Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Simba haitaki mchezo. Uongozi wa timu ya Sima umepanga kwenda China kufuata nyasi bandia zenye gharama ya Shs. milioni 160 kwa ajili ya kuzitandaza kwenye uwanja wao mpya watakaoutumia kwa ajili...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Mpira ni uwekezaji, mpira ni pesa ila simba hawataki kuamini hivyo.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Sasa ni mechi ya sita wakishinda mfululizo tena kwa mabao zaidi ya mawili.Wanacheza kitimu halafu kuna SAS,je wataweza?
0 Reactions
8 Replies
846 Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) tumepokea amri ya Mahakama Kuu (Kitengo cha Kazi) kukamata sh. milioni 106 za klabu ya Yanga kutokana na mapato ya mlangoni kwenye mechi zake ili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo ndio kivumbi na jasho mechi kali ya watani wa jadi wa jiji la Manchester,mechi itahusisha Manchester United (Red devils) na Manchester City (The citizens). Ni mechi inayitarajiwa kuwa ngumu...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Barcelona line up Rodgers as next boss Barcelona are preparing to offer Liverpool boss Brendan Rodgers the chance to replace Gerardo Martino this summer. Eurosport – 16/03/2014 : 10 hours...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Raila, Lupita, Adongo to lead Boston marathon fete From left: Former Prime Minister Raila Odinga, Lupita Nyong'o and Daniel Adongo. Photos/FILE By CHRIS WAMALWA In Summary The Boston...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KPL, Puma unveil 2014 season balls 1 Comments...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni ile ile timu ambayo mwenyekiti wao aliwaita mambumbumbu mashabiki. Jana baada ya kupakatwa,wachezaji wakaangalia jukwaani wakaona hamna kiti kilichovunjwa Wakasema haiwezekani, Ngoja...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Ni kwa nin team za majesh e.g Rhino, Prison etc zinakosa mapenz toka mikoan zilipo? Tunakumbuka jins prison ilivyokuwa ikifanya vyema kipind cha nyuma lakin jesh walipoonesha kuitenga team na...
0 Reactions
3 Replies
972 Views
VINARA wa Ligi Kuu ya Vodacom, Azam FC, jana walizidi kulinda rekodi yao ya kutopoteza mchezo, baada ya kuwalazimisha mabingwa watetezi Yanga sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Improved Kenya crush in plate semis but move up to seventh in IRB series standings Posted by: The People in Sports Fanatique March 24, 2014 Kenya have...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari haijakamilika kwa vile na mimi nimeipata nusu kama ilivyo. Haijafahamika kuwa udhamini huo ni wa thamani gani na utadumu kwa kipindi gani...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
BBC Sport - Robin van Persie: Man Utd striker ruled out for four-six weeks Naona Huyu Mdau kaanza ile tabia yake ya kuumia umia.., ni Injury Prone Sana huenda ni sababu ya uchezaji wake.., Kwahio...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kenyans On Twitter Mock Manchester United (PHOTOS) Friday, 21 March 2014 10:53 , Written by Chimwani Obiajulu (Writer)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana-sport wa JF, Leo muda wa saa 14:00 kutakuwa na draw ya robo fainali klabu bingwa ulaya ambapo,draw hizo zitafanyika Nyon,Switzerland. Timu zilizofanikiwa kuingia katika hatua hii...
3 Reactions
109 Replies
12K Views
Nimeikuta hii kwenye website ya Kilimanjaro marathon. RPC wa K'ndoni C Wambura (no 3367) akikimbia Marathon
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika hotuba ya kulihutubia bunge maalum la katiba,rais JK amesema moja ya mambo ambayo Zanzibar inaruhusiwa ni kijiunga na taasisi na mashirika mbalimbali ya Kimataifa,kwa maana hiyo Zanzibar...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau wenye uelewa na jiografia hasa namna ya ku-calculate time naomba wanisaidie kuhusu masaa haya yaliyopo kwenye ratiba ya kombe la dunia 2014 Brazil . Kwa hapa bongo inakuwa saa ngapi? Kuna...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Friday, March 21, 2014 Press-ups in the line of duty: The First Lady scores a first for health’s sake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom