KIKOSI CHA LEO CHA CHELSEA
1:BUGDET COACH(UPENDO)
2:SHABIBY BUS SERVICE
3:SUMRY HIGH CLASS
4:ZUBERY
5:HAPPY NATION
6:HOOD
7:ABOOD
8:GREEN STAR
9:MOHAMED TRANS
10:ALLY'S BUS SERVICE...
POSTED WEDNESDAY,APRIL30,2014 |BY- ISAAC SWILA
Hosts Kenya failed to dethrone Tanzania
from the top position as curtains came
down on the two-day Eastern African Judo
championship at the Nyayo...
Kanu Nwankwo who got married in 2004 has two sons and this adorable daughter. Lovely...me likey ...
Kwa wale wapenzi wa mpira mliomo umu JF nafikiri mnamkumbuka huyu msakata kapumbu
Mpira umekwisha kwa Real Madrid kushinda kwa magoli manne kwa bila { 4-0}, na kufanikiwa kuingia Final ya Champions League dhidi ya Mshindi wa mechi kati ya Chelsea na Atletico Madrid.
Bayern...
Mchezaji chipukizi wa Chelsea amesema anapenda sana kuichezea Tanzania lakini sheria za nchi[tanzania] hazimruhusu.
Nditi mwenye asili ya Tanzania lakini kwa sasa ana uraia wa Uingereza amesema...
Katika mechi ya Villarreal na Barca,mashabik wa Villarreal walionesha kitendo cha kibaguzi kwa kumtupia ndizi beki wa Barca, Dan Alves.
Ujasiri alioufanya alichukua ile ndizi akaimenya na kuila...
Wana JF,
Nisikia Radio one Jana kuwa Wizara ya mambo ya nje imeamua kusimamia na kugharamia michezo ya jumuiya ya madola katika nchi mbalimbali. Naomba kujulishwa yafuatayo:
Je ni kweli kuwa...
Wana jamvi juzi siku ya sherehe za muungano timu ya taifa imefungwa 3 bila na burundi,kimantiki ina tafsiri kuwa mfumo wa serikali 3 hata wana soka wameukubali,je wanao taka serikali 2 wanapata...
MSIMU uliopita wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga walikuwa mabingwa watetezi na walitumia zaidi ya Sh250 kuwasajili wachezaji watatu ambao ni kipa Juma Kaseja aliyevuna Sh40 milioni, Mrisho Ngassa...
ebana kwa karateka ambaye ni above green belt specifically in shotokan karate naomba anicheki,mi nipo mwanza SAUT hapa tunaeza jadili machahae kuhusu karate pia napatikana 0756917972
jana ilikua siku mbaya sana kwa mashabiki wote wa Liverpool baada ya kupoteza mechi dhidi ya Chelsea.
Kuna mambo mawili tu binafsi hayajanipendeza.
1.Kupoteza muda bila sababu.Tangu mpira unaanza...
Ili upate matokeo katka mchezo wa soka lazima utumie mifumo mizuri itakayo endana na kikosi chako.
Duniani kuna mifumo mbalimbali ya soka ambayo inatumia na inabadilika kutokana na mchezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.