Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Kabla hata ya kuanza kwa mtanange wa soka wa kinyang'anyiro cha klabu bingwa Barani Afrika, uliozikutanisha timu za Yanga (Tanzania) na Al-Alhly (Misri) Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...
20 Reactions
107 Replies
16K Views
NI KUTOKANAa NA TABIA YA KIJINGA YA MASHABIKI KUHARIBU VITI. PIA WATAANGALIA ADHABU YA TIMU KUCHEZA BILA MASHABIKI KAMA ITAFAA. TFF WAMEKUBALI KULIPA FIDIA YA UHARIBIFU ULIOTOKEA KATIKA MECHI YA...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Baada ya kufanya vibaya kwenye VPL wazee wa klabu ya mikia walisema watasoma al badil ili wanaohujumu timu yao.Baada ya kubatisha ushindi wa 3_2 dhidi ya Ruvu sijasikia tena ishu hiyo.Sasa jamani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
leo kuptia redio one mshangiliaj wa yanga john jambele kadanganya watz kuwa yanga imecheza na makame bingwa wa dunia
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hongera Tanzania kwa kushinda mechi hii na sasa Tanzanian Team qualifies for 2016 Division Five and 3rd place playoff Tanzania 138 (44.1 ov) Cayman Islands 126 (39.1 ov) Match Results Tanzania...
1 Reactions
0 Replies
762 Views
Mtandao wa Goal.com,umetoa majina ya wachezaji tajiri duniani kwa mwaka 2014.Cristiano Ronaldo ambaye ni nahodha wa timu ya taifa ya Ureno,mshindi wa tuzo za mwanasoka bora wa dunia mara mbili...
0 Reactions
17 Replies
13K Views
Shukuru Mungu unachezea Dar es salaam Young African,Ingekua ni mikia sports club ungeambiwa umeuza match!!!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Arsenal leo anapoteza tena. Wewe unasemaje?
1 Reactions
187 Replies
15K Views
Habari ndiyo hiyo! Diego Costa - Atletico Madrid aiming for Champions League glory - ESPN FC
0 Reactions
3 Replies
991 Views
Sisi wakazi wa morogoro tunawapongeza kwa dhati Abood media kwa kutuonyesha live mechi ya yanga na alahly.tunawashukuru sana kwa kuwa tulibaki majumbani na kuangalia mechi na familia zetu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya mechi ya jana kati ya Yanga na Al Ahyl..ambayo imehitimisha ndoto za Yanga kwenye michuano hii mikubwa barani Afrika, sasa ni wakati wa kukaa chini na kutafakari. Kejeli za 'Mtani jembe'...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Klabu Ya Soka Ya Yanga Imefuzu Hatua Nyingine Ya Ligi Ya Mabingwa Afrika Baada Ya Kuwafunga Wapinzani Wao Bingwa Mtetezi Al Ahly Ya Misri Kwa Mabao 3 Kwa 0. Shukran Ziwaendee Sana Wafungaji wa...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
Klabu ya soka ya Hispania Barcelona, imezindua mpango wa kutoa mafunzo kwa makocha wa Somalia. Klabu ya Barcelona ni miongoni mwa vilabu mashuhuri duniani Mpango huo ujulikanao kama Futbal Net...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Great move mama, showing by example. We will join you in our thousands, Alshabaab waje tu tutawan'gata.
1 Reactions
11 Replies
8K Views
Tanzania imeifunga Nigeria kwa 10 runs,hongera sana vijana. Tanzania 216 (48.3 ov) Nigeria...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Yanga imetolewa kwa penalt na bingwa mtetezi Al-Ahly ya Misri katika mazingira ambayo wenyewe walikuwa na nafasi kubwa sana ya kuvuka,kwasababu zifuatazo:- 1. Binafsi ninaamini ki'viwango Yanga...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Kwa kawaida tumezoea kusikia Yanga kwa kushirikiana na magazeti na baadhi ya watangazaji wa redio wakicheza mpira kwa umakini sana na ufundi wa hali ya juu magazetini na redioni.Sasa nauliza...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama utamaduni wetu ulivyo tusisahau kwenda kuwapokea mashujaa wetu uwanja wa ndege wa kimataifa toka misri walipokula kichapo. Tuchukue tena ubingwa ili mwakani tukutane nao tena watuchezeshe...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Usiku wa leo uwanja wa airport wameshuhudia vituko jinsi wachezaji kaseja/juma,dida na bathez walivyokula mchongo kuisaliti yanga huko misri wakati wachezaji wote wa yanga wakiwa wamesha check...
3 Reactions
53 Replies
9K Views
Back
Top Bottom