Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Kwa Mara nyingine tena, Mashabiki wa timu ambayo mwenyekiti wao aliwaita mambumbumbu wamehukumiwa na TFF kulipa faini ya ml.5, kwa kung'oa viti . Viti hivyo viling'olewa katika mechi kati ya Al...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nadhani ni wakati wa Juma Kaseja Kuyasoma hayo maandishi ukutani, nilimuangalia sana udakaji wake wa jana nikaona hakika jua linazama kwani si Kaseja yule wa Simba, na ashukuru mipira kadhaa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu vipi tena,mimi ni mpenzi mkubwa sana wa michezo hasa mpira wa mig8 nimekuwa mdau mzuri kwenye upande huu hasa mpira wa miguu hususa ni upande wa kimataifa na kitaifa nina mengi sana ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wachezaji wanaounda timu ni Ngasa Richard,Jumanne mpemba,Jumanne bule,yohana christopher,paschal tabu,ngooma nhambi n.k
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeangalia hii video namna Rage alivyokuwa anaongea kwa kejeli jana kwenye mkutano wa Simba hadi akafikia ya kuwaita wanachama mambumbumbu na bado wakaishia kupigana wao kwa wao. Kwa mara ya...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
DIEGO Maradona ameripotiwa kumtema mchumba wake, mrembo Rocio Oliva, baada ya kugombana kuhusu kipa wa Manchester United, David de Gea, linaripoti gazeti la Sunday People. Staa huyo wa zamani wa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna tabia ya kimchezo hasa huku kwetu kuona wachezaji wenye majina yao ambao tungetegemea wajenge majina yao yawe kivutio kama miaka ya nyuma walipokuwa wakicheza kulikuwa na majina yanauza kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Embattled David Moyes is facing claims of a bust-up with Manchester United legend Ryan Giggs.Moyes, fighting to save his job after a disastrous first season in charge at United, is alleged to have...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo kulikuwa na maandamano ya wazee wa yanga yaliyozuiwa na serikali wakipinga kukatazwa kujenga football complex pale kwenye jengo lao jangwani kiongozi alikuwa mzee Akilimali Hebu acheni hizo...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Njozi za Ronaldinho na shabiki wake Gang Chomba kumuona akicheza Maracana kwenye kombe la dunia zinazidi kuyeyuka kama donge la barafu kwenye jua kali la Darisalama! Hii ni kufuatia kutoitwa tena...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
First Lady in Iten ahead of race 1 Comments...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani huyu Jeff Leya wa Clouds FM ambaye ni mchambuzi wa soka kwenye vipindi vya Sports Xtra, Sports Bar (TV) na Sports Roundup mbona simsikii siku hizi. Binafsi namkubali sana huwa anatoa vitu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Gerrard amemmwagia sifa Rodgers amekuwa akifanya mabadiliko mbalimbali katika kuboresha timu yake na wachezaji hali ambayo Gerrard ameeleza humfanya mchezaji kuwa katika hali ya kujiamini na...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Utangulizi ---------- Katika siku za hivi karibuni, Kapombe alidaiwa kuwaniwa na Yanga na Azam FC ili asajiliwe kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na tayari timu zilishafanya naye mazungumzo ya siri...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
huku Barca ikishinda goli saba bila , king wa ukweli kapiga hat trick na kuvunja record na kuweka record mpya kama mfungaji bora wa barca wa muda wote kwa kutupia jumla ya migoli 371 akimpita...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Men who watch their favourite sports team compete experience a similar testosterone surge to the players, say researchers at the University of Utah. They found that a fan’s testosterone levels...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Uongozi waklabu bingwa ya Tanzania bara Dar Young Africans umeonyesha mfano wa kuigwa kwaviongozi wengine wa soka nchini siku moja baada ya kurudi kutoka Misriwalipoenda na timu kwenye mchezo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
KIUNGO anayeweza kucheza nafasi za ulinzi pia, Shomary Kapombe atarejea kwenye kikosi cha Simba SC msimu ujao baada ya makubaliano yaliyofikiwa baina ya klabu hiyo na AS Cannes ya Ufaransa. Habari...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuusu bahanuzi mi sioni tatizo maana kila mtu bahanuzi kuna nini kafanya nini hamjui kuwa kila mtu huwa anabahatisha?
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Back
Top Bottom