Mh Rais; Biashara Asubuhi kama Azam na Mtibwa wafanyavyo, kwa mwendo huu Ubingwa tutausikia tu Aveva, hebu tazama hii Mh Rais na ujue tunavyoumia, nasikitika kwamba Wapenzi wa Simba hukata tamaa...
Kenya has been formally confirmed as one of the six countries in contention to hosts the 2017 African Cup of Nations (AFCON) competition.
Kenya joins Algeria, Ghana, Egypt, Gabon Sudan and...
Vyombo kadhaa vya habari vimeripoti kuhusu hali ya mgongano kati ya Kamati ya Utendaji ya TFF na Bodi ya ligi Tanzania (Tanzania Premier league Board).
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania...
UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga umesema utakwenda mahakamani kuishtaki Kampuni ya Binslum Tyres kutokana na kitendo cha kutengeneza tisheti za Coastal Union zenye nembo ya kampuni Sound...
NDOTO za Rais wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ya kutaka Tanzania iwe mwenyeji wa fainali za Kombe la Soka la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2017, zimeyeyuka.
Hali hiyo...
Nchi ya tanzania inaongoza duniani kwa kuwa na makato mengi ya uwanjani,hii imesababisha kutopatikana na mapato ya kutosha kwa timu zetu na kusababisha kuendelea kuwa masikini,haya yalithibitishwa...
Bodi ya Ligi, Klabu Ligi Kuu zamwekea ngumu
Zajipanga kupiga kura kutokuwa na imani naye
Zataka Mkaguzi wa Hesabu za Serikali kukagua
BODI ya Ligi Kuu...
Kaeni chini jiulizeni wakina nani mmewakosea
Kumbukeni kuna usajili umefanywa na viongozi wa nyuma
Kuwasema vibaya uchaguzini mmeshinda mrudi kati kuyamaliza
Simba daima bishana mpaka kufa kama...
OKTOBA 12 mwaka huu katika kuadhimisha siku ya amani duniani viongozi wa dini wanatarajia kujitupa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kulisakata kabumbu safi kabisa, wakiwa na lengo la...
Harambee Stars captain Victor Wanyama is among the four nominees short-listed for the English Premier League African Player of the Month award for September. In a statement by organisers New...
Awards Director, Tunde Adelakun of New African Soccer has revealed to Goal that the Kenyan international and skipper, who joined Saints last season from Scottish champions Celtic, saw off stiff...
Hakuna jambo lisiloshindikana hapa duniani hasa pande mbili zikiamua kulitatua, ukweli bendera katika uwanja huu zinatupa shida watazamaji na hasa kwa mfano panakuwa na malalamiko ni vigumu kamati...
Nimemsikia rais wa TFF leo kupitia radio na TV zetu akiweka mikakati ya kupata timu za taifa za vijana kwa kuandaa mashindano yatakayoshirikisha shule maalumu za soka. Huu sio mpango murua wa...
ijulikane kwamba hakuna mtanzania asiyependa maendeleo ya michezo lakini kwa hili la Real Madrid siliiungi mkono hata chembe. sababu ziko nyingi lakini moja tu ya kiuchumi na kushuka kwa thamani...
Zikiwa zimebaki siku saba pekee kwa Taifa Stars kucheza na Benin mchezo wa kirafiki,mshambuliaji Mbwana Samatta wa TP Mazembe ana uwezekano mkubwa wa kukosa mchezo huo kutokana na kuwa majeruhi...
Kiungo mpya wa Azam FC,Frank Domayo ameanza kujifua na mazoezi ya Gym,kwa ajili ya kujiandaa kuingia uwanjani Januari mosi,baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na kuuguza majeruhi...
habarini wadau,eti hivi structure ya nba ipo vipi in terms kuwa huwa ni muda wa miezi mingapi msimu huanza mpaka kumalizika,timu ngapi znashiriki na pia huwa likizo ni muda gani.asanteni.
1. Kuna mchezaji Wa Yanga aliwahi kupiga kona
mpira ukaenda wavuni na kuwa goli
2. Kuna mchezaji mmoja nadhani Wa Milambo
alikuwa anaitwa 'scud'. Mwaka huo kama
sikosei marekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.