Taasisi ya Moyo ya Marekani imetoa tafiti inayoonyesha kuwa uvutaji wowote unaathiri mapafu, mirija ya damu na moyo kwa ujumla
Utafiti wa hivi karibuni umeonyesha bidhaa zote za bangi...
Poleni na majukum ya kujenga Taifa ndg zg , mtoto mwenye umri niliyotaja hapo juu analia Sana ( Sana Sana wakati was usiku) Kama tumbo inamsokota vile, Kuna muda anajikunja sana, huku akiwa...
Kulingana na daktari wa afya ya uzazi wa wanawake nchini Tanzania Dkt Berno Mwambe, hali hii kwa Kiingereza hufahamika kama Disorder of Sex Development (DSD). Hii ni hali ya viungo vya uzazi...
Habari wana jukwaa hili, ni jambo la heri kuona watu wanasaidiana kupeana mawazo ya kitabibu ili walio na matatizo kiafya wapate kupona ama kuchukua hatua madhubuti ili wawe na afya njema.
Najua...
Habari ndugu zangu ninasumbuliwa na maumivu makali kiunoni nimeenda hospitali lakini dawa hazionekani kunisaidia! hivyo nimepewa ushauri na ndugu na jamaa kuwa dawa za asili za Kihindi na Kichina...
JE UNAUJUA UGONJWA WA BUSHA (HYDROCELE)💊💊💉💉💉
Mabusha ni hali ya kujaa maji kwenye mfuko wa pumbu. Hali hii hutokea kunapokuwa na mkusanyiko wa maji kati ya tabaka mbili za utando unaozunguka...
Kumekua na kesi mbalimbali za vifo sababu ya watu kumeza dawa kisha kujisahau na kunywa pombe. Hii ni changamoto kubwa sana kwenye sekta ya afya kawaida dawa yeyote anayopewa binadamu kutibu kitu...
Habari za majukumu wapenda mwanangu anawiki tatu tangu azaliwe na leo ni siku ya tatu tokea aanze kutoka na tongotongo lilianza jicho moja leo yamekuwa yote mawili nimeenda hospital ya wilayani...
Habarini wana jF,
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 22 ninasumbuliwa na tatizo la kuwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa kila muda.
Nililikuwa naomba msaada wa dawa inayoweza kuniondolea hamu ya...
Wakuu pole na mihangaiko.
Nasumbuliwaga na nta masikioni, ambapo nta ujirundika na kushindwa kutoka nje.
So nkawa naenda Kairuki pale Kuna madaktari wako vizuri Sana. Nilikuwa nasafishwa masikio...
Naomba mwenye kujua tiba anisaidie,
Nikisimama wima kwa takribani dakika mbili nasikia maumivu makali tumboni upande was kushoto.Nikikaa au kutembea hali hiyo huisha kabisa.
Nimetembelea...
Habari zenu wapendwa?
Naombeni ujuzi kutoka kwenu toka juzi naskia Kuna kitu kinacheza tumboni upande wa kushoto Yani kinacheza kwa nguvu Kama vile mtu ananikanyaga kwa ndani sasa leo kipindi...
Kwa mwanamke ambaye alipata tatizo la ectopic pregnancy (iliyojishiliza kwenye fallipian tube) na ikatolewa kwa upasuaji.
Je, anatakiwa kukaa muda gani ili aweze kubeba tena ujauzito?
Salaam kwenu wakuu,
Ninashida moja ya kiafya,kwanza ninahisi maumivu makali kwenye chemba ya moyo,halafu kiungulia kingi na kuna kitu kinanitembea hapa kooni mwashoni mwa koo kuelekea kifuani...
Ni mwaka sasa tangu ichi kidonda kinipate.
Kilianza kama jipu karibu na sehemu ya aja kubwa. Baada ya siku mbili kikawa kikubwa uku ndani kikiwa na usaha. Nikaamua kwenda hospital na kuni angalia...
kheri ya mwaka mpya wadau.
Naomba ushauri kwa anaejua bima ya afya ( isiwe ya watoto, ) ambayo ni ya gharama nafuu. nina wategemezi watu wazima wanne ila siwezi kumudu ile ya NHIF ya 1.5Mil...
Wapendwa nawasalimu kwa upendo wa Mwenyezi Mungu, Mungu katujalia mtoto mwezi wa nane mwishoni but, kwasasa nimepoteza hamu ya tendo la ndoa, sijajua shida ni nini.
Naomba ushauri wenu wadau hasa...
DAKTARI bingwa wa magonjwa ya pua, koo na mdomo kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila, Perfect Godfrey, ameishauri jamii kuwapeleka watoto wanaokoroma hospitali kupata matibabu kwani...
Habar wakuu,
licha yakwenda hospital mara kadhaa nakupewa dawa but maumivu ya kifua+kubana bado yananitesa sana.Nahitaji msaada wenu.
Cc MziziMkavu etc
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.