizo langu lilipoanzia, seat ya hili gari inagonga sana ukijumlisha na njia ninayoendeshea. Twende kwenye maada...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habar ndg kama kichwa cha habar kinavyo sema hapo juu. Ninasumbuliwa na matatizo ya kuuma kwa tumbo kwa muda wa miaka 3 sas nimeangaika hapa Dar mikoani nimetumia madawa hadi na kata tama naomba...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu yangu ana matatizo ya kusikia na ni ya kuzaliwa nayo, Dokta amesema msaada pekee ni mashine ya kusikia, ni mwanafunzi, naomba mnijuze labda ubora za madhara yake, na pia bei zake na brand...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika mila na desturi zetu, kuna ugonjwa ambao umezoeleka kuitwa mdudu wa kidole. Katika mila na desturi hizi, inaaminika kuwa kuna mdudu ameingia kwenye kidole, mara nyingi chini ya ukucha...
9 Reactions
18 Replies
9K Views
Habari wakuu, Kuna tatizo linamsumbua jamaa hapa yaani akikaa ametulia mida ya mchana jua linapowaka anasikia tumbo kama linachemka,ila inapofika jioni hali hii inapotea kabisa....anasikia joto...
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Back
Top Bottom