YANGA WANUSURIKA: Wachezaji wa Timu ya Yanga na viongozi wanusurika asubuhi hii kufuatia basi lao kuingia kwenye mtaro Mikese, Morogoro, wote wako salama.
Ikumbukwe Yanga jana jioni walishuka...
Peter Crouch vs Nacho Monreal
Juma Kaseja vs Sydne Govou
Van Persie vs Kevin Strootman
Gareth Bale vs Seamus Coleman
...............
Ongeza wengine unaowafahamu
Ligi kuu Tanzania bara inaendelea tena leo kwa mechi kali mjini Morogoro na kule Chamazi Complex
Azam itakuwa uwanja wa nyumbani kutafuta points 3 muhimu dhidi ya wagosi wa kaya Coastal Union ...
MELWOOD,LIVERPOOL Habari za uhakika nilizozipata hivi punde zinasema kwamba dozi kwa ajili ya timu inayosumbuliwa na maradhi kadhaa ya manure imekamilika,na dozi hiyo itasaidia timu hii kuwa na...
Mdogo wangu mmoja anaeitwa bahanuzi na ni mpenzi wa simba alianza kutuchekesha jana pale aliposema mnamkaanga bahanuzi bure tu ningekuwa mimi ningewajibu
yaani kwenye ligi awanichezeshi alafu...
BAADA ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kukubali kulipa sh.milioni 15 kutokana na uharibifu Uwanja wa Taifa uliofanywa na mashabiki wakati wa mechi ya Yanga na Al Alhy ya Misri walipocheza...
Vodacom Premier League defending Champions,Yanga will look to bounce back against hosts Mtibwa Sugar on Saturday afternoon as they resume their league title quest after being bundled out of the...
Taarifa za uhakika ambazo mtandao huu umezipata ni kwamba kuna hali ya kutoelewana kati ya TFF na bodi ya ligi. Chanzo cha kutokuwepo kwa
maelewano mazuri baina ya uongozi wa bodi na TFF ni...
Mtanzania kashika no 3 kwenye Semi Marthon De Djibouti muda huuu. No moja imechukuliwa na Djibouti na No2 imechukuliwa na Kenya
More information to come soon.
Wadau habarini zenu, leo ebu tujadili mechi ya Tottenham na Arsenal hiyo siku ya jumapili tukiangalia uwezekano wa Tottenham au Arsenal kushinda.
Ukirudi nyuma kuangalia mechi zao za wikiendi...
kwa wapenda soka mnaweza angalia mechi kupitia hii link hapa.
mechi itaanza saa mbili kamili usiku kwa saa za Tanzania,unaweza kufuatilia hii link ili kuelewa zaidi...
Muda umefika kwa UEFA kuwatimua Bayern toka UCL lol
Hoeness trial: Bayern Munich boss jailed
A German court has sentenced Uli Hoeness, president of European football champions Bayern Munich, to...
Mwanasoka bora wa dunia mara mbili na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo CR7 ameandika historia mpya katika soka jana usiku kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Cameroon ambapo...
Jamani TUACHE UTANI KWENYE MAMBO YA MUHIMU. KUNA WATU WANAHASIRA NA BAHANUZI BALAA KWA KUKOSA PENALTY JANA.WANAWEZA KUMDHURU JAMAA KWA HIYO SERIKALI INA JUKUMU LA KULINDA WANANCHI WAKE!! NATOA HOJA.
Wadau inaniumiza sana kuona kwamb soka la italia linazidi kudidimia sana na tunaanza kukosa ile changamoto kama ya zamani. Jamani jana ac milan amefungwa jumla ya mabao 5 kwa 1 kwenye uefa. Ingawa...
Jamani kama mlivyoshuhudia marefa walivyochezesha mech kama ya man city, arsenal zote zikiwa england walichezesha chini ya viwango na bado hawajaacha. Jana kwenye maludiano arsenal akiwa munich...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.