Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
AFRISOCCER TANZANIA TANGAZO!!! AFRISOCCER WEEKLY SOCCER CLINICS COMING SOON! "Mwandikishe mtoto wako kwa ajili ya mafunzo ya soka kwenye Soccer Clinics za kila wiki - Jumamosi na Jumapili"...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Walio mlio jirani na televisheni zenu na mna king'amuzi cha Azam mechi itaoneshwa laivu baada ya shamrashamra za mechi ya viongozi wa dini. Mechi itaanza saa 11 jioni. Dk 16 Stars 1-0...
3 Reactions
138 Replies
15K Views
Kikosi cha Young Africans Sports Club Kuelekea kwenye mpambano wa watani wa jadi YANGA Vs SIMBA siku ya jumamosi Oktoba 18, kikosi cha timu ya Young Africans kimeingia kambini leo mchana katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wanajf kwanza nawasalimu, je humjamboooo!!!! Jamani wapenzi wa soka napenda kuuliza kuwa, lile bango la simba UKAWA ambalo jana tuliliona kwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kumekuwa na taitizo la wengi wetu kukosa mazoezi ya kujiweka fit kiafya, na wengi mahudhurio ya Gymnasium kuwa adimu pengine sababu ya gharama, lakini njia bora ni kuingia uwanjani kusakata...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
big up,namuunga mkono 100%,goli la ugenn ni utapeli (magoli yasiyoonekana) The method under which the team that scores the most goals away from home wins the tie was introduced in the mid-1960s...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Bodi ya Ligi (TPLB)imemtangaza mwamuzi wa mechi gumzo zaidi nchini ya watani Simba na Yanga, inatarajiwa kupigwa Oktoba 18, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar. Mwamuzi atakayekaa pale kati...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
inasikitisha viongozi wa simba wameanza kumangamanga ukipitia blog mbalimbali wanaolaumu tff simba mbovu vijana wanachati mpaka saa nane usiku kweli utafanya mazoezi ya nguvu acheni ujinga tukae...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kama kawaida yao,mwendo ni huohuo hadi mwaka unaisha mechi na yanga tu ndo hawata droo, watafungwa, SIMBA SC imetoa sare ya bila kufungana na wenyeji Orlando Pirates katika mchezo wa kirafiki...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
nataka nijiunge na timu ya kikapu maeneo ya hapa napoishi nimeshawishiwa na kocha wa timu,kimo na mwili kasema ndo unaoitajika swali sasa ni je huu mchezonuna future nzuri kwa mwanamke???
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Mke wa beki wa zamani wa Simba, Victor Costa Nampoka amelia na kusema umasikini unaendelea kuwamaliza hasa baada ya nyumba yao iliyo maeneo ya Tegeta kuteketea na moto. "Umasikini huu jamani...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Hatima ya uwanja wa klabu ya Yanga, Kaunda sasa ipo mikononi mwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete. Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa aliliambia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
nimeona kwenye baadhi ya mitandao eti timu ya benin inakuja kucheza hapa nchini tarehe 12/10 nchi za magharibi mwa africa wameathirika na ebola tafadharini sana
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuna haja kubwa kwa Shirikisho la soka Tanzania, TFF kuuchunguza upya uwanja wa Mabatini unaotumiwa na timu ya Ruvu Shooting ya mkoni Pwani kufuatia unyanyasaji mkubwa kwa raia unaofanywa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sio maneno yangu hayo bali ni maneno ya Baba wa Floyd May Weather Jr.,ambaye pia ni boxing trainer wake akiwa anazungumza katika interview na Ben Thomson wa Hype.com May Weather Sr(kushoto)...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Huku homa ya mchezo wa watani wa jadi ikipanda, Yanga imewazuia nyota wake saba kujiunga na kambi ya Taifa Stars inayojiandaa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Benin...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Simba inajiandaa kuweka Kambi South Africa kuikabili Yanga October 18, Taarifa zinasema Simba itaweza kuondoka kesho au keshokutwa ambapo itaweka kambi ya muda na itarudi siku moja kabla ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
mechi yoyote ya kimataifa ya kirafiki kwa timu za taifa kuripoti saa 48 kabla ya mechi hizo sheria za fifa. tff msitake kubabaisha vilabu na msituletee uswahili
0 Reactions
1 Replies
898 Views
hadi inaboa,sijui shida yao ionekane ligi ndeefu.Hii yote kukosa ubunifu wa kuanzisha mashindano mengine.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna mambo yanashangaza sana katika soka letu. Inashangaza kwa sababu, wakati dunia ya sasa ikimulika zaidi mafanikio katika mifumo ya kisayansi, sisi tumebaki kule kule. Wenzetu wamejitahidi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom