Wanaitwa TP FC Lindanda wana Kawekamo Pamba chini ya kocha Pius Nyamko (Marehemu) wakichagizwa na Mtangazaji mahili kabisa wa sport kuwahi kutokea kanda ya ziwa Dominic Chilambo (Marehemu)
1...
Pistons sign Hasheem Thabeet, according to report
Hasheem Thabeet played in Oklahoma City the past two seasons, but we use the word "played" here very loosely.
The wiry 7'3″ center wasn't...
Ki ukweli Liverpool fc, ni timu yangu na ninaipenda sana tena kwa chati ya moyo wangu.. Ila kuna kitu kinacho ni kera katika msimu huu, kuona mchezaji Kama Raheem stering, anapewa nafasi ya...
Yah contrary to popular opinion binafsi si mshabiki mkubwa wa Yanga ila napenda tuu wanavyowaadhibu wale jeuri wanojiita Simba
Lakini my heart is with Pan Africa SC lakini tatizo letu Pan ni...
Nani tangu ligi kuu Tanzania bara
ianze ana magoli mengi mpaka sasa na record haijavunjwa?.
Kipa gani bora kawahi kuchukua tuzo bora nyingi TAnzania kuwa mdakaji bora?
Nani mchezaji bora...
Nahodha wa Ghana Asamoah Gyan amekana madai ya kuhusishwa na kifo cha rafiki yake ambaye ni rapa Castro, na kusema madai hayo ni ya kipumbavu.
Msanii huyo wa miaondoko ya kiafrika ambaye jina...
Shirikisho la soka nchini Nigeria NFF limemchagua Amaju Pinnick kama rais wake mpya baada ya kufanyika kwa uchaguzi siku ya jumanne.
Pinnick Mwenye umri wa miaka 43,ambaye ni mwenyekiti wa tume...
Micheal Phelps ameshinda medali ya dhahabu mara 22 katika mashindano ya olimpiki
Muogeleaji bingwa wa Olimpiki nchini Marekani,Michael Phelps, amekamatwa kwa kundesha gari...
Habari zimetolewa kwa ufupi katika tovuti yake na ukurasa rasmi wa Facebook
Mbeya
Klabu ya Mbeya city Council football Club leo 1/10/2014 imeingia katika makubaliano na kampuni ya Cocacola...
Kwa wale wapenzi wa ngumi a k a boxing wenzangu na mie naona jiko la pambano ambalo linasubiriwa kwa hamu sana linazidi kupasha moto mpambano huo wa kukata na shoka ,maneno hayo yalitanabaishwa...
Kocha mwenye maneno mengi ambaye pia ni shabiki mkongwe na Simba, Jamhuri Kihwelu Julio
KOCHA mwenye maneno mengi ambaye pia ni shabiki mkongwe na Simba, Jamhuri Kihwelu Julio...
Poleni ndugu zangu na vitisho huko Dodoma!
Michezo inaondoa stress kibongo bongo ni stress plus depression!
Ticket za electronic hovyo
FA iliyoahidiwa haieleweki,
Timu ya taifa ni ya kudumu ni...
Nawapongeza Sana Kikundi Cha Hamasa Na Burudani Kwa Wachezaji Na Hata Watizamaji Cha Mpira Na Maendeleo A.k.a
Simba Ukawa(Umoja Wa Kampeni Za Wambura)
Kikundi hiki kimekuwa kikihamasisha kisasa...
Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited imetoa msaada wa milioni 20 kwa ajiri ya kuchangia gharama za tuzo za wachezaji bora zinazotolewa Chama cha Waandishi wa Habari za...
Nchi hii kawaida kila mtu anajifanya anajua mpira hasa waandishi wa habari mpira kuujua ni ngumu sana ni waandishi wachache sana wanaoujua mpira sasa hizi habari za kusema simba na yanga hamna...
inasikitisha hasa washabiki wa dar kuwazomea wachezaji uwanjani hayajui mpira na wataendelea kuwa wajinga wa mpira miaka na miaka kama wewe unajua kwanini haupo hapo uwanjani kucheza kwa maana...
Habari zilizokuwa mitaa ya mji wa Shy leo asubuhi kufuatia ajali mliyoipata Singida zilitufanya mashabiki wenu tuwe na hofu iwapo mngetoka Mkwakwani lakini Hongereni sana kwa ushindi wa leo!Mzidi...
Hii imetokea huko amerca kwenye mchezo wa american football. Mchezaji huyo muislamu alishangilia kwa kusujudu baada ya kufunga bao kwenye mchezo huo. Tukio hili limeacha sintofahumu kubwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.